English
stringlengths
10
646
Sheng
stringlengths
7
602
.What I tell you in the dark, speak in the daylight; what is whispered in your ear, proclaim from the roofs.
Chenye nimekuambia gizani, bonga kwa daylight; chenye umeambiwa ka whisper kwa maskio yako, toboa mbele ya wasee.
.Do not be afraid of those who kill the body but cannot kill the soul. Rather, be afraid of the One who can destroy both soul and body in hell.
Usiogope wale wana dedisha mwili pekee lakini wanaacha roho. Lakini itabidii umeogopa yule mdhii anaweza kudedisha mwili na roho both, kwa eternal flames.
.Are not two sparrows sold for a penny? Yet not one of them will fall to the ground apart from the will of your Father.
Cheki, si ndush mbili hukindwa peni moja? Lakini hanaku ata moja ya mandush yenye huloba kwa grao bila ya nia ya buda wako kutendwa, yaani a agree.
.And even the very hairs of your head are all numbered.
Hata nywele za kichwa yako zimesha pigiwa mahesabu.
.So don't be afraid; you are worth more than many sparrows.
So usiogope; we ni worth zaidi ya mandush mob.
."Whoever acknowledges me before men, I will also acknowledge him before my Father in heaven.
Mdhii mwenye ana recognize jina yangu before maboi wake, mi nita recognize jina yake mbele ya buda wangu heaven.
.But whoever disowns me before men, I will disown him before my Father in heaven.
Lakini mafans wote wataniruka mbele ya maboiz, nitawaruka mbele ya budaz wa mine heaven.
."Do not suppose that I have come to bring peace to the earth. I did not come to bring peace, but a sword.
Usidhanie nimekuja kuleta peace {Njaro za Kofi Annan Kenya} kwa earth.{Sija come hizo madesign,}nimeleta war ya mapanga.
. For I have come to turn
Nime come ku pindua {serikali za makeja}
" 'a man against his father,
" ' Mzae akuwe na beef na mtoi wake chali,
a daughter against her mother,
manzi akuwe na beef na mathake,
a daughter-in-law against her mother-in-law -
dota in law akuwe na beef na mathake in law{although saa hii- hiyo tayari ndio order}
.a man's enemies will be the members of his own household.'
Enemy wa wadhii watatokezea tu kejani kwao.
."Anyone who loves his father or mother more than me is not worthy of me; anyone who loves his son or daughter more than me is not worthy of me;
Mwenye atalove mbuyuz au mathake kuniliko hani fai,{hajatosha ku roll na mimi}; na yote mwenye ana love mtoi wake chali au dame kuniliko ameniangusha, so hatuwezi bond;
.and anyone who does not take his cross and follow me is not worthy of me.
msee yote mwenye haezi bamba cross yaki{na si ile chain} anifuate ha-fit kuwa kwa crew yangu;
.Whoever finds his life will lose it, and whoever loses his life for my sake will find it.
yule atafind life yake atai lostisha, na yule atalostisha life yake juu yangu tu, ataiget.
."He who receives you receives me, and he who receives me receives the one who sent me.
Mse aki kuwelcome ameni welcome, yule amenipokea amepokea mwenye alini send.
.Anyone who receives a prophet because he is a prophet will receive a prophet's reward, and anyone who receives a righteous man because he is a righteous man will receive a righteous man's reward.
Cheki, yote ata welcome prophet ju ni prophet atapokea reward ya prophet, na yule ata pokea righteous man juu ni righteous man ataget burungo inafaa kugeiwa mse righteous.
.Jesus stepped into a boat, crossed over and came to his own town.
JC alidandia boat akiwa na njaro imfikishe kwa hood yake.
.Some men brought to him a paralytic, lying on a mat. When Jesus saw their faith, he said to the paralytic, "Take heart, son; your sins are forgiven."
Wanati fulani wakamletea kilema, amedoze juu ya mat. JC aliposorora faith yao akaona iko juu tu sana, akashow kilema," Jipe moyo mtoi wa mine; dhambi zako zimesamehewa."
.At this, some of the teachers of the law said to themselves, "This fellow is blaspheming!"
Ju ya hiyo statement ajabu, ma mode wa law wakajiambia stori, "huyu jamaa ana blaspheme!"
.Knowing their thoughts, Jesus said, "Why do you entertain evil thoughts in your hearts?
JC naye alikuwa ashawapima akili akajua thoughts zao so aka say,"Mbona munafikiria vi wiked hivo ju ya hii stori kwa moyo zenu?
.Which is easier: to say, 'Your sins are forgiven,' or to say, 'Get up and walk'?
Ni gani rahisi: ku dai 'Dhambi zako simesamehewa,' au kudai, 'amka utembee'?
.But so that you may know that the Son of Man has authority on earth to forgive sins...." Then he said to the paralytic, "Get up, take your mat and go home."
Lakini ndio mjue Mtoi wa binadamu ako na say kwa earth ya kusamehe dhambi..." akamshow kilema, "Inuka, sakanya carpet yako na ujikate kejani."
.And the man got up and went home.
Mse akarauka akapiga route eleven hadi kejani.
.When the crowd saw this, they were filled with awe; and they praised God, who had given such authority to men.
Kirende kuona hivo wakaijazika sana ile kabisa; wakasifu god, mwenye alipeana hiyo say bwaku hivo kwa wadhii.
.As Jesus went on from there, he saw a man named Matthew sitting at the tax collector's booth. "Follow me," he told him, and Matthew got up and followed him.
Sa JC aka zidi ziara zake, akatoka hapo akishia. Akiishia akacheki mse mmoja anaitwa Mathayo ameketi kwa booth ya KRA.Akamshow,"nifuate."Mathayo,chap chap, akaamka akamfuata.
.While Jesus was having dinner at Matthew's house, many tax collectors and "sinners" came and ate with him and his disciples.
So wakati JC alikuwa akimanga kisupper hivi kwa keja ya mathayo, wasee wengi masonkwo wa KRa ya themdayzna wenye dhambi walikam kushikisha ka supperna JC na madisciples.
.When the Pharisees saw this, they asked his disciples, "Why does your teacher eat with tax collectors and 'sinners'?"
Pharisees kucheki hiyo stori, wakauliza maboi wake wa stone, "mbona mode wenu anadishi na wakora wa KRA na ma sinners.
.On hearing this, Jesus said, "It is not the healthy who need a doctor, but the sick.
Kuskia hivo JC akasema, "sio wase healthy wana need doki, ni wale sick.
.But go and learn what this means: 'I desire mercy, not sacrifice.'For I have not come to call the righteous, but sinners."
Lakini ishieni mu learn ni nini meaning ya:'Na tamani mercy, sio kusacrifice.' Ju nimekam,sio kuita wase wako poa na sir Godi lakini wale wako down, na dhambi."
.Then John's disciples came and asked him, "How is it that we and the Pharisees fast, but your disciples do not fast?"
Maboi wa Johnie wa base, yani madisciples walimkamia JC kumuask, "Niaje si na ma pharisee hu fast, lakini wewe na madisciples wako hamufast
.Jesus answered, "How can the guests of the bridegroom mourn while he is with them? The time will come when the bridegroom will be taken from them; then they will fast.
JC akashow, "Itakuwaje wageni wa boi kwa wedo wakuwe sad wakingwee na ilhali yuko nao? Lakini kuna ithaa itacome saile boi atavanish, achukuliwe from them; saa hiyo itabidi wamefast.
"No one sews a patch of unshrunk cloth on an old garment, for the patch will pull away from the garment, making the tear worse.
"Hakuna mdhii hushonelea kiraka cha nguo baggy kwa nguo mzee, ju hiyo kiraka ikishrink itavuta nguo nzee iirarue zaidi.
.Neither do men pour new wine into old wineskins. If they do, the skins will burst, the wine will run out and the wineskins will be ruined. No, they pour new wine into new wineskins, and both are preserved."
watu pia hawa weki tei latest kwa kibuyu old. Waki do ivo, tei ikichacha zaidi itafura itoboe kibuyu, alafu imwagike ikuwe waste.Zi, tei mpya ni ya kibuyu mpya alafu zote zina ishi long.
.While he was saying this, a ruler came and knelt before him and said, "My daughter has just died. But come and put your hand on her, and she will live."
Bado akisema ivo, sonkwo fulani alikamu akapiga magoti mbele ya JC akamshow, "Mtoi dem wa mine ame dia tu saii. Lakini we kuja umwekelee mkono yako, a resurrect.
.Jesus got up and went with him, and so did his disciples.
JC akarauka kwenda hiyo mishoni pamoja na sonkwo, hata maboi wake madisciples wakamfuata.
.Just then a woman who had been subject to bleeding for twelve years came up behind him and touched the edge of his cloak.
Hiyo time wakienda tu, msupa fulani alikuwa amefinyika na blood flow miaka twelve akamnyemelea nyuma akagusa pindu ya shuka ya JC
.She said to herself, "If I only touch his cloak, I will be healed."
Alikuwa amesha say,"Nikigusa tu shuka ya JC, nitakuwa poa. Healing yangu itajipa, nikuwe poa."
.Jesus turned and saw her. "Take heart, daughter," he said, "your faith has healed you." And the woman was healed from that moment.
JC akapinduka hivi akamcheki. Akamshow,"roho juu, daughter wa mine, faith yako imekuheal." Hiyo githaa cha! msupa akawa poa.
.When Jesus entered the ruler's house and saw the flute players and the noisy crowd,
JC akaingia kwakeja ya sonkwo akacheki band ya wasee wanaply flute imeshikisha mbaya na rende noisy imebangaiza hapo,
he said, "Go away. The girl is not dead but asleep." But they laughed at him.
Akasay, "ishieni. huyu manzi hajadedi, ako mdozement tu." Wakamcheka mbaya.
.After the crowd had been put outside, he went in and took the girl by the hand, and she got up.
Wakati rende ilikuwa imefukuzwa nje, akaingia akachukua mkono ya huyo mshi, mshi akaresurrect.
.News of this spread through all that region.
Wasee wakatangaza hiyo habari kwa hood yote hapo karibu.
.As Jesus went on from there, two blind men followed him, calling out, "Have mercy on us, Son of David!"
JC akatoka hapo akashika maziara akaishia, wasee wawili blind wakamweka bampa, wakamfuata wakimuita,'tuonee huruma mtoi waDavie!'
.When he had gone indoors, the blind men came to him, and he asked them, "Do you believe that I am able to do this?" "Yes, Lord," they replied.
Wakati JCaliingia kwa hau, wale wasee blind wakamkamia, akawauliza, mnabelieve naweza do hio"' 'Tunabelieve boss', wakasema.
.Then he touched their eyes and said, "According to your faith will it be done to you";
'JC akagusa macho zao akawashow,"vile mumeamini wacha iwafanyikie hivo'"
.and their sight was restored. Jesus warned them sternly, "See that no one knows about this."
wakaweza kucheki poa. JC akawashow warning,"mse yeyote asijue nimewa heal."
.But they went out and spread the news about him all over that region.
Lakini wakati walitoka hapo tu hivi, walishow kila msee kwa hiyo area code vile JC aliwa heal.
.While they were going out, a man who was demon-possessed and could not talk was brought to Jesus.
Wakati walikuwa wanaishia nje, jamaa alikuwa amepagawa mapepo hata hange speak akaletwa kwa Jeso.
.And when the demon was driven out, the man who had been mute spoke. The crowd was amazed and said, "Nothing like this has ever been seen in Israel."
JC akadeliver huyo mse from mashaitula, zikamwacha, akaanza kunego. Rende ikaduwaa mbaya wakasay,"hakuna something ka hii imewai happen israel muzima."
.But the Pharisees said, "It is by the prince of demons that he drives out demons."
Lakini mafarisayo wakasema, "ni ju ya mdosi wa mashaitula ndio amedrive out mashaitula."
."Do not judge, or you too will be judged.
Usipimanishe msee kuwa-jaj ju pia wewe utajajiwa.
.For in the same way you judge others, you will be judged, and with the measure you use, it will be measured to you.
Vile umejaj watu ndio utajajiwa{hivyo tu!} na vile unapimanishia wasee ndio hivyo tu pia wewe utapimiwa
."Why do you look at the speck of sawdust in your brother's eye and pay no attention to the plank in your own eye?
Mbona una-notice chembe ya saw dust kwa rithos ya bro wako na huwezi jichunguza u-notice kimbao chenye kiko kwa rithos yako.
.How can you say to your brother, 'Let me take the speck out of your eye,' when all the time there is a plank in your own eye?
Unawezaje dai kwa bro wako ati, " wacha nikusort hiyo chembe iko kwa jicho yako,' na hiyo githaa yote kuna wood imeloj kwa jicho yako?
.You hypocrite, first take the plank out of your own eye, and then you will see clearly to remove the speck from your brother's eye.
We mse fake, kwanza jisort! toa hiyo log iko kwa macho yako, alafu utacheki poa hata utasort boys wako ile chembe iko kwa macho yake.
."Do not give dogs what is sacred; do not throw your pearls to pigs. If you do, they may trample them under their feet, and then turn and tear you to pieces.
Usipeane kwa ma bow wow vitu purest; usitupie mbuzi ulaya ma-pearls zako. Juu Uki do ivo, bado watazikanyaga chini ya miguu ka trash, alafu wakuanzie wakuvunje vunje vipande.
."Ask and it will be given to you; seek and you will find; knock and the door will be opened to you.
Uliza na utageiwa chenye una ask; saka na utapata; gonga mlango na doaa itafunguliwa kwako.
.For everyone who asks receives; he who seeks finds; and to him who knocks, the door will be opened.
kila mwenye huuliza anapokea; mwenye husaka huget; na mwenye anabisha, door hufunguliwa kwake.
."Which of you, if his son asks for bread, will give him a stone?
Ni nani akiulizwa na mtoi wake dibre atageiana stone?
.Or if he asks for a fish, will give him a snake?
au akiulizwa ki-omena atageiana nyoka?
.If you, then, though you are evil, know how to give good gifts to your children, how much more will your Father in heaven give good gifts to those who ask him!
So ka nyinyi wawiked hivo mnamesea kugeiana magift noma noma kwa watoi wenu, itakuwaje Sir Godi akiwa heaven akose kugeiana burungo za nguvu kwa wale wameulizia kwake?
.So in everything, do to others what you would have them do to you, for this sums up the Law and the Prophets.
Ju ya hiyo stori, kwa kila something, duia wazeiya vile we unge-like waku duie, ju hii agizo inasakanya zote law na prophets teachings pamoja.
."Enter through the narrow gate. For wide is the gate and broad is the road that leads to destruction, and many enter through it.
Penya na mlango ile slim jo! Ju ile mlango b.i.g ni ile noma, inaelekea kwa shaitula na kwa disasta, na rende meja imechora kupenyea hapo.
.But small is the gate and narrow the road that leads to life, and only a few find it.
Lakini We jua; Mlango ya eternal life ni ndogo na ni slim although itakupeleka heaven, lakini wasee wa few ndio wata iangukia.
."Watch out for false prophets. They come to you in sheep's clothing, but inwardly they are ferocious wolves.
So kaeni rada mbaya, mkicheki msipotezwe na mafalse prophets. Wao hukam ka wasee washpiri; wata wadestroy na mauwongo zao, mki danganyika.
.By their fruit you will recognize them. Do people pick grapes from thornbushes, or figs from thistles?
Mukiwa wajanja mtacheki fruits zao fake na mtajua ni waongo.Je,kuna mse hu hustle grapes kwa ma bush, au a-hustle mkuyu kwa miba?
.Likewise every good tree bears good fruit, but a bad tree bears bad fruit.
Hivo pia kila mti poa huzaa ma-fruits poa, na kila mti wiked huzaa ma-friuts mbaya.
.A good tree cannot bear bad fruit, and a bad tree cannot bear good fruit.
Mti poa haiwezi hustle fruits mbaya , na ivo ivo tree wiked haiwezi produce fruits poa.
.Every tree that does not bear good fruit is cut down and thrown into the fire.
Kila mti yenye halieti action profitable ya kuzaa mafruit poa itakatwa down ichujwe ndani ya nare.
.Thus, by their fruit you will recognize them.
Mta wadiscover kwa mafruit zao.
."Not everyone who says to me, 'Lord, Lord,' will enter the kingdom of heaven, but only he who does the will of my Father who is in heaven.
Sio mafans wote wanani-call 'Bwana,bwana,' wata angukia kingdom ya heaven, itakuwa tu exclusively wale mafans wana do exactly vile nia ya mbuyuz wangu heaven iko, vile ame expect wa do.
.Many will say to me on that day, 'Lord, Lord, did we not prophesy in your name, and in your name drive out demons and perform many miracles?'
ma-fans wengi hiyo day watanishow, ''Boss, boss, si tuliprophesy tukitumia name yako, na by your name tukatoa mapepo na ku do ma miracles ajabu?'
.Then I will tell them plainly, 'I never knew you. Away from me, you evildoers!'
Lakini nitawashow tu laiv laiv, 'Sikuwajua. Ebu niondokee, nyi wenye dhambi!'
."Therefore everyone who hears these words of mine and puts them into practice is like a wise man who built his house on the rock.
Kila mdhii anaskia hizi words zangu alafu azitumie ku-change life yake ni kama guru fulani m-wise mwenye alijenga hao yake juu ya ma rock.
.The rain came down, the streams rose, and the winds blew and beat against that house; yet it did not fall, because it had its foundation on the rock.
Kuna venye rain mzito ilinyesha, mafuriko ika rise, upepo zika vuma vistrong na kuchapanisha hiyo hao; lakini haikunesh, ju ilikuwa imejisunda base yake juu ya jabali.
.But everyone who hears these words of mine and does not put them into practice is like a foolish man who built his house on sand.
Lakini kila mdhii ataskia hizi words za mine alafu alenge ku change maisha yake ni kama yule todhi ali jenga keja juu ya mchanga mwepesi.
After Jesus had gone without eating for forty days and nights, he was very hungry.
Juu Jesus hakuwa amemanga food siku ka hivi, alikuwa na ubao jo!
Then the devil came to him and said, "If you are God's Son, tell these stones to turn into bread."
So Devo akamshow,Niaje, kaa we ni mkidi wa Sir God, si ushow hizi mawe hapa zikuwe dibre saa hii
Jesus answered, "The Scriptures say: 'No one can live only on food. People need every word that God has spoken.' "
Lakini man J.C. akamshow, Word inasema mse haishi juu amejiseti na dibre au food yoyote. Mse hu-exist juu ya kila word chenye God ana-say!
Next, the devil took Jesus to the holy city and had him stand on the highest part of the temple.
Baadae, Shaito akadecide ambebe mpaka holy city na amseti juu yatemplekabisa.
The devil said, "If you are God's Son, jump off. The Scriptures say: 'God will give his angels orders about you. They will catch you in their arms, and you won't hurt your feet on the stones.' "
Wakifika hapo, Nick akatry kumshow, Do hivi, kaa wewe ni mjunior wa Sir God for sure, ruka down kutoka hapa! Kwani? Si word imechorwa ati ma-angel watakubamba na mikono zao? Ata hutakanyagia down kwa hizi magutone!
Jesus answered, "The Scriptures also say, 'Don't try to test the Lord your God!' "
Lakini J.C. alikuwa lembe, akamshow, Lakini si word pia inasay Usitry kupima Sir God na chenye una-do!
Finally, the devil took Jesus up on a very high mountain and showed him all the kingdoms on earth and their power.
Juu ya hiyo risto, Man Lucifer akacheki ni kuzii, mse hashtuki, ala! So akam-take mpaka juu yaMt.Everestya hizo sides, akamshow mtaa zote za masonko wa hiyo time, ma-ganjii zao, makeja zao bigi bigi na venye walikuwa na say bigi mtaani.
The devil said to him, "I will give all this to you, if you will bow down and worship me."
After ame-do hivyo akamshow J.C., Ntakugee hizi vitu zote saa hizi kaa uta-bow down juu ya huyu mse apa hivi!
Jesus answered, "Go away Satan! The Scriptures say: 'Worship the Lord your God and serve only him.' "
Lakini wapi! Jesus alimshow aje, We ishia jo! Word ina-say tubow down kwa Sir God only na tu-do job zake solo! So hakuna chenye unanishow!
Then the devil left Jesus, and angels came to help him.
Devo akadecide kuishia na , ma angels wakacome kumsaidia
But instead of staying inNazareth, Jesus moved toCapernaum. This town was besideLakeGalileein theterritoryofZebulunand Naphtali.
Lakini badala ya ku-chillNazareth, J.C. akadecide kuhama mpakaCapernaum place ilikuwanga kando ya Lake yaGalileendani ya territory ya Zebulun na Naphtali.
So God's promise came true, just as the prophet Isaiah had said,
Kwa hivyo, venye Prophet Isaiah alikuwa amesay kitambo ilikam kuwa ukweli,
"Listen, lands of Zebulun and Naphtali, lands along the road to the sea and east of the Jordan! ListenGalilee, land of the Gentiles!
Ati Skizeni, area code za Zebulun na Naphtali, ploti zenye ziko next na baro na east yaJordan river. Skiza Galilee, land ya ma-Gentile!
Although your people live in darkness, they will see a bright light. Although they live in the shadow of death, a light will shine on them."
Ata kaa wasee wa hiyo place yenu ni hard sana waoni stima, watacheck ki-light kibigi. Ata kaa wanapozi michochoro imejaa njaro zinaeza leta noma, watacheki light ikiwaangazia.
Then Jesus started preaching, "Turn back to God! The kingdom of heaven will soon be here."
Saa hizo ndio man J.C. alianza ku-preach akishow wasee, Ebu repent madhambi zenu! Kingdom ya Sir God itakuwa around hivi karibuni!
While Jesus was walking along the shore of Lake Galilee, he saw two brothers. One was Simon, also known as Peter, and the other was Andrew. They were fishermen, and they were casting their net into the lake.
Hiyo mtaa tu, time Fulani akitembea karibu na shore ya Galilee aka check mabro watwice wakitry kushika mafish kwalakenama-net. Mmoja alikuwa Peter na wa twice alikuwa anaita Andrew.
.After Jesus was born in Bethlehem in Judea, during the time of King Herod, Magi from the east came to Jerusalem
Baada ya Baby JC kuzaliwa mtaa wa Bethlehem Judea na hauu, hizo tu nyakati za sonko Herod, mamajusi wa east walikam Jerusa
.and asked, "Where is the one who has been born king of the Jews? We saw his star in the east and have come to worship him."
waka ask, "Niasaje? Ako wea huyo mkidi amezaliwa ka king wa ma jews? Tulicheki nyota yake east so tumecome kumsaka tum worship.
.When King Herod heard this he was disturbed, and all Jerusalem with him.
Herod kuskia hiyo vako, ikam disturb meja, hata Jerusa yote ikasumbuka akili.
.When he had called together all the people's chief priests and teachers of the law, he asked them where the Christ was to be born.
Baada ya kuwa call together ma pasii wa rende yote na ma mode wa law, akawaulizia wamshow ni wapi Jeso Kristo ange borniwa.
."In Bethlehem in Judea," they replied, "for this is what the prophet has written:
"Hapa tu area code yetu Kwanza ni Bethlehem, ya Judea." wakamshow, "Hivo ndio ma-higherman waliandika wakadai:
." 'But you, Bethlehem, in the land of Judah,
" Nyi Bethlehem, land ya Judea