url
stringlengths
22
56
text
stringlengths
5
6.07k
https://www.ccm.or.tz/home
Chama cha Mapinduzi kinapokea malipo ya ada kupitia mitandao ya simu ambapo mwanachama atalipa ada yake kwa kutumia Control number yake na Mtandao anaotaka kulipia, kwasasa utaweza kulipa ada kwa kupitia TigoPesa, M-pesa, Airtel Money, CRDB Bank, T-pesa Pakua Nakala Hapa

https://www.ccm.or.tz/ccm-kuhusu
Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilianza rasmi Februari 5, 1977 kutokana na kuunganishwa vyama vya Tanganyika African National Union (TANU) kilichokuwa chama tawala Tanzania Bara, kikiongozwa na Rais wa Kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Chama cha Afro-Shirazi Party (ASP) kilichokuwa chama tawala Zanzibar kikiongozwa na Rais wa kwanza wa Zanzibar Sheikh Amaan Abeid Karume.Uchaguzi CCM imekuwa ikishinda chaguzi za Urais toka mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa nchini Tanzania huku pia kikipata idadi kubwa ya wabunge wa Bunge la Muungano na Baraza la Wawakilishi. Baada ya kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi CCM imeendelea kuiongoza Tanzania kutokana na kushinda chaguzi zilizofanyika tangu1995. Viongozi walioweza kushinda kwa tiketi ya CCM kwenye chaguzi hizo ni Benjamin Mkapa,Jakaya Mrisho Kikwete na Dk. John Joseph Pombe Magufuli. Viongozi walioshika Uenyekiti wa CCM miaka waliyoongoza ikiwa kwenye mabano, ni; CCM inazo Jumuiya tatu ambazo zinafanyakazi kwa kuyaunganisha makundi ya Vijana (Umoja wa Vijana wa CCM), Wanawake (Umoja wa Wanawake Tanzania- UWT) na Jumuiya ya Wazazi Tanzania. Jumuiya hizi kila moja ina viongozi ambao moangilio wake unafanana na ule wa CCM yenyewe kuanzia ngazi ya Mwenyekiti Taifa hadi ngazi za matawi. Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. Ni ukweli usiopingika kwamba mchango wa mwanamke una nafasi muhimu katika uchumi, siasa na mustakabali wa Taifa, ukizingatia nafasi ya ulezi na ujenzi wa uchumi.
https://www.ccm.or.tz/ccm-jisajili
Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. Unaweza kutuma SMS/WhatsApp Namba Za Simu Zifuatazo 0734398138 Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. Ni ukweli usiopingika kwamba mchango wa mwanamke una nafasi muhimu katika uchumi, siasa na mustakabali wa Taifa, ukizingatia nafasi ya ulezi na ujenzi wa uchumi.
https://www.ccm.or.tz/ccm-idara
Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. Idara ya Organaizesheni ni moja kati ya Idara nne za CCM. Idara hii imeanzishwa kwa mujibu wa Katiba ya CCM ya Mwaka 1977 Toleo la 2017 Ibara ya 107 (1). Idara hii ndiyo injini ya Uendeshaji wa Chama kwani ndio Idara inayohusika na Masuala yote ya Wanachama; kwani Chama kisicho na Wanachama ni sawa na gunia tupu ambalo haliwezi kusimama. Idara hii ndio inayoshughulika na Vikao na Maamuzi ya vikao. Kwa kuwa Chama ni muungano wa watu wenye nia na malengo yanayofanana, hivyo watu hao wanaounganishwa na Itikadi yao hufikia maamuzi ya pamoja kupitia Vikao vyao. Kwenye Chama Cha Kidemokrasia kama CCM hakuna mtu mmoja mwenye uwezo wa kufanya maamuzi ya Chama nje ya vikao. Inatosha kusema, “Hakuna Chama bila Vikao”. Idara ya Organaizesheni ndio inayosimamia Jumuiya za Chama na Sehemu ya Wazee. CCM ilianzisha Jumuiya za CCM ili ziwe ni mkondo wa kufikisha Sera zake na Siasa ya CCM kwenye Makundi yote ya Kijamii kwa upande mmoja, na kuwa mkondo wa kuitafutia CCM Marafiki na Wanachama kutoka kwnye makundi hayo kwa upande wa pili. CCM pia inathamini sana mchango wa Wazee katika maendeleo ya Taifa letu, ndio maana ikaanzisha sehemu ya Wazee ili kuwawezesha Wazee kurithisha kwa Taifa busara, hekima na ujasiri wao ndani ya Jamii. Wahenga walisema, “Isiyo kongwe, haivushi.” Idara ya Organaizesheni ndio inayosimamia masuala yote ya uchaguzi wa ndani ya CCM na ule wa kushika Dola. Viongozi wa Cham a cha Kijamaa huchaguliwa kwa kura za wanachama na huongoza Chama kwa ridhaa yao. Lakini pia Chama chochote cha Siasa duniani lengo lake kuu huwa ni kushinda uchaguzi ili kushika dola na kuunda Serikali. Kwa kuwa toka Uhuru wa Tanganyika na Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar nchi hii imekuwa chini ya Uongozi madhubuti wa CCM, ndiyo kusema Idara hii imetimiza vema majukumu yake. Idara ya Organaizesheni ndiyo inayosimamia Katiba Muundo Kanuni, na Taratibu za Chama na Jumuiya za CCM. Hii ndiyo kusema Idara hii ndiyo inayohakikisha wakati wote kuwa Katiba ya CCM, Kanuni zote za Chama na Jumuiya zake, Muundo wa Chama na Taratibu mbalimbali zikiwemo taratibu za Sehemu ya Wazee zinakiwezesha Chama kutekeleza madhumuni ya kuundwa kwake. Idara hii ndio hufanya marekebisho ya miongozo hii kwa mujibu wa mahitaji ya Chama kwa wakati husika. Bila shaka utaona kuwa utulivu uliopo CCM ukilinganisha vyama vingine vya Siasa hapa nchini unatokana na utekelezaji mzuri wa wajibu huu. Hii ndio sababu tukasema Idara hii ndiyo injini ya Chama. Kwani Gari lisilo na injini linawezaje kusafiri? Idara ya Uchumi na Fedha ni miongoni mwa Idara tano za Chama cha Mapinduzi zinazoongozwa na Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa ambazo zimeundwa kwa mujibu wa Ibara ya 105 ya Katiba ya CCM ya Mwaka 1977, Toleo la 2017. Idara hii inaongozwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa wa Uchumi na Fedha ambaye ni Dkt. Frank George Haule Hawassi. Majukumu ya msingi ya Idara yameainishwa na kutajwa bayana kwenye Ibara ya 107(4) (a)-(e) ya Katiba ya CCM, kama ifuatavyo: Ili kurahisisha na kuleta ufanisi wa utendaji kazi za Chama, muundo wa Idara ya Uchumi na Fedha umegawanywa katika vitengo vitatu muhimu ambapo kila kitengo kimegawanywa pia katika sehemu (Sections) na kupangiwa majukumu mahsusi ya kila siku ya kusimamia, kufuatilia na kutekeleza. Vitengo vya Idara ni hivi vifuatavyo: Pamoja na majukumu ya Kiidara, Idara pia inayo majukumu mengine ya msingi ya kusimamia na kuratibu shughuli zote za Baraza la Wadhamini wa CCM kwa niaba ya Katibu Mkuu wa CCM zikiwemo shughuli za vikao, usimamizi na ufuatiliaji wa utekelezaji wa maazimio ya vikao vya Baraza la Wadhamini wa Chama Cha Mapinduzi. Kwa kuzingatia utajiri mkubwa Chama kilionao hususan katika eneo la Rasilimali Ardhi na Rasilimali Wanachama, Idara ya Uchumi na Fedha ina wajibu wa msingi wa kuhakikisha rasilimali hizi zinatumika kikamilifu katika kukiimarisha Chama kiuchumi na kimapato hatua ambayo itakiwezesha Chama kuhudumia kwa ufanisi majukumu yake ya kisiasa na uendeshaji wa Ofisi. Idara ya mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa ni moja kati ya Idara za CCM Makao Makuu inayoundwa na Ibara ya 107 kifungu cha 3 ya Katiba ya CCM ya mwaka 1977 Toleo la 2017. Idara hii inafahamika zaidi kama idara inayoshughulika na kujenga uhusiano wa kimataifa, hata hivyo ukweli ni kwamba idara hii inashughulikia mambo mengi na muhimu ndani ya nchi yanayojenga taswira njema ya CCM kwa wananchi. Kwa kifupi tunasema, idara hii inajihusisha na kazi za Chama nje ya Chama ndani ya Umma. Kwa mujibu wa Katiba ya Chama Cha Mapinduzi, Idara ya Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa inajukumu la msingi la kufuatilia hali ya Kisiasa Nchini. Kwa lugha nyepesi ina kazi ya kufuatia hali ya maisha ya wananchi wa Tanzania, kijamii na kiuchumi kwa ujumla. Idara hii pia ndiyo yenye jukumu la kufuatilia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM Nchini, kuona kwamba tumefanikiwa kwa kiasi gani kutekeleza Ilani yetu, ni kwa kiasi gani tumeondoa kero na changamoto zinazowakabili wananchi wetu na kukishauri Chama namna ya kukabiliana nazo. Ukiacha mbali jukumu la kufuatilia maendeleo ya Jumuiya za Kijamii nchini, na kushughulikia na kusimamia masuala ya Itifaki ndani ya Chama, Jukumu lingine kubwa na muhimu la Idara hii ni kuratibu uhusiano na ushirikiano wa CCM na Vyama vya Siasa vya Kidugu , Kirafiki na vya Kimapinduzi. Aidha, Idara ina jukumu la kufuatilia hali ya kisiasa katika nchi jirani na nchi nyinginezo duniani na kufuatilia maendeleo ya kijamii ya Kamati za Urafiki na Mshikamano kati ya Watanzania na wananchi wa nchi Rafiki. Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. Ni ukweli usiopingika kwamba mchango wa mwanamke una nafasi muhimu katika uchumi, siasa na mustakabali wa Taifa, ukizingatia nafasi ya ulezi na ujenzi wa uchumi.
https://www.ccm.or.tz/ccm-nyaraka
Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. |#||Jina||Link||Size||Tarehe| Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. Ni ukweli usiopingika kwamba mchango wa mwanamke una nafasi muhimu katika uchumi, siasa na mustakabali wa Taifa, ukizingatia nafasi ya ulezi na ujenzi wa uchumi.
https://www.ccm.or.tz/ccm-taarifa-wabunge
Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. |#.||Jina Kamili||Simu||Aina||Anuani||Jimbo| Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. Ni ukweli usiopingika kwamba mchango wa mwanamke una nafasi muhimu katika uchumi, siasa na mustakabali wa Taifa, ukizingatia nafasi ya ulezi na ujenzi wa uchumi.
https://mwanachama.ccm.or.tz/login
Ingia katika akaunti yako Hauna namba ya kielektroniki? Ili kufurahia huduma za mtandao kupitia Portal yetu ya Huduma ya Wanachama, mwanachama anatakiwa kujiandikisha na kupata namba ya kielektroniki ili kuwezesha kuangalia taarifa zake za uwanachama na malipo yake ya ada.Jisajili Msaada Wasiliana nasi kwa kupitia njia hizi - Barua pepe: support@ccm.or.tz - Anuani: S.L.P 50 Dodoma - Tel: +255-26-2322982 - Fax: +255-26-2322965
https://semana.ccm.or.tz/
CCM - Chama Cha Mapinduzi katibumkuu@ccm.or.tz Simu : +255 26 23 22965 Muda Wa Kazi: 24/7 Tafuta Home Kuhusu Jisajili Idara Nyaraka CCM Zanzibar Blog Ofisi Sema na CCM Swahili English Facebook Twitter Login MANENO YALIYOTAFUTWA MARA KWA MARA Ilani KATIBU Mwenyekiti Wa Chama Kwanini CCM Chama Imara Ushindi wa CCM Iambie CCM, inakusikiliza . . ! Unaweza kuwasilisha kero yako, maulizo au pongezi kwenda CCM, kwa kubofya hapo chini. Tuma Kero Tuma Pongezi Uliza Fuatilia
https://www.ccm.or.tz/ccm-deni
Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. Unaweza kutuma SMS/WhatsApp Namba Za Simu Zifuatazo 0734398138 Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. Ni ukweli usiopingika kwamba mchango wa mwanamke una nafasi muhimu katika uchumi, siasa na mustakabali wa Taifa, ukizingatia nafasi ya ulezi na ujenzi wa uchumi.
https://www.facebook.com/tanzaniaccm
Chama Cha Mapinduzi | Dodoma
https://twitter.com/ccm_tanzania
x.com
https://www.youtube.com/channel/UC5CscEEkL6slfcdtSgTWjcQ
Kuhusu Vyombo vya habari Hakimiliki Wasiliana nasi Watayarishi Tangaza Wasanidi Programu Sheria na Masharti Faragha Sera na Usalama YouTube Inavyofanya Kazi Jaribu vipengele vipya © 2024 Google LLC
https://www.ccm.or.tz/home
Chama cha Mapinduzi kinapokea malipo ya ada kupitia mitandao ya simu ambapo mwanachama atalipa ada yake kwa kutumia Control number yake na Mtandao anaotaka kulipia, kwasasa utaweza kulipa ada kwa kupitia TigoPesa, M-pesa, Airtel Money, CRDB Bank, T-pesa Pakua Nakala Hapa
https://www.ccm.or.tz/home
Chama cha Mapinduzi kinapokea malipo ya ada kupitia mitandao ya simu ambapo mwanachama atalipa ada yake kwa kutumia Control number yake na Mtandao anaotaka kulipia, kwasasa utaweza kulipa ada kwa kupitia TigoPesa, M-pesa, Airtel Money, CRDB Bank, T-pesa Pakua Nakala Hapa
https://www.facebook.com/tanzaniaccm
Chama Cha Mapinduzi | Dodoma
https://twitter.com/ccm_tanzania
x.com
https://www.youtube.com/channel/UC5CscEEkL6slfcdtSgTWjcQ
Kuhusu Vyombo vya habari Hakimiliki Wasiliana nasi Watayarishi Tangaza Wasanidi Programu Sheria na Masharti Faragha Sera na Usalama YouTube Inavyofanya Kazi Jaribu vipengele vipya © 2024 Google LLC
https://www.ccm.or.tz/#carouselExampleIndicators
Chama cha Mapinduzi kinapokea malipo ya ada kupitia mitandao ya simu ambapo mwanachama atalipa ada yake kwa kutumia Control number yake na Mtandao anaotaka kulipia, kwasasa utaweza kulipa ada kwa kupitia TigoPesa, M-pesa, Airtel Money, CRDB Bank, T-pesa Pakua Nakala Hapa
https://www.ccm.or.tz/#carouselExampleIndicators
Chama cha Mapinduzi kinapokea malipo ya ada kupitia mitandao ya simu ambapo mwanachama atalipa ada yake kwa kutumia Control number yake na Mtandao anaotaka kulipia, kwasasa utaweza kulipa ada kwa kupitia TigoPesa, M-pesa, Airtel Money, CRDB Bank, T-pesa Pakua Nakala Hapa
https://www.youtube.com/watch?v=HqEDR7hcdsM
Kuhusu Vyombo vya habari Hakimiliki Wasiliana nasi Watayarishi Tangaza Wasanidi Programu Sheria na Masharti Faragha Sera na Usalama YouTube Inavyofanya Kazi Jaribu vipengele vipya © 2024 Google LLC
https://www.ccm.or.tz/habari/post/soma-zaidi/J7v
Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. NAIBU KATIBU MKUU CCM-BARA AFANYA MAZUNGUMZO NA KANSELA KUTOKA UBALOZI WA NORWAY TANZANIA NAIBU KATIBU MKUU CCM-BARA AFANYA MAZUNGUMZO NA KANSELA KUTOKA UBALOZI WA NORWAY TANZANIA Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Ndg.John Mongella amekutana na kufanya mazungumzo na Kansela kutoka Ubalozi wa Norway Ndg.Ingrid Norstein kwenye Ofisi za Makao Makuu ya CCM Jijini Dodoma leo tarehe 09 Oktoba,2024 Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. Ni ukweli usiopingika kwamba mchango wa mwanamke una nafasi muhimu katika uchumi, siasa na mustakabali wa Taifa, ukizingatia nafasi ya ulezi na ujenzi wa uchumi.

https://www.ccm.or.tz/habari/post/soma-zaidi/GQ3
Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. KISHINDO CHA SHINYANGA MAPOKEZI YA NCHIMBI KISHINDO CHA SHINYANGA MAPOKEZI YA NCHIMBI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewasili na kupokelewa rasmi Mkoa wa Shinyanga, leo tarehe 9 Oktoba 2024, tayari kuanza ziara ya siku tatu katika maeneo mbalimbali ya wilaya za mkoa huo. Balozi Nchimbi ambaye ameambatana na Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Amos Gabriel Makalla na Katibu wa Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (Suki), Ndugu Rabia Hamid Abdalla, ameingia Shinyanga akitokea Mkoa wa Simiyu, ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020 - 2025, kusikiliza kero na changamoto za wananchi kisha kuzitafutia majawabu na kuhamasisha uimara wa CCM kuanzia ngazi ya mashina. Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. Ni ukweli usiopingika kwamba mchango wa mwanamke una nafasi muhimu katika uchumi, siasa na mustakabali wa Taifa, ukizingatia nafasi ya ulezi na ujenzi wa uchumi.

https://www.ccm.or.tz/habari/post/soma-zaidi/E64
Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. KATIBU MKUU CCM AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MASWA MASWA Wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mji wa Maswa wakifuatilia na kushiriki kwa makini mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, katika Viwanja vya Madeco mjini hapo, leo tarehe 8 Oktoba 2024. Balozi Nchimbi, ambaye ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Amos Gabriel Makalla, pamoja na Katibu wa NEC - Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ndugu Rabia Abdallah Hamid, yuko katika ziara ya siku tatu katika Mkoa wa Simiyu, aliyoianza tarehe 6 Oktoba, mwaka huu. Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. Ni ukweli usiopingika kwamba mchango wa mwanamke una nafasi muhimu katika uchumi, siasa na mustakabali wa Taifa, ukizingatia nafasi ya ulezi na ujenzi wa uchumi.

https://www.ccm.or.tz/habari/post/soma-zaidi/DJ5
Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. SIMIYU NA CCM, NCHIMBI AKIWASILI ITILIMA Mapokezi makubwa wananchi na wanaCCM wa Itilima wakimpatia mapokezi makubwa Katibu Mkuu Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi alipowasili eneo la Lugulu kwa ajili ya kuwasalimia, akiwa njiani kuelekea wilayani Maswa, leo tarehe 8 Oktoba 2024, ikiwa ni siku ya tatu ya ziara yake ya kikazi Mkoa wa Simiyu, ambayo ameambatana na Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Amos Makalla na Katibu wa NEC - Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ndugu Rabia Abdalla Hamid. Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. Ni ukweli usiopingika kwamba mchango wa mwanamke una nafasi muhimu katika uchumi, siasa na mustakabali wa Taifa, ukizingatia nafasi ya ulezi na ujenzi wa uchumi.

https://www.ccm.or.tz/habari/post/soma-zaidi/BRW
Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. DKT NCHIMBI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MWANDOYA-KISESA Wananchi wa Kata ya Mwandoya, Jimbo la Kisesa, Wilaya ya Meatu, mkoani Simiyu, wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, alipokuwa akizungumzia masuala na hoja mbalimbali kutoka kwa wawakilishi wao, Ndugu Basu Kayungilo, Diwani wa Kata ya Mwandoya na Ndugu Luhaga Mpina, Mbunge wa Kisesa, leo tarehe 7 Oktoba 2024. Balozi Nchimbi alisimama Mwandoya kuwasalimia wakazi wa eneo hilo na kuzungumza nao masuala ya maendeleo yanayohusu jimbo hilo la Kisesa, akiwa njiani kuelekea Mwanhuzi, Meatu, ambapo ni mwendelezo wa ziara yake ya siku 3, mkoani humo. Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. Ni ukweli usiopingika kwamba mchango wa mwanamke una nafasi muhimu katika uchumi, siasa na mustakabali wa Taifa, ukizingatia nafasi ya ulezi na ujenzi wa uchumi.

https://www.ccm.or.tz/habari/post/soma-zaidi/A9p
Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. DKT NCHIMBI AHANI MSIBA WA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CCM BARIADI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Amos Gabriel Makalla na Katibu wa NEC - Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ndugu Rabia Hamid Abdalla, amefika kuwapatia pole familia ya Bi. Juliana Wilemahongo, aliyefariki dunia tarehe 15 Septemba 2024. Bi Wilemahongo hadi anafikwa na mauti, alikuwa ndiye Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Bariadi, akiwa amejitolea kutumikia nafasi hiyo ya uongozi kwa vipindi vitatu. Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. Ni ukweli usiopingika kwamba mchango wa mwanamke una nafasi muhimu katika uchumi, siasa na mustakabali wa Taifa, ukizingatia nafasi ya ulezi na ujenzi wa uchumi.

https://www.ccm.or.tz/ccm-jisajili-mwanachama
Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. Unaweza kutuma SMS/WhatsApp Namba Za Simu Zifuatazo 0734398138 Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. Ni ukweli usiopingika kwamba mchango wa mwanamke una nafasi muhimu katika uchumi, siasa na mustakabali wa Taifa, ukizingatia nafasi ya ulezi na ujenzi wa uchumi.
https://mwanachama.ccm.or.tz/login
Ingia katika akaunti yako Hauna namba ya kielektroniki? Ili kufurahia huduma za mtandao kupitia Portal yetu ya Huduma ya Wanachama, mwanachama anatakiwa kujiandikisha na kupata namba ya kielektroniki ili kuwezesha kuangalia taarifa zake za uwanachama na malipo yake ya ada.Jisajili Msaada Wasiliana nasi kwa kupitia njia hizi - Barua pepe: support@ccm.or.tz - Anuani: S.L.P 50 Dodoma - Tel: +255-26-2322982 - Fax: +255-26-2322965
https://www.youtube.com/channel/UC5CscEEkL6slfcdtSgTWjcQ
Kuhusu Vyombo vya habari Hakimiliki Wasiliana nasi Watayarishi Tangaza Wasanidi Programu Sheria na Masharti Faragha Sera na Usalama YouTube Inavyofanya Kazi Jaribu vipengele vipya © 2024 Google LLC
https://semana.ccm.or.tz/
CCM - Chama Cha Mapinduzi katibumkuu@ccm.or.tz Simu : +255 26 23 22965 Muda Wa Kazi: 24/7 Tafuta Home Kuhusu Jisajili Idara Nyaraka CCM Zanzibar Blog Ofisi Sema na CCM Swahili English Facebook Twitter Login MANENO YALIYOTAFUTWA MARA KWA MARA Ilani KATIBU Mwenyekiti Wa Chama Kwanini CCM Chama Imara Ushindi wa CCM Iambie CCM, inakusikiliza . . ! Unaweza kuwasilisha kero yako, maulizo au pongezi kwenda CCM, kwa kubofya hapo chini. Tuma Kero Tuma Pongezi Uliza Fuatilia
https://www.ccm.or.tz/ccm-deni
Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. Unaweza kutuma SMS/WhatsApp Namba Za Simu Zifuatazo 0734398138 Niwapongeze Umoja wa Wanawake Tanzania kwa mambo matatu makubwa; UWT imefanya kazi kubwa ya kutayarisha viongozi, kubadilisha mitazamo ya wanawake wa Tanzania na kusimama kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi. Ni ukweli usiopingika kwamba mchango wa mwanamke una nafasi muhimu katika uchumi, siasa na mustakabali wa Taifa, ukizingatia nafasi ya ulezi na ujenzi wa uchumi.
https://www.youtube.com/channel/UC5CscEEkL6slfcdtSgTWjcQ
Kuhusu Vyombo vya habari Hakimiliki Wasiliana nasi Watayarishi Tangaza Wasanidi Programu Sheria na Masharti Faragha Sera na Usalama YouTube Inavyofanya Kazi Jaribu vipengele vipya © 2024 Google LLC
https://www.youtube.com/channel/UC5CscEEkL6slfcdtSgTWjcQ
Kuhusu Vyombo vya habari Hakimiliki Wasiliana nasi Watayarishi Tangaza Wasanidi Programu Sheria na Masharti Faragha Sera na Usalama YouTube Inavyofanya Kazi Jaribu vipengele vipya © 2024 Google LLC
https://www.youtube.com/channel/UC5CscEEkL6slfcdtSgTWjcQ
Kuhusu Vyombo vya habari Hakimiliki Wasiliana nasi Watayarishi Tangaza Wasanidi Programu Sheria na Masharti Faragha Sera na Usalama YouTube Inavyofanya Kazi Jaribu vipengele vipya © 2024 Google LLC
https://www.ccm.or.tz/home
Chama cha Mapinduzi kinapokea malipo ya ada kupitia mitandao ya simu ambapo mwanachama atalipa ada yake kwa kutumia Control number yake na Mtandao anaotaka kulipia, kwasasa utaweza kulipa ada kwa kupitia TigoPesa, M-pesa, Airtel Money, CRDB Bank, T-pesa Pakua Nakala Hapa
https://www.ikulu.go.tz/
Hotuba Taarifa kwa Vyombo vya Habari Habari Mpya - Sep 24, 2023 ZIARA YA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN MIKOA YA LINDI NA MTWARASoma zaidi - Feb 20, 2023 RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA 36 WA UMOJA WA AFRIKA (AU) JIJINI ADDIS ABABA NCHINI ETHIOPIA TAREHE 17-19 FEBRUARI, 2023Soma zaidi - Oct 21, 2022 WASILISHO LA MWENYEKITI WA KIKOSI KAZI KWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. SAMIA SULUHU HASSAN TAREHE 21 OKTOBA, 2022Soma zaidi - Oct 20, 2022 RAIS SAMIA AFANYA ZIARA YA KIKAZI MIKOA YA GEITA NA KIGOMA KUANZIA TAREHE 15 – 18 OKTOBA, 2022Soma zaidi
https://mwanachama.ccm.or.tz/login
Ingia katika akaunti yako Hauna namba ya kielektroniki? Ili kufurahia huduma za mtandao kupitia Portal yetu ya Huduma ya Wanachama, mwanachama anatakiwa kujiandikisha na kupata namba ya kielektroniki ili kuwezesha kuangalia taarifa zake za uwanachama na malipo yake ya ada.Jisajili Msaada Wasiliana nasi kwa kupitia njia hizi - Barua pepe: support@ccm.or.tz - Anuani: S.L.P 50 Dodoma - Tel: +255-26-2322982 - Fax: +255-26-2322965
https://www.nec.go.tz/
Lugha KISWAHILI ENGLISH Mandhari Mwanga Giza Maandishi Madogo Wastani Makubwa Maswali Barua Pepe Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Kuhusu Sisi Wajumbe wa Tume Dira na Dhima Maadili ya msingi Utawala Muundo wa Taasisi Historia ya INEC Uchaguzi Mifumo ya Uchaguzi Mzunguko wa Uchaguzi Matokeo ya Uchaguzi Taarifa za Uchaguzi Daftari la Wapiga Kura Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Uwekaji Wazi Daftari la Awali Taarifa za Uboreshaji Kituo cha Habari Habari Taarifa kwa Umma Hotuba Maktaba ya Picha Maktaba ya Video INEC-TZ Online TV Machapisho Sheria za Uchaguzi Kanuni za Uchaguzi Maadili ya Uchaguzi Miongozo ya Uchaguzi Maelekezo ya Uchaguzi Mpango Mkakati wa INEC 2021/2022-2025/2026 Jarida la Uchaguzi Watazamaji Muongozo wa Watazamaji Mfumo wa Usajili wa Watazamaji Ripoti za Watazamaji Zabuni Zabuni za Ndani Zabuni za Kimataifa Wazabuni Walioshinda Wasiliana Nasi Wasiliana Nasi Mengineyo KISWAHILI ENGLISH Mwanga Giza Nifanyaje? Kujiandikisha kuwa Mpiga Kura Kupata Kadi Iliyopotea Kupiga Kura Angalia Zaidi Mrejesho Jiunge Wapiga Kura Elimu ya Mpiga Kura Wagombea Kituo cha Habari Uchaguzi Taarifa Mpya : Watendaji wa uboreshaji wa Daftari Zanzibar watakiwa kuzingatia Katiba ya nchi, sheria za Uchaguzi kutekeleza majukumu yao Watendaji wa uboreshaji Zanzibar watakiwa kuzingatia weledi kufanikisha uboreshaji wa Daftari visiwani Zanzibar Uboreshaji Daftari la wapiga kura Zanzibar kufanyika tarehe 7 hadi 13 Oktoba, 2024 Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele Mwenyekiti wa Tume Kazi inaendelea..... Soma zaidi Mhe. Jaji wa Rufaa (Mst) Mbarouk Salim Mbarouk Makamu Mwenyekiti Ndg. Ramadhani Kailima Mkurugenzi wa Uchaguzi (Katibu wa Tume) Kazi inaendelea..... Soma zaidi Wajumbe wa Tume Mhe. Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele Mjumbe wa Tume Mhe. Jaji Rufaa Mst. Mbarouk Salim Mbarouk Mjumbe wa Tume Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu Asina A. Omari Mjumbe wa Tume Mhe. Balozi Omar Ramadhani Mapuri Mjumbe wa Tume Mhe. Magdalena Kamugisha Rwebangira Mjumbe wa Tume Mhe. Jaji Rufaa Mwanaisha Athuman Kwariko Mjumbe wa Tume Mhe. Dkt. Zakia Mohamed Abubakar Mjumbe wa Tume Habari Mpya Vyombo vya Habari Machapisho Tangazo Watendaji wa uboreshaji wa Daftari Zanzibar watakiwa kuzingatia Katiba ya nchi, sheria za Uchaguzi kutekeleza majukumu yao 02 Oct, 2024 Watendaji wa uboreshaji Zanzibar watakiwa kuzingatia weledi kufanikisha uboreshaji wa Daftari visiwani Zanzibar 02 Oct, 2024 Uboreshaji Daftari la wapiga kura Zanzibar kufanyika tarehe 7 hadi 13 Oktoba, 2024 30 Sep, 2024 RC Singida Mhe. Dendego awaongoza wananchi kushiriki katika Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 26 Sep, 2024 RC Dodoma awataka wakazi wa Dodoma kujiandikisha au kuboresha taarifa zao mapema kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 26 Sep, 2024 Tazama Zaidi 19 Jul, 2024 Tume yaruhusu wapiga kura kutumia simu ya kiswaswadu kuboresha au kuhamisha taarifa zao kwenye Daftari 25 Jun, 2024 Tume yatoa vibali kwa asasi 157 kutoa elimu ya mpiga kura na uangalizi kwa asasi 34 wakati wa uboreshaji wa Daftari Mwaka 2024/2025 17 May, 2024 Mwaliko kwa taasisi na asasi za kiraia kutoa Elimu ya Mpiga Kura wakati wa Uboreshaji wa Daftari La Kudumu La Wapiga Kura Mwaka 2024 17 May, 2024 Mwaliko wa Waangalizi wa Ndani wa Uandikishaji wa Wapiga Kura 11 May, 2024 Tume yatoa vibali kwa asasi 4 za kuangalia na kutoa Elimu ya Mpiga Kura Uchaguzi Mdogo Kwahani Tazama Zaidi 20 Aug, 2024 Jarida la Uchaguzi Toleo la Agosti, 2024 15 Aug, 2024 Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Mikoa ya Mwanza na Shinyanga kuanzia tarehe 21 hadi 27 Agosti, 2024 15 Jul, 2024 Mwongozo wa Elimu ya Mpiga Kura wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wa Mwaka 2024 14 Aug, 2024 Tangazo la Nafasi za Kazi za Uboreshaji Zanzibar 20 Jul, 2024 Maelezo ya Mwenyekiti wa Tume Huru wakati wa Uzinduzi wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura tarehe 20 Julai, 2024 Mkoani Kigoma Tazama Zaidi 15 Aug, 2024 Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Mikoa ya Mwanza na Shinyanga kuanzia tarehe 21 hadi 27 Agosti, 2024 14 Aug, 2024 Tangazo la Nafasi za Kazi za Uboreshaji Zanzibar 24 Jun, 2024 Orodha ya Asasi zilizopata vibali vya elimu ya mpiga kura wakati wa uboreshaji wa Daftari 2024/2025 24 Jun, 2024 Orodha ya asasi zilizopata kibali cha uangalizi wa uboreshaji wa Daftari 2024/2025 Tazama Zaidi Idadi ya Madiwani 5,350 Waliojiandikisha 29,754,699 Wabunge 390 Vituo vya kupigia kura 80,155 Matokeo ya Uchaguzi Soma zaidi Boresha Taarifa za Mpiga Kura Mtandaoni Soma zaidi Mzunguko wa Uchaguzi Soma zaidi Matukio Yajayo Matukio Zaidi Matukio Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Zanzibar utafanyika kuanzia tarehe 07 hadi 13 Oktoba, 2024 07 October, 2024 - Zanzibar Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Magdalena Rwebangira amefunga mafunzo kwa watendaji wa uboreshaji wa Daftrari Mjini Unguja. 02 October, 2024 - Unguja, Zanzibar Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu Asina Omari amefungua Mkutano wa Wadau wa Uchaguzi kuhusu uboreshaji wa Daftari. 30 September, 2024 - Unguja, Zanzibar Uboreshaji wa Daftari mikoa ya Singida, Manyara (Simanjiro, Kiteto, Mbulu) na Dodoma (Dodoma CC, Kongwa, Bahi na Chamwino) Septemba 25-Oktoba 01, 2024 25 September, 2024 - Singida, Manyara na Dodoma Previous Next
https://www.pmo.go.tz/
Naibu Waziri Mkuu Waziri wa Nchi & Naibu Mawaziri Mhe. Patrobas Paschal Katambi Naibu Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu(Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Katibu Mkuu & Naibu Katibu Mkuu Habari Za Waziri Mkuu - 13th Oct, 2024 Majaliwa: Uwekezaji mkubwa umefanyika sekta ya hali ya hewaSoma zaidi - 11th Oct, 2024 Majaliwa: Vijana changamkieni fursa zinazotokana na Maendeleo ya Kijid...Soma zaidi - 11th Oct, 2024 Serikali haijatoa maagizo kuwaondoa kazini walimu wa cheti-MajaliwaSoma zaidi - 07th Oct, 2024 Majaliwa: Rais Dkt. Samia anamatumaini makubwa na Taifa StarsSoma zaidi - 06th Oct, 2024 Waziri Mkuu aagiza watumishi wanne Kigamboni wafikishwe mahakamaniSoma zaidi Habari Nyingine - 13th Oct, 2024 Dkt. Biteko ashiriki ufungaji Maonesho ya Madini GeitaSoma zaidi - 11th Oct, 2024 Wananchi waendelea kupata elimu katika banda la Ofisi ya Waziri Mkuu k...Soma zaidi - 11th Oct, 2024 Dkt. Biteko aongoza wananchi bukombe kujiandikisha Daftari la Mpiga Ku...Soma zaidi - 11th Oct, 2024 Serikali imeendelea kujali walimu kwa vitendoSoma zaidi - 11th Oct, 2024 Viongozi wahimizwa kuweka mkazo, watu kujitokeza kujiandikishaSoma zaidi Hotuba Matukio ya Kitaifa Nukuu za Waziri Mkuu Uzalendo ndio utalifanya Taifa liendelee kujitegemea, hivyo ni muhimu suala hilo likapewa kipaumbele. Tusikubali kushawishiwa na Mtanzania yeyote anayetumiwa na watu wenye lengo la kutaka kuja kututawala, tusikubali lazima tuendelee kuwa huru na tulinde rasilimali kwa manufaa ya wote.Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa 08th Dec, 2020
https://www.orpp.go.tz/
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imepongezwa kwa namna ambavyo imekuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha Vyama vya Siasa vinajiendesha kama taasisi na kwa kuzingatia sheria na taraatibu za kidemokrasia. Soma zaidi.. Karibu kwenye tovuti ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa . Kupitia tovuti hii, utapata taarifa za uhakika juu ya shughuli za Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini na taarifa za uhakika juu ya Vyama vya Siasa. Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imejikita katika usimamizi wa Sheria ya Vyama vya Siasa Na 5 ya mwaka 1992 na Sheria ya Gharama za uchaguzi ya mwaka 2010 ili kuhakikisha uwepo na ukuaji wa demokrasia ya vyama vingi nchini. Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imepongezwa kwa namna ambavyo imekuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha Vyama vya Siasa vinajiendesha kama taasisi na kwa kuzingatia sheria na taraatibu za kidemokrasia. Soma zaidi.. Baraza la Vyama vya Siasa limeafiki kutoa pongezi za dhati kwa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa namna ambavyo ameendelea kuimarisha Demokrasia nchini kwa kuboresha Baraza la Vyama vya Siasa nchini. Soma zaidi.. Watumishi Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa watakiwa kuzingatia matumizi sahihi ya vifaa vya TEHAMA na kuwa makini wanapokuwa katika mitandao ya kijamii ili kuhakikisha wanalinda unyeti wa ofisi hiyo. Soma zaidi.. Rais Samia amekipongeza Kikosi Kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa nchini kwa kazi nzuri walioifanya ya kuchambua maoni ya wadau kwa kipindi cha miezi 10. Soma zaidi..
https://twitter.com/ccm_tanzania?ref_src=twsrc%5Etfw