English
stringlengths
10
646
Sheng
stringlengths
7
602
.This was the second miraculous sign that Jesus performed, having come from Judea to Galilee.
Hii njo ilikuwa miracle yasecond yenye JC aliperform, wakati alikuwa ametoka Judea hadi Galilee.
.Now there was a man of the Pharisees named Nicodemus, a member of the Jewish ruling council.
Sa kulikuwa na jamaa mmoja wa wale ma pharisees aliitwa Nicodemus, msee memba wa ile kanjo ilikuwa ina tawala jews.
.He came to Jesus at night and said, "Rabbi, we know you are a teacher who has come from God. For no one could perform the miraculous signs you are doing if God were not with him."
Akakamia JC usiku na kusema, "Rabbi, tunajua we ni odijo mwenye amekam from sir Godi.Ju hakuna mse anaweza ku do izo miracles zenye una do ka sir Godi si partner wake kwa iyo janta."
.In reply Jesus declared, "I tell you the truth, no one can see the kingdom of God unless he is born again."
Kwa kureply JC akadeclare, "Nakushow ile ukweli, hakuna mse anaweza kucheki kingdom ya sir Godi unless ako born again."
."How can a man be born when he is old?" Nicodemus asked. "Surely he cannot enter a second time into his mother's womb to be born!"
Nico akaulizia, "Aaih! Itakuwaje mse azaliwe tena ile time asha kuwa mu old? For sure hawezi kuingia mara ya mbe ndani ya tumbo ya mathaake njo azaliwe!"
.Jesus answered, "I tell you the truth, no one can enter the kingdom of God unless he is born of water and the Spirit.
JC akamshow, "Nakushow ukweli, hakuna mse anaweza kuingia kingdom ya sir Godi unless amezaliwa na maji na pia na Spirit.
.Flesh gives birth to flesh, but the Spirit gives birth to spirit.
Nyama hu give birth to nyama, lakini spirit inazaa spirit.
.You should not be surprised at my saying, 'You must be born again.'
Hautakiwi kushangazwa na what ninasema, "Lazima uzaliwe again.'
.The wind blows wherever it pleases. You hear its sound, but you cannot tell where it comes from or where it is going. So it is with everyone born of the Spirit."
Ju upepo hu blow popote imetamani. Utaskia sauti yake, but hauwezi tell place imetokezea ama ile place inaishia. Ivo pia njo huwa na kila mse amezaliwa na the Spirit.
."How can this be?" Nicodemus asked.
Nicodemus akaulizia, "Itakuwaje hivi?"
."You are Israel's teacher," said Jesus, "and do you not understand these things?
JC akasema,"Haiya, wewe njo modee wa Israel,na haunyiti hizi vitu?
.I tell you the truth, we speak of what we know, and we testify to what we have seen, but still you people do not accept our testimony.
Nakushow cha ukwela, tunabonga ju ya chenye tuna know, na kutoa ushahidi ju ya zile vitu tumecheki,lakini bado nyi wasee hamkubali testimony yetu.
.I have spoken to you of earthly things and you do not believe; how then will you believe if I speak of heavenly things?
Nimekubongesha ju ya vitu zaearth pekee na haujaamini; utaamini vipi sasa nikibonga ju ya vitu za heaven?
.No one has ever gone into heaven except the one who came from heaven the Son of Man.
Hakuna mse asha wahi ingia heaven except mwenye alichomoka toka heaven- mtoi chali wa Adam.
.Just as Moses lifted up the snake in the desert, so the Son of Man must be lifted up,
Vile tu Mosee aliinua nyoka uko kwa jangwa, ivo njo yule son wa man lazima akuwe lifted up,
.that everyone who believes in him may have eternal life.
njo kila mse mwenye ameamini in him ataget eternal life.
."For God so loved the world that he gave his one and only Son,that whoever believes in him shall not perish but have eternal life.
"Ju sir Godi ali penda theworld vimeja tu sana hadiakageiana his opne and only mtoi son, that mse whoever ataamini in him asiperish lakini aget eternal life.
.For God did not send his Son into the world to condemn the world, but to save the world through him.
Ju sir Godi hakutuma mtoi wake son ndani ya world ku-curse world ju ya dhambi,lakini kuokoa world kupitia yeye.
.Whoever believes in him is not condemned, but whoever does not believe stands condemned already because he has not believed in the name of God's one and only Son.
Mse whoever anaamini in him hawezi laaniwa, lakini mse yeyote mwenye haamini amestand condemned tayari ju hajabelieve ndani ya ile name ya mtoi the one and only wa sir Godi.
.This is the verdict: Light has come into the world, but men loved darkness instead of light because their deeds were evil.
Hii njo verdict ya hiyo situation:Light imekam ndani ya world, lakini wasee wamependa sana giza badala ya light jumatendo zao zilikuwa wiked.
.Everyone who does evil hates the light, and will not come into the light for fear that his deeds will be exposed.
Kilamse mwenye ana do evil ana hate light, na hatakam ndani ya light ju anaogopa matendo zake zitakuwa exposed.
.But whoever lives by the truth comes into the light, so that it may be seen plainly that what he has done has been done through God."
Lakini mwenye anaishi by the truth anakam ndani ya light, so that itaonekana wazi wazi that chenye ame do kimefanyika through sir Godi."
.After this, Jesus and his disciples went out into the Judean countryside, where he spent some time with them, and baptized.
After this,JC na disciples wake wakaishia out hadi zile ocha ocha za Judea mashinani, na huko akaspend masaa nao, na akabaptize.
.Now John also was baptizing at Aenon near Salim, because there was plenty of water, and people were constantly coming to be baptized.
Sa Johnie pia alikuwa anabaptize place inaitwa Aenon karibu na Salim,ju kulikuwaga na wode moba hapo, na wasee walikuwa wakikam constantly kwake kubaptiziwa.
.(This was before John was put in prison.)
(Hii ilikuwa before Johnie awekwe inprison.)
.An argument developed between some of John's disciples and a certain Jew over the matter of ceremonial washing.
Sa argument fulani ikazuka mse wangu, kati ya wale rende ya disciples wa Johnie na myahudi fulani ju ya stori za kunawa in fulfillment ya religion.
.They came to John and said to him, "Rabbi, that man who was with you on the other side of the Jordan the one you testified about well, he is baptizing, and everyone is going to him."
Wakakam kwa Johnie na kumshow, "Rabbi, yule jamaa mwenye alikuwa na wewe ile side ingine ya rivee Jordan- yule ulitestify ju yake- poa, sa anabaptize,na kila mse anaishia kwake jo."
.To this John replied, "A man can receive only what is given him from heaven.
kujibu hii stori Johnie akasema, "Jamaa anaweza tu kupokea what amepewa from heaven.
.You yourselves can testify that I said, 'I am not the Christ but am sent ahead of him.'
Nyi wenyewe mnaweza kubali chenye nilisema, "Mi sio thechrist lakini nimetumwa mbele yake.'
.The bride belongs to the bridegroom. The friend who attends the bridegroom waits and listens for him, and is full of joy when he hears the bridegroom's voice. That joy is mine, and it is now complete.
Bi harusi ana belong kwa bwana harusi. Yule beshte mwenye anashughulikia bwana harusi anategea akingoja kumskia, na ye hujazika vi meja time anaskia ile voice ya bwana harusi. Hiyo kujazika ni saa yangu, na isha kamilika.
.He must become greater; I must become less.
Ni lazima akuwe mbwaku;na mimi nikuwe mless.
."The one who comes from above is above all; the one who is from the earth belongs to the earth, and speaks as one from the earth. The one who comes from heaven is above all.
"Yule anakam from juu ako juu ya all; yule mwenye anakam from the earth anabelong kwa the earth, na anaspeak ka mse from the earth. Mwenye anatoka heaven ako above wote.
.He testifies to what he has seen and heard, but no one accepts his testimony.
Ye anatestify chenye amecheki na kuskia, lakini hakuna mse ana accept tesimony yake.
.The man who has accepted it has certified that God is truthful.
Yule mse mwenye amesha accept tesimony ameconfirm kuwa sir Godi ni mtruthful.
.On the third day a wedding took place at Cana in Galilee. Jesus' mother was there,
Siku ya tatu ka wedo kali happen ile place inaitwa cana pale Galilee. Matha wa JC alikuwa in attendance pia,
.and Jesus and his disciples had also been invited to the wedding.
na JC na wale disciples wake walikuwa pia wame invitiwa watokee wedo.
.When the wine was gone, Jesus' mother said to him, "They have no more wine."
Vile ile kamnyweso ilivanish, matha wa JC akamshow niaje, "Hawana kamnyweso ingine."
."Dear woman, why do you involve me?" Jesus replied, "My time has not yet come."
JC akamshow,"Mama mpendwa, mbona unanipea shughuli? "Hata matime zangu bado hazijakam."
.His mother said to the servants, "Do whatever he tells you."
Mathaake akashow wale mamboch, "Do ini chenye amewashow m-do."
.Nearby stood six stone water jars, the kind used by the Jews for ceremonial washing, each holding from twenty to thirty gallons.
Karibu pali simamishagwa mitungi sita za mawe, za maji, ile type hutumika kwa kunawia njo mse awe religiously msafi, na kila moja ilihold toka jerry-can mbao hadi thirty.
.Jesus said to the servants, "Fill the jars with water"; so they filled them to the brim.
JC akawashow wale wafanya kazi, "Jazeni zile mitungi na wode"; kwa hivo wakazijaza hadi pomoni.
.Then he told them, "Now draw some out and take it to the master of the banquet."
Kisha akawashow, "Sa choteni kiasi na muipelekee yule MC wa bash." Waka do ivo,
They did so,
MC akaonja hivi ile wode yenye sa ilikuwa imegeuka kamnyweso.Hakushikanisha ilikuwa imetolewa wea, although wale servants wenye walikuwa wamechota iyo wode walimesea.
.and the master of the banquet tasted the water that had been turned into wine. He did not realize where it had come from, though the servants who had drawn the water knew. Then he called the bridegroom aside
Kisha akaita bwana harusi aside
.and said, "Everyone brings out the choice wine first and then the cheaper wine after the guests have had too much to drink; but you have saved the best till now."
akamshow,"mtu wangu,kila jamaa hu unleash ile kamnyweso origi ya pesa kwanza alafu ile kanyweso ya kumi kumi bahada ya ma guests kupewa sana; lakini we umeficha ile kamnyweso imestand hadi saa hii."
.This, the first of his miraculous signs, Jesus performed in Cana of Galilee. He thus revealed his glory, and his disciples put their faith in him.
Hii,miracle ya fao in his collection, JC ali perform pale cana ya Galilee. Ivo basi akafichua glory yake, na madisciples wake wakaweka faith yao ndani yake.
.After this he went down to Capernaum with his mother and brothers and his disciples. There they stayed for a few days.
Baada ya hapo akashuka hadi capernaum pamoja na mathaake na ma brazas wake na ma disciples wake. Hapo wakapolea siku kadhaa.
.When it was almost time for the Jewish Passover, Jesus went up to Jerusalem.
Vile ilikuwa almost maithaa za passover ya jews, JC akaishia juu hadi Jerusa.
.In the temple courts he found men selling cattle, sheep and doves, and others sitting at tables exchanging money.
Ndani ya maverandah za temple alipata wasee wana do mali kwa mali, biashara ya ng'ombe, kondoo na ma ndush, na wengine walikuwa wametulia kwa tebo wanado forex exchance na munde.
.So he made a whip out of cords, and drove all from the temple area, both sheep and cattle; he scattered the coins of the money changers and overturned their tables.
Ju ya hiyo stori akaunda nyahunyo ya makamba, akatimua wale wadhii waote walikuwa kwa compounds za temple, pamoja na kondoo na mifugo; akascatter zile coins za wasee wa forex na kupindua tebo zao.
.To those who sold doves he said, "Get these out of here! How dare you turn my Father's house into a market!"
Kwa wale wadhii walikinda ndush akasema, "toeni hizi hapa! Mnawezaje ku dare kubadilisha hao ya mbuyuz wangu igeuke soko!
.His disciples remembered that it is written: "Zeal for your house will consume me."
Disciples wake wakamesea chenye kiliandikwa: "Psyke ya hao yako itanikwachu, itanimaliza."
.Then the Jews demanded of him, "What miraculous sign can you show us to prove your authority to do all this?"
Kisha wale majews wakadai about him, "Ni ishara gani miraculous unaweza kutuonyesha kuprove say yako ya ku do hizi vitu zote?"
.Jesus answered them, "Destroy this temple, and I will raise it again in three days."
JC akamshow niaje, "Kudestroy hii temple alafu kuiinua tena ndani ya siku tatu."
.The Jews replied, "It has taken forty-six years to build this temple, and you are going to raise it in three days?"
Wale Jews wakamshow, "Ime take miaka fortysix kujenga hii temple, na unadai utaiinua na siku tatu?"
.But the temple he had spoken of was his body.
Lakini ile temple aliogelea ilikuwa ya mwili wake.
.After he was raised from the dead, his disciples recalled what he had said. Then they believed the Scripture and the words that Jesus had spoken.
Baada yake kuraushwa from the dead, wale disciples wake wakakumbuka chenye alikuwaamedai. Kisha wakaamini ma scripture na zile words zenye JC alikuwa amebonga.
.In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God.
Vile kulianzaga kulikuwa na word, na iyo word ilikuwa na sir Godi, na iyo word ilikuwa sir Godi.
.He was with God in the beginning.
Alikuwaga na sir Godi from tenee kwa ile beginning.
.Through him all things were made; without him nothing was made that has been made.
Kumpitia yeye kila something iliundwa; bila yeye hakuna anything yenye iliundwa yenye ingeundwa.
.In him was life, and that life was the light of men.
Ndani ya him kulipolea life, na iyo life njo sasa ilikuwa taa ya wasee.
.The light shines in the darkness, but the darkness has not understood it.
Light yenyewe hung'ara in the darkness, lakini darkness haija imesea.
.There came a man who was sent from God; his name was John.
Kulikuja mse mmoja mwenye alikuwa sent toka kwa sir Godi; jina yake Johnie.
.He came as a witness to testify concerning that light, so that through him all men might believe.
Alikam ka witness kutestify ju ya hiyo taa, njo sasa kupitia kwake wasee wote wangebelieve.
.He himself was not the light; he came only as a witness to the light.
Ye mwenyewe hakuwa iyo light; alikam tu kama a witness kwa hiyo light.
.The true light that gives light to every man was coming into the world.
Light ile for real, ile true yenye hupeana taa kwa kila mse ilikuwa ikikam ndani ya world.
.He was in the world, and though the world was made through him, the world did not recognize him.
Alikuwa ndani ya world, na hata ka the world iliundwa kupitia yeye, world haikumrecognize.
.He came to that which was his own, but his own did not receive him.
Alikam kwa kile chenye kilikuwa chake, lakini chake hakikumrecognize.
.Yet to all who received him, to those who believed in his name, he gave the right to become children of God
Lakini bado wote wenye walimreceive, kwa wasee wenye waliamini in his name, aliwagei the right ya kuwa watoi wa sir Godi-
.children born not of natural descent, nor of human decision or a husband's will, but born of God.
Watoi sio wenye walizaliwa kupitia natural line age, pia sio ju ya decision human ali-make ama ju ya mapenzi ya hazi, lakini waliozaliwa na sir Godi.
.The Word became flesh and made his dwelling among us. We have seen his glory, the glory of the One and Only, who came from the Father, full of grace and truth.
Word ika-became flesh, ikamake makao yake kati yetu. Tumecheki glory yake, glory yathe one and only, mwenye alikam from yule mbuyuz, akiwa amejazwa fully grace na uweli.
.John testifies concerning him. He cries out, saying, "This was he of whom I said, 'He who comes after me has surpassed me because he was before me.' "
Johnie ni shahidi wake ju yake. Anacry out akidai, "Huyu njo yeye mwenye nilisema juu yake, 'Mwenye alikam baada yamimi ameshaa nipita ju yeye alikuwa mbele yangu.' "
.From the fullness of his grace we have all received one blessing after another.
Kutoka kwa fullness ya grace yake sote tumepokea blessing moja baada ya nyingine.
.For the law was given through Moses; grace and truth came through Jesus Christ.
Ju sheria ilipeanwa through Mosee; neema na ukweli zikakam kumpitia Jesus Christ.
.No one has ever seen God, but God the One and Only,who is at the Father's side, has made him known.
Ju hakuna msee amewahi cheki sir Godi, lakini sir Godi the one and only, mwenye ako kwa side ya mbuyuz, ashamfanya ajulikane.
.Now this was John's testimony when the Jews of Jerusalem sent priests and Levites to ask him who he was.
Saa hii njo ile ushahidi ya Johnie vile wale jews wa Jerusa walituma ma priests na ma livites kumwuliza maswali ju yake,ati ye ni nani.
.He did not fail to confess, but confessed freely, "I am not the Christ."
Hakufail ku-confess, lakini alisema wazi wazi, "Mi sio the christ."
.They asked him, "Then who are you? Are you Elijah?" He said, "I am not." "Are you the Prophet?" He answered, "No."
Wakamwuliza, "Basi we ni nani? We ni Elijah?" Akawashow, "Mi sio yeye." Wewe ni ka prophet ivi?" Akawajibu, "Zi."
.Finally they said, "Who are you? Give us an answer to take back to those who sent us. What do you say about yourself?"
Mwishoni wakasema, "Wewe ni who? Ebu tugei jibu tupelekee wale wasee walitusend huku. Nini unaweza say ju yako mwenyewe?"
.John replied in the words of Isaiah the prophet, "I am the voice of one calling in the desert, 'Make straight the way for the Lord.' "
Johnie akawajibu in the words za Izzo the prophet,"Mi ni ile voice yamse fulani anawika kwa jungle, 'Undeni straight iyo barokwa ajili ya sir Godi. ' "
.Now some Pharisees who had been sent
Sa mafarisayo wengine wenyewalikuwa wametumwa
.questioned him, "Why then do you baptize if you are not the Christ, nor Elijah, nor the Prophet?"
wakamdunga examination, "Kwa nini basi una baptize wasee ka wewe si the Christ, wala si Elijah, wala si the prophet?"
."I baptize with water," John replied, "but among you stands one you do not know.
Johnie akawajibu, "Na baptize na wode,lakini kati yenu amestand mse mmoja nyinyi wenyewe hamummesei.
.He is the one who comes after me, the thongs of whose sandals I am not worthy to untie."
Ye njo the one mwenye ana kam after mimi, hata straps za sandale zake siko worth hata kuzifungua."
.This all happened at Bethany on the other side of the Jordan, where John was baptizing.
Hii yote ilihappen pale Bethany ile side ingine ya Jordan,place Johnie alikuwa akibaptize.
.The next day John saw Jesus coming toward him and said, "Look, the Lamb of God, who takes away the sin of the world!
Siku next Johnie alicheki Jesus akikam kwa place alikuwa akasema, "Cheki, lamb of God, mwenye anatake away sin ya ulimwengu!
.This is the one I meant when I said, 'A man who comes after me has surpassed me because he was before me.'
Huyu njo the one nilimaanisha nikisema, 'Mse mwenye amekam baada yangu amesha nipita ju alikuwa mbele yangu.'
.I myself did not know him, but the reason I came baptizing with water was that he might be revealed to Israel."
Mi mwenyewe sikumjua, lakini ile reason nilikam nikibaptize na wode noi so that aoneshwe wazi kwa Israel."
.Then John gave this testimony: "I saw the Spirit come down from heaven as a dove and remain on him.
Kisha Johnie akapeana hii ushahidi:"Nilicheki Spirit ikishuka down toka heaven ka dove na kubaki juu yake.
.I would not have known him, except that the one who sent me to baptize with water told me, 'The man on whom you see the Spirit come down and remain is he who will baptize with the Holy Spirit.'
Singemjua ni yeye, except yule mwenye alinisend ku baptize na maji alinishow niaje, 'Yule jamaa on whom unacheki the Spirit ikikam down na kutulia kwake ni yeye mwenye atabaptize na the holy spirit.'
.I have seen and I testify that this is the Son of God."
Nimesha cheki na nina ushahidi that huyu njo the son wa sir Godi."
.The next day John was there again with two of his disciples.
Day next Johnie alikuwa hapo tena pamoja na wafuasi wawili wake.
.When he saw Jesus passing by, he said, "Look, the Lamb of God!"
Vile alicheki JC aki pita by, akasema, "Cheki, lamb wa Sir Godi!"
.When the two disciples heard him say this, they followed Jesus.
Vile wale disciples limbiwaliskia akisema hivo, wakamfuata Jesus.
.Turning around, Jesus saw them following and asked, "What do you want?" They said, "Rabbi" (which means Teacher), "where are you staying?"
Akipinduka nyuma, JC akawacheki wakimfuata na kuwauliza, "Ni nini mnataka?" Wakamshow, "Rabbi( inamaanisha teacher), "unapolea wapi?"
."Come," he replied, "and you will see." So they went and saw where he was staying, and spent that day with him. It was about the tenth hour.
Akawa reply-ia, "Kamuni na mtacheki." Kwa hivo wakaishia na kucheki ile place alikuwa anapolea, na wakaspend iyo siku na yeye. Na ilikuwa about the tenth hour.
.Andrew, Simon Peter's brother, was one of the two who heard what John had said and who had followed Jesus.
Andrew, bro wa Simon Peter, alikuwa mmoja wa wale wasee waliskia chenye Johnie alidai na wenye walikuwa wamefuata JC.
.The first thing Andrew did was to find his brother Simon and tell him, "We have found the Messiah" (that is, the Christ).
Kitu ya fao Andrew ali-do ni kusaka bro wake Simo na kumshow, "Tumesha get messiah ninani' (yaani, the christ).
.And he brought him to Jesus.Jesus looked at him and said, "You are Simon son of John. You will be called Cephas" (which, when translated, is Peter).
Na akamleta hadi kwa JC.JC akamcheki ivi na kumshow, "We njo Simo mtoi chali wa Johnie. Utaitagwa Cephas" (yenye uki translate ni Pitaa).
.The next day Jesus decided to leave for Galilee. Finding Philip, he said to him, "Follow me."
Day next JC aka decide kutoka aishie Galilee. Akimpata Philo, akamshow niaje, "Fuata mimi."