English
stringlengths
10
646
Sheng
stringlengths
7
602
.Jesus answered them, "Did I not choose you, the twelve, and one of you is a devil?"
JC akawajibu, "Si niliwachagua, nyi twelve, na mmoja wenu ni shaitula?"
.After this there was a feast of the Jews, and Jesus went up to Jerusalem.
Kisha baada ya this kulikuwa na feast ya wayahudi, JC akaishia up hadi Jerusa.
.Now there is in Jerusalem by the Sheep Gate a pool, which is called in Hebrew, Bethesda, having five porches.
Sa kulikuwa pale tu Jerusa karibu na Sheep Gate, pool fulani, yenye inaitwa kwa kilugha ya hebrew Bethesda, ambayo ina verandah kinde.
.In these lay a great multitude of sick people, blind, lame, paralyzed, waiting for the moving of the water.
Hapo kumelazwa umati bwaku ya wadhii wa sick, blind, walemavu, wasee paralyzes, wakingoja tu ile maji ikorogwe.
.For an angel went down at a certain time into the pool and stirred up the water; then whoever stepped in first, after the stirring of the water, was made well of whatever disease he had.
Ju angel alikuwa akishuka down time fulani ndani ya pool na kukoroga ile maji; kisha yule mse wa fao kuingia, baada ya maji kukorogwa, alikuwa healed disease yoyote alikuwa nayo.
.Now a certain man was there who had an infirmity thirty-eight years.
Sa kulikuwan na a certain jamaa mwenye alikuwa ameget sickness ika kwama na yeye miaka thirty eight.
.When Jesus saw him lying there, and knew that he already had been in that condition a long time, He said to him, "Do you want to be made well?"
Vile JC alimcheki akilala hapo, na akamesea that alikuwa tayari ametulia kwa hiyo condition miaka mob, akamshow, "Unataka kuwa poa?"
.The sick man answered Him, "Sir, I have no man to put me into the pool when the water is stirred up; but while I am coming, another steps down before me."
Ule mse msick akamjibu,"Biss, sinamse wa kuniweka ndani ya pool ile ithaa maji inakorogwa; lakini vile bado nianasogelea, manze, jamaa mwingine anawai mbele yangu."
.Jesus said to him, "Rise, take up your bed and walk."
JC akamshow niaje,"Rise chukua bed yako na utembee."
.And immediately the man was made well, took up his bed, and walked. And that day was the Sabbath.
Mara one jamaa akakuwa poa, akapick up bed yake, akawalk. Na that day ilikuwa ni the sabbath.
.The Jews therefore said to him who was cured, "It is the Sabbath; it is not lawful for you to carry your bed."
Wale ma Jews basi wakamshow niaje umepona aje, "kwanza ni sabbath , haufai kubeba bed yako, sio lawful."
.He answered them, "He who made me well said to me, 'Take up your bed and walk.' "
Akawajibu, "Ye mwenye alini make poa alinishow,'Chukua mat yako na utembee.' "
.Then they asked him, "Who is the Man who said to you, 'Take up your bed and walk'?"
Kisha wakamask, "Nani njo ule mse alikushow ati Chukua bed yako u walk'?"
.But the one who was healed did not know who it was, for Jesus had withdrawn, a multitude being in that place.
Lakini yule mse alikuwa amehealiwa hakumesea ni nani alikuwa amemshow ivo, ju JC alikuwa amehepa ndani ya rende, ju rende ikiwa ile place.
.Afterward Jesus found him in the temple, and said to him, "See, you have been made well. Sin no more, lest a worse thing come upon you."
Bahadayez JC akampata ndani ya hekalu, akamwambia niaje, "Cheki mtu wangu, usha fanywa poa. Usi do dhambi tena, ama kitu worse itakufanyikia."
.The man departed and told the Jews that it was Jesus who had made him well.
Mse akaishia na kushow wale wayahdi, "by the way ilikuwa JC njo alini fanya poa.
.For this reason the Jews persecuted Jesus, and sought to kill Him, because He had done these things on the Sabbath.
Ju ya hii reason wale jews wakamhanda JC, hata wakasaka njia ya kummada, ju alikuwa ame do vitu hizi siku ya sabbath.
.But Jesus answered them, "My Father has been working until now, and I have been working."
Lakini JC akawajibu, "Mbuyuz wangu ako wira hadi wa sasa manze, na mimi pia nimekuwa janta."
.Therefore the Jews sought all the more to kill Him, because He not only broke the Sabbath, but also said that God was His Father, making Himself equal with God.
Kwa ivo wale wayahudi wakasaka ha ta zaidi vile watamwua, ju hakuwa tu ati amevunja sabbath laws, lakini sasa alikuwa anadai ati sir Godi ni mbuyus wake, yani kujitoshanisha na sir Godi.
.Then Jesus answered and said to them, "Most assuredly, I say to you, the Son can do nothing of Himself, but what He sees the Father do; for whatever He does, the Son also does in like manner.
Kisha JC aliwajibu nakuwashow, "For real kabisa nawashow hivi kuwa assure, mtoi son hawezi do anything pekee yake, lakini anado vile amecheki mbuyuz wake aki do; ju chochote mbuyu wake hufanya, mtoi son pia anaifanya ivo ivo vile mbuyu amefanya.
."For the Father loves the Son, and shows Him all things that He Himself does; and He will show Him greater works than these, that you may marvel.
"Jumbuyuz ana love mtoi wake son, na anamshow kila kitu chenye ye ana fanya; na pia atamshow vitubwaku kuliko hapo vile amemshow, hadi mshangae.
."For as the Father raises the dead and gives life to them, even so the Son gives life to whom He will.
"Ju vile tu fadhe hurausha wasee wenye wamededi hadi akawagei uhai, ivo tu hata mtoi Chali hupeana uhai kwa yule amependa.
."For the Father judges no one, but has committed all judgment to the Son,
"Ju fadhe ha judge mse, lakini amewachia iyo kazi yote ya ku judge wasee to the son,
."that all should honor the Son just as they honor the Father. He who does not honor the Son does not honor the Father who sent Him.
"njo kila mse apeane respect andhonor kwa mtoi son vile tu wanarespect na ku honor the father.
."Most assuredly, I say to you, he who hears My word and believes in Him who sent Me has everlasting life, and shall not come into judgment, but has passed from death into life.
"For real nawahakikishia nikiwashow ivi, yeyemwenye anaskiza word yangu na kuamini in mwenye alinituma amepokea eternal life, na hataingia into judgement, lakini asha vuka from kifo into life.
."Most assuredly, I say to you, the hour is coming, and now is, when the dead will hear the voice of the Son of God; and those who hear will live.
"For real nawahakikishia nikiwashow ivi, ithaa inakam, na hata njo hii, nyakati wale wamedie wataskia sauti ya mtoi chali wa sir Godi; na wale wataiskia wataishi.
."For as the Father has life in Himself, so He has granted the Son to have life in Himself,
"Ju vile tu fathe ako na life ndani yake, pia amekubali hatamtoi wake son akuwe na life ndani yake,
."and has given Him authority to execute judgment also, because He is the Son of Man.
"Na amegeiana mamlaka kwa son yake yakutoa judgement pia, ju yeye ni mtoi wa adam.
. "Do not marvel at this; for the hour is coming in which all who are in the graves will hear His voice
Msi shangae Ju ya hizi vitu; ju saa inakam ambapo kila mse mwenyeamelala kea kaburi ataskia sauti yake
. "and come forth--those who have done good, to the resurrection of life, and those who have done evil, to the resurrection of condemnation.
"Na kutokezea--walewamedo vitu poa, waingie into the resurrection ya life, na wale wamedo vituwicked, kwa ile resurrection ya kuhukumika.
."I can of Myself do nothing. As I hear, I judge; and My judgment is righteous, because I do not seek My own will but the will of the Father who sent Me.
"Mi kwapekee yangu siwezi do anything. Vile nimeskia, na judge; na judgement yangu ni righteous, ju sijitafutii mya own way lakini nasajka ile will ya sir Godi fathe mwenye alinituma.
."If I bear witness of Myself, My witness is not true.
"Nikipeana ushahidi wa myself, ushahidi wangu sio kweli.
."There is another who bears witness of Me, and I know that the witness which He witnesses of Me is true.
kuna mwingine anatoa ushahidi ju yangu, na najua kuwa ile ushahidi yake juu yangu ni true.
."You have sent to John, and he has borne witness to the truth.
"Mlitumana kwa Johnie,na akashuhudia to the truth.
."Yet I do not receive testimony from man, but I say these things that you may be saved.
"Lakini sikubali ushahidi from mse, lakini nasema izi vitu njomkuwe saved.
."He was the burning and shining lamp, and you were willing for a time to rejoice in his light.
"Alikuwaga ile mwangaza inachoma na kuwaka, na nyi mlijitolea for some time kujazika kwa iyo light yake.
."But I have a greater witness than John's; for the works which the Father has given Me to finish--the very works that I do--bear witness of Me, that the Father has sent Me.
"Lakini nikona ushahidi greater than ya Johnie; ju works zangu zile mbuyuz amenipea kumalizia -- izo izo works zenye na do -- zinanitolea ushahidi, that mbuyuz amenituma.
."And the Father Himself, who sent Me, has testified of Me. You have neither heard His voice at any time, nor seen His form.
"Na mbuyuz mwenyewe, mwenye alinituma, asha toa testimony ya mimi. Hamja skia voice yake time yoyote wala hamjacheki form yake.
"But you do not have His word abiding in you, because whom He sent, Him you do not believe.
"Lakini hamna word yake yenye imepolea ndani yenu,ju mwenye alituma, yeye hamja mwamini.
."You search the Scriptures, for in them you think you have eternal life; and these are they which testify of Me.
"Mnasaka sripture, ju mnadhani ndani yake kuna eternal life; na hizi njo zile zinashuhudia ju yangu.
."But you are not willing to come to Me that you may have life.
"Lakini hamko willing kukam kwangu njo mpate uzima wa milele.
."I do not receive honor from men.
"Sipokeagi ma respect za wasee.
. "But I know you, that you do not have the love of God in you.
Lakini nawajua, that hamna love ya sir Godi ndani yenu.
."I have come in My Father's name, and you do not receive Me; if another comes in his own name, him you will receive.
"Nimekam na jina ya Mbuyu wangu,na hamja nipokea; ka mwingine ata show up na CV yake, yeye mtampokea.
."How can you believe, who receive honor from one another, and do not seek the honor that comes from the only God?
"Mnaezaje believe, wenye mnapokea respect zenyu wenyewe,na hamtafuti respect ile inatoka kwa sir Godi?
."Do not think that I shall accuse you to the Father; there is one who accuses you--Moses, in whom you trust.
"Usidhani that nina washtaki kwa mbuyu wangu; kuna mse anawashtaki--Mose, in whom mmeamini.
."For if you believed Moses, you would believe Me; for he wrote about Me.
null
."But if you do not believe his writings, how will you believe My words?"
null
.The Pharisees heard that Jesus was gaining and baptizing more disciples than John,
Wale mafarisayo wakaskia ati JC alikuwa akiget wasee more ka disciples na kuwa baptize hata kushinda Johnie,
.although in fact it was not Jesus who baptized, but his disciples.
although haikuwa ivo, ju infacthaikuwa JC alikuwa ana baptize, ilikuwa disciples wake.
.When the Lord learned of this, he left Judea and went back once more to Galilee.
Vile bwana mdosi alijifunza of this, akakitoa from Judea na kwenda back mara ingine hadi Galilee.
.Now he had to go through Samaria.
Lakini sasa ilibidi amepasulia baro through Samaria.
.So he came to a town in Samaria called Sychar, near the plot of ground Jacob had given to his son Joseph.
Kwa hivo aka kam kwa tao ndani ya samaria iliitagwa Sychar, karibu na ile plot ya grao Jacob aligeiana kwa son wake Josee.
.Jacob's well was there,and Jesus, tired as he was from the journey, sat down by the well. It was about the sixth hour.
Ile kisima ya Jacob ilikuwa hapo, na JC, Ju alikuwa ameisha ju ya ile safari, akapoa down pale kwa well.Ilikuwa ka saa sita.
.When a Samaritan woman came to draw water, Jesus said to her, "Will you give me a drink?"
Sa vile matha msamaritan alishow upo kuteka maji, JC akamwuliza, "Je, utanigei a drink?"
.(His disciples had gone into the town to buy food.)
(Disciples wake walikuwa wameishia hadi tao ku buy dishi.)
.The Samaritan woman said to him, "You are a Jew and I am a Samaritan woman. How can you ask me for a drink?" (For Jews do not associate with Samaritans.)
Yule mdem msamaritanakamshow niaje,"Wewe ni myahudi na mi ni manzi msamaria. Unaezaje niuliza a drink?" (Ju wayahudi hawa mixigi ama kupatana na samaritans kabisa.)
.Jesus answered her, "If you knew the gift of God and who it is that asks you for a drink, you would have asked him and he would have given you living water."
Jesus akamjibu dem, "Ka ungejua gift ya sir Godi na ni nani mwenye anakuuliza for a drink, ungesha muask na angekugei maji living."
."Sir," the woman said, "you have nothing to draw with and the well is deep. Where can you get this living water?
Huyo madam akadai, "Boss,hauna any ya kuchotea nayo na pia kisima ni deep. Wapi basi utaget hii maji living?
.Are you greater than our father Jacob, who gave us the well and drank from it himself, as did also his sons and his flocks and herds?"
Kwani wewe ni mdosi kushinda mbuyu wetu Jacob,mwenyealitugei hii well na pia aka drink kutoka kwake ye mwentewe, kama tu pia sons wake na groups za mifugo wake?"
.Jesus answered, "Everyone who drinks this water will be thirsty again,
JC akajibu aje,"Kila mse mwenye ana drink hiimaji atakuwa thirsty tena,
.but whoever drinks the water I give him will never thirst. Indeed, the water I give him will become in him a spring of water welling up to eternal life."
lakini mwenye anadrink ile maji nitamgei hatawahi kuwana thirst. Kwa kweli, ile wode nitamgei itakuwa ndani yake ka spring ya maji ikiover flow to maisha ya fore."
.The woman said to him, "Sir, give me this water so that I won't get thirsty and have to keep coming here to draw water."
Yule matha akamshow,"Boss, nigei hii maji basi njo sitaget kiu yenye inaniforce kuwa nikirudi rudi hapa kuchota maji."
.He told her, "Go, call your husband and come back."
JC akamshow, "Ishia,ita hazi yako na alafu urudi."
. "I have no husband," she replied.Jesus said to her, "You are right when you say you have no husband.
Akamshow, "Sina hazi."JC akamshow, "Uko right vile umesema hauna hazi.
.The fact is, you have had five husbands, and the man you now have is not your husband. What you have just said is quite true."
Fact ni, umekuwa na hazi watano, na yule jamaa mwenye ukona yeye saa hii si hazi yako. Chenye umebonga ni kweli kabisa."
."Sir," the woman said, "I can see that you are a prophet.
Yule madam akasema,"Boss, nacheki thatwewe ni prophet.
.Our fathers worshiped on this mountain, but you Jews claim that the place where we must worship is in Jerusalem."
Mafadhe wetu wali worship kwa hii mlima,lakini nyi jews mnadai that ile place wasee lazima tu abudu sir Godi ni Jerusa."
.Jesus declared, "Believe me, woman, a time is coming when you will worship the Father neither on this mountain nor in Jerusalem.
JC akadai, "Niamini, madam, time inakam when hamta worship the Mbuyu wa heaven kwa hii mlima ama Jerusa."
.You Samaritans worship what you do not know; we worship what we do know, for salvation is from the Jews.
Nyi samaritans mna worship chenye hamjui; si tuna worship chenye tunajua, ju salvation ni ya from wayahudi.
.Yet a time is coming and has now come when the true worshipers will worship the Father in spirit and truth, for they are the kind of worshipers the Father seeks.
Lakini time inakam na sasa isha kam that wale wasee wana worship cha cha ukwela watamworship kwa spirit na truth, ju hao njo wale worshipers mbuyu anatafuta.
.God is spirit, and his worshipers must worship in spirit and in truth."
God ni spirit, na wale worshipers wake lazima wamworship in spiritna in truth."
.The woman said, "I know that Messiah" (called Christ) "is coming. When he comes, he will explain everything to us."
Yule madam akasema, "Najua Messiah (yule kristo) anakam. Navile akikam ivi ata explain kila kitu to us."
.Then Jesus declared, "I who speak to you am he."
Kisha JC akadeclare, "Mimwenye nakubongesha njo yeye."
.Just then his disciples returned and were surprised to find him talking with a woman. But no one asked, "What do you want?" or "Why are you talking with her?"
Mara ile ile disciples wake wakarejeana kushangaa ati JC anabongesha madam. Lakini hakuna mse aliuliza, "Unataka what?" ama "Mbona unabonga na huyo madam?"
.Then, leaving her water jar, the woman went back to the town and said to the people,
Kisha, akiacha mtungi yake ya maji, yule matha akarudi hadi tao na kushow wasee,
."Come, see a man who told me everything I ever did. Could this be the Christ?"
"Kamuni mcheki jamaa mwenye amenishow kila kitu nimewahi do. Kwani je, huyuanaweza kuwa njo kristo?"
.They came out of the town and made their way toward him.
So wakakam out toka tao na kusaka njia hadi wakafika kwake.
.Meanwhile his disciples urged him, "Rabbi, eat something."
Katika ile hali disciples wake wakampressure, "Rabbi, ebu dishi something at least."
.But he said to them, "I have food to eat that you know nothing about."
Lakiniakawaashow, "Niko na demo ya kumanga yenye hata nyinyi hamjui any kuihusu."
.Then his disciples said to each other, "Could someone have brought him food?"
Kisha disciples wake wakasemezana,"Mse anaweza kuwa alimletea dishi?"
."My food," said Jesus, "is to do the will of him who sent me and to finish his work.
"Dishi yangu,"JC akasema, "ni ku do mapenzi ya yule alinisend na kumaliza janta yake.
.Do you not say, 'Four months more and then the harvest'? I tell you, open your eyes and look at the fields! They are ripe for harvest.
Sinyi husay, 'Months zzingine nne zaidi na alafu harvest iive'? Baas! Nawashow, fungueni eyes zenu na mcheki mashake!Ziko tayari kuvunwa.
.Even now the reaper draws his wages, even now he harvests the crop for eternal life, so that the sower and the reaper may be glad together.
Hata sasa mse wa kuvuna anapokea salo yake, hata sasa ana harvest ile crop ya maisha ya milele,njo yule mwenye ameplant na mwenye amevuna wajazike pamoja.
.Thus the saying 'One sows and another reaps' is true.
Njo sasa ile msemo 'Mmoja anaplant na mwengine anavuna' ni ukweli.
.I sent you to reap what you have not worked for. Others have done the hard work, and you have reaped the benefits of their labor."
Niliwatuma kuvuna chenye hamku sweatia kwa wira. Wengine wali do janta ile hard, na nyinyi mna vuna faida ya bidii yao."
.Many of the Samaritans from that town believed in him because of the woman's testimony, "He told me everything I ever did."
Wengiwa wale samaritams toka hiyotao wakaamini in him ju ya ile ushahidi ya madam, "Alinishow kila kitu nimewahi fanya."
.So when the Samaritans came to him, they urged him to stay with them, and he stayed two days.
Kwa hivo wale wasamaria wakamkamia, wakambembe apolee nao zaidi,na akatulia nao siku mbili.
.They said to the woman, "We no longer believe just because of what you said; now we have heard for ourselves, and we know that this man really is the Savior of the world."
Wakashow yule matha, "Hatuanini tu ati ju ya chenye ulitushow pekee; sa tushajiskizia wenyewe, na tumemesea that huyu chali for real njo savior wa world yote."
.After the two days he left for Galilee.
Na baada ya zile siku mbe JC akakitoa kuishia Galilee.
.(Now Jesus himself had pointed out that a prophet has no honor in his own country.)
(Sa JC mwenyewe njo alishow wadhi ile point ati prophet hanaga respect kwa nchi yake mwenyewe.)
.When he arrived in Galilee, the Galileans welcomed him. They had seen all that he had done in Jerusalem at the Passover Feast, for they also had been there.
Vile alifika Galilee, wale Galileans walimkaribisha. Walikuwa wamecheki kila kitu chenye alikuwa ame do pale Jersua kwa paree ya passover, jupia wao walikuwaga hapo.
.Once more he visited Cana in Galilee, where he had turned the water into wine. And there was a certain royal official whose son lay sick at Capernaum.
Mara ingine akavisit Cana ya Galilee, place alikuwa amebadilisha maji ikakuwa kamnyweso. Na hapokulikuwa na jamaa fulani msonkwo, official alidowia royalty jobo mwenye mtoi wake alikuwa msick Capernaum.
.When this man heard that Jesus had arrived in Galilee from Judea, he went to him and begged him to come and heal his son, who was close to death.
Vile huyu man aliskia ati JC ameshawasili in Galilee toka Judea, akaishia out kwake na kumbembe akam aponye son wake, mwenye alikuwa this close, ku kick.
."Unless you people see miraculous signs and wonders," Jesus told him, "you will never believe."
JC akamshow, "Yaani unless mcheki ishara moja miraculous na ma wonders, hamtawai kuja believe."
.The royal official said, "Sir, come down before my child dies."
Yule official wa mfalme akanego, "Boss, tufike down kabla mtoi wa mine haja dedi."
.Jesus replied, "You may go. Your son will live." The man took Jesus at his word and departed.
JC akajibu, "Unaweza ishia. Mtoi son yako ataishi." Jamaa akachukua JC at his word na kuishia.
.While he was still on the way, his servants met him with the news that his boy was living.
Vile walikuwa bado far kwa baro akiishia, ma mboch wake wakakutana na yeye wakimletea the news kuwa boy wake alikuwa alive.
.When he inquired as to the time when his son got better, they said to him, "The fever left him yesterday at the seventh hour."
Nyakati aliulizia ilikuwa time gani when mtoi wake chali aliget better, wakamshow, "Fever ilimsare jana ka saa saba."
.Then the father realized that this was the exact time at which Jesus had said to him, "Your son will live." So he and all his household believed.
Hapo mbuyu akashikanisha that ilikuwa njo theexact moment ambayo JC alikuwa amemshow,"Mtoi wako ataishi." So yeye na hao yao nzima wakaamini.