English
stringlengths
10
646
Sheng
stringlengths
7
602
.Jesus called out with a loud voice, "Father, into your hands I commit my spirit." When he had said this, he breathed his last.
JC akaitana na sauti kubwa, "Daddy, kwa hands zako naweka spirityangu." Vile alimada kusema ivo, aka breath yake ya last.
.The centurion, seeing what had happened, praised God and said, "Surely this was a righteous man."
Yule mdosi wa masoja soo moja, akacheki chenyekilikuwa kimehappen, akapraise sir Godi na kusema, "for sure huyu mse alikuwa mse mrighteous."
.When all the people who had gathered to witness this sight saw what took place, they beat their breasts and went away.
Vile wase wote wenye walikuwa wamegather pale kucheki izo drama walicheki chenye kilihappen, wakapiga vifua zao wakiishia.
.But all those who knew him, including the women who had followed him from Galilee, stood at a distance, watching these things.
Lakini wote wenye walimjuaga, hadi pia wale mamatha wenye walikuwa wakimfuata from galilee, walisimama kwambali wakicheki hizi vitu.
.Now there was a man named Joseph, a member of the Council, a good and upright man,
Sa kulikuwa na jamaa anaitwa Jose, mmoja wa kanjo, mse upright sana na mpoa,
.who had not consented to their decision and action. He came from the Judean town of Arimathea and he was waiting for the kingdom of God.
mwenye hakukubali decision yao na vile wali do. Akakam toka tao moa Judea iliitagwa Arimathea na alikuwa akingojea ile kingdomya Sir Godi.
.Going to Pilate, he asked for Jesus' body.
Akiishia kwa pilate akamshow ampatie body ya jC.
.Then he took it down, wrapped it in linen cloth and placed it in a tomb cut in the rock, one in which no one had yet been laid.
Vile aliishusha down, akaifunika kwa shiti safi ya linenna kuiweka ndani ya kaburiimekatwa ndani ya rock,moja yenye hanaku mse alikuwa ameingizwa ndani.
.It was Preparation Day, and the Sabbath was about to begin.
ilikuwa siku ya ku prepare, na sabbath njo ilikuwa tu ianze.
.Now the Feast of Unleavened Bread, called the Passover, was approaching,
Sa bash ya mkate chapo AKA Passover ilikuwa inafika,
.and the chief priests and the teachers of the law were looking for some way to get rid of Jesus, for they were afraid of the people.
Na priest ma sonkwo na pia ma modee walikuwa wanasaka njia fulani crooked ya kummaliza Jesus, ju walikuwa wameogopa wasee.
.Then Satan entered Judas, called Iscariot, one of the Twelve.
Kisha shaitula akamwingia Judee, pia jina ingine ni Iscariot, mmoja wa wale thenashara.
.And Judas went to the chief priests and the officers of the temple guard and discussed with them how he might betray Jesus.
Na Judee akaishia kwa wale ma sonkwo priests na mabwana officer wa watchie wa temple ili a discuss nao vile angalau ata betray JC.
.They were delighted and agreed to give him money.
Waka jazika sana ju ya hiyo proposal, na wakakubali kumkanja munde.
.He consented, and watched for an opportunity to hand Jesus over to them when no crowd was present.
Akakubali, na akaanza kutafuta upenyo y kumgeiana JC kwao vile rende ya wadhii haikuwa.
.Then came the day of Unleavened Bread on which the Passover lamb had to be sacrificed.
Vile ile siku ya mkate chapo ilikam, ile day ilikuwa lazima passover lamb ikuwe sacrificed.
.Jesus sent Peter and John, saying, "Go and make preparations for us to eat the Passover."
Jesus akasend Pitaa na Johnie akisema, "Ishieni m do matayarisho njo tuweze kudishi passover."
."Where do you want us to prepare for it?" they asked.
Wakamwuliza, "Unataka tuifanyie matayarisho wapi?"
.He replied, "As you enter the city, a man carrying a jar of water will meet you. Follow him to the house that he enters,
Akajibu, "Vile mkiingia jiji, mse amebeba ndoo ya maji atakutana na nyinyi. Mfuate bumper hadi ile keja yenye ataingia,
.and say to the owner of the house, 'The Teacher asks: Where is the guest room, where I may eat the Passover with my disciples?'
kisha mshow mwenye mbanyu, 'Mwalimu anauliza:Wapi ile room ya wageni, place naweza manga passoverna wafuasi wa mine?'
.He will show you a large upper room, all furnished. Make preparations there."
Atawashow room bwaku sana yenye iko up stairs, fully furnished. Make-ini preparations hapo."
.They left and found things just as Jesus had told them. So they prepared the Passover.
Wakaishia na kuget vitu ziko tu vile JC alikuwa amewashow. Kwa hivyo waka prepare ile passover.
.When the hour came, Jesus and his apostles reclined at the table.
Vile ithaa ilifika, JC na ma apostles wake wakarelax kwa tebo.
.And he said to them, "I have eagerly desired to eat this Passover with you before I suffer.
Akawashow,"Nimetamani na dabo mudishi hi passover nanyinyi kabla sija siffer.
.For I tell you, I will not eat it again until it finds fulfillment in the kingdom of God."
Ju nawashow, sitaidishi tena hadi ifikie fulfillment ndani ya kingdom ya sir Godi."
.After taking the cup, he gave thanks and said, "Take this and divide it among you.
Baada ya kuchukua ile cup, akagive thanks na kusema, "Chukueni hii na muidivide kati yenu.
.For I tell you I will not drink again of the fruit of the vine until the kingdom of God comes."
Ju nawashow sita drink tena juo ya ma grapes hadi ile kingdom ya sir Godi itimie."
.And he took bread, gave thanks and broke it, and gave it to them, saying, "This is my body given for you; do this in remembrance of me."
Akachukua dibre akagive thanks na kuivunja, akawagei akisema,"Hii ni body yangu yenye imepeanwa ju yenu; fanyeni this ikiwa in rememberance of me."
.In the same way, after the supper he took the cup, saying, "This cup is the new covenant in my blood, which is poured out for you.
Na njia hiyo hiyo, naada ya supper akakwachu ile cup akabonga, "Hii ni cup ya the new agreement ikitumia blood yangu, yenye imemwagwa out for you.
.But the hand of him who is going to betray me is with mine on the table.
Lakini mkono ya yule jamaa atani betray iko pamoja na yangu kwa tebo.
.The Son of Man will go as it has been decreed, but woe to that man who betrays him."
Mtoi son wa Adam ataishia tu vile imesemekana, lakini ole yule guy ana mbetray."
.They began to question among themselves which of them it might be who would do this.
Wote wakaanza kuulizana maswali kati yao ni nani mwenye imekuwa hadi afanye hivi.
. Also a dispute arose among them as to which of them was considered to be greatest.
Pia mvutano ikaanza kati yao ju ya nani alikuwa amehesabika as the greatest.
.Jesus said to them, "The kings of the Gentiles lord it over them; and those who exercise authority over them call themselves Benefactors.
Jesus akawaambia, "Wafalme wa mataifa wanakuwaga ma dictator juu ya ma ordinaree; na wale wako na say juu yao hujiita donors.
.But you are not to be like that. Instead, the greatest among you should be like the youngest, and the one who rules like the one who serves.
Lakini hamfai kuwa ivo. Lakini instead mnafaa the greatest kati yenu awe njo the youngest, na mwenye ni sonkwo awe njo kama mwenye ni mboch wake.
.For who is greater, the one who is at the table or the one who serves? Is it not the one who is at the table? But I am among you as one who serves.
Ju nani njo yule ni greater, mwenye ako amepolea kwa tebo ama mwenye ni waiter? Si ni yule mwenye ako amepolea kwa tebo? Lakini niko kati yenu ka mwenye ana serve.
.You are those who have stood by me in my trials.
Nyi njo wale wadhii wamesimama na mimi kwa majaribu zangu.
.And I confer on you a kingdom, just as my Father conferred one on me,
Na nawapea award ya Kingdom, kama tuvile mbuyuz wangu aligeiana moja juu yangu,
.so that you may eat and drink at my table in my kingdom and sit on thrones, judging the twelve tribes of Israel.
ili pia nyi muweze kudishi na kudrink kwa tebo yangu ndani ya kingdom yangu na kuketi kwa thrones, mki judge zile kabila twelve za Israel.
."Simon, Simon, Satan has asked to sift you as wheat.
"Simo, Simo, shaitula ameuliza permission akupepete ka ngano.
.But I have prayed for you, Simon, that your faith may not fail. And when you have turned back, strengthen your brothers."
Lakini nimekuombea Simo, njo faith yako isicollapse. Na ukisharudi back, pea nguvu ma bro wako."
.But he replied, "Lord, I am ready to go with you to prison and to death."
Lakini akajibu, "Bwana, niko ready kuishia na wewe to prison, hadi hata to death."
.Jesus answered, "I tell you, Peter, before the rooster crows today, you will deny three times that you know me."
JC akamjibu, "Nakushow ukweli, Pitaa, kabla ile jogoo i crow leo, utani kwara mara tatu ati haunijui."
.Then Jesus asked them, "When I sent you without purse, bag or sandals, did you lack anything?" "Nothing," they answered.
Kisha JC akawauliza, "Vile niliwasend bila wallenje, bag ama sandale, kwani muli-lack kitu?" Wakamjibu, "Hakuna."
.He said to them, "But now if you have a purse, take it, and also a bag; and if you don't have a sword, sell your cloak and buy one.
Akawashow ivi, "Lakini sasa kama uko na mfuko, ichukue, na pia bag; na kama hauna njora, uza kabuti yako u buy moja.
.It is written: 'And he was numbered with the transgressors'; and I tell you that this must be fulfilled in me. Yes, what is written about me is reaching its fulfillment."
Imeandikwa: 'Na alikauntiwa na wenye dhambi'; na nawashow hii lazima ikam kuwa fulfilled kwangu. Eeh, ndio, chenye kimeandikwa kunihusu kina fikia kufulfilliwa.
.The disciples said, "See, Lord, here are two swords." "That is enough," he replied.
Wale wafuasi wakasema, "Cheki, bwana mdosi, hapa tuko na njora mbe." Akamshow,"Hizo ni enough."
.Jesus went out as usual to the Mount of Olives, and his disciples followed him.
JC akaishia nje kama kawa hadi kwa mlima Olives, na disciples wake wakamfuata.
.On reaching the place, he said to them, "Pray that you will not fall into temptation."
Vile walifika ile place, akawashow niaje, "Prayini njo msi fall ndani ya temptations."
.He withdrew about a stone's throw beyond them, knelt down and prayed,
Ye akajiondoa akishia place ka stone throw ivi mbeleyao, aka kneel down kusali,
."Father, if you are willing, take this cup from me; yet not my will, but yours be done."
"Mbuyu, ka unapenda, chukua hii cup from mimi; lakini si vile nimependa, wacha iwe ni vile umependa ifanyike."
.An angel from heaven appeared to him and strengthened him.
Sa angel toka heaven akamtokezea na kumpea nguvu.
.And being in anguish, he prayed more earnestly, and his sweat was like drops of blood falling to the ground.
Na akiwa na machungu, akaomba hata zaidi, hadi sweat yake ikawa ka drops za damu iki fall kwa grao.
.When he rose from prayer and went back to the disciples, he found them asleep, exhausted from sorrow.
Vile aliamka from kusali aliishia back kwa wafuasi wake, akawaget wote wame doze, kwa kuchoka na huzuni.
"Why are you sleeping?" he asked them. "Get up and pray so that you will not fall into temptation."
JC akawauliza,"Mbona mna doze? Raukeni mpray ili msidunde ndani ya temptations."
.While he was still speaking a crowd came up, and the man who was called Judas, one of the Twelve, was leading them. He approached Jesus to kiss him,
Vile alikuwa bado anabonga rendeikatokezea, na yule jamaa aliitwa Judee, mmoja wa wale twelve, alikuwa anawalead. Aka approach JC Kumkiss,
.but Jesus asked him, "Judas, are you betraying the Son of Man with a kiss?"
Lakini JC akauliza niaje, "Judee, kwani una betray mtoi chali wa adam na kiss?"
.When Jesus' followers saw what was going to happen, they said, "Lord, should we strike with our swords?"
Vile wafuasi wa JC walicheki ni what ilikuwa inaenda kuhappen, wakadai,"Bwana mdosi, tuwawai na sword zetu?"
.And one of them struck the servant of the high priest, cutting off his right ear.
Na mmoja wao hadi akamwai mboch wa high priest,akamkata off skio yake ya right.
.But Jesus answered, "No more of this!" And he touched the man's ear and healed him.
Lakini JC akajibu, "Hii mambo isiendelee!" Akamgusa yule jamaa skio lake na kumheal.
.Then Jesus said to the chief priests, the officers of the temple guard, and the elders, who had come for him, "Am I leading a rebellion, that you have come with swords and clubs?
Kisha JC akasema kwa yule ma priest masonkwo, ma officer wadosi wa watchie wa temple, na wazae, wenye walikuwa wamemkamia, "kwani na lead rebellion hadi mmekam kunigetna na njorana marungu?
.Every day I was with you in the temple courts, and you did not lay a hand on me. But this is your hour when darkness reigns."
Daily nilikuwa na nyinyi kwa verandah za temple nikifunza, na hamkuniwekelea hata mkono.Lakini hii njo ithaa yenu- time giza imeshikilia usukani."
.Then seizing him, they led him away and took him into the house of the high priest. Peter followed at a distance.
Kisha wakamshika by force, wakampeleka away hadi kwa mbanyu ya priest mkuu. Pitaa alifuatilia kwa mbali.
.But when they had kindled a fire in the middle of the courtyard and had sat down together, Peter sat down with them.
Lakini venye waliwasha moto katikati ya front yard wakapolea down pamoja, pitaa akakaa down pamoja nao.
.A servant girl saw him seated there in the firelight. She looked closely at him and said, "This man was with him."
Namanzi fulani mboch alimcheki ametulia pale kwa ile light ya moto.Akamsorora poa alafu akasema, "Huyu mse alikuwaga pamoja na JC."
.But he denied it. "Woman, I don't know him," he said.
Lakini akakwara hiyo stori. Akamshow,"Wee! Madam,simjui."
.A little later someone else saw him and said, "You also are one of them." "Man, I am not!" Peter replied.
Muda kidogo tu after, mse mwingine alimcheki akasema,"wewe pia ni mmoja wao." Pitaa akamjibu, "Chali, Zi! Sio mimi."
.About an hour later another asserted, "Certainly this fellow was with him, for he is a Galilean."
Baada ya kitu one hour hivi mmojaakadai, "Kabisa, huyu msee alikuwa na JC, ju yeye ni Galilean."
.Peter replied, "Man, I don't know what you're talking about!" Just as he was speaking, the rooster crowed.
Pitaa akamjibu,"Jamaa, sijui unadai about nini!" Vile tu alikuwa akibonga, jogoo akaanza kuwika.
.The Lord turned and looked straight at Peter. Then Peter remembered the word the Lord had spoken to him: "Before the rooster crows today, you will disown me three times."
Bwana mdosi akapinduka na kucheki Pitaa straight.Kisha Pitaa akakumbuka ile word yenye JC alikuwa amembongesha about: "kabla ile jogoo kuwika leo, utakuwa umenikwara mara tatu."
.And he went outside and wept bitterly.
Akaishia nje na kulia na machungu.
.The men who were guarding Jesus began mocking and beating him.
Wale wasee walikuwa wanamchunga JC wakaanza kumdiss na kumwai vibare.
.As he looked up, Jesus saw the rich putting their gifts into the temple treasury.
Kisha akalook up, Jesus akacheki wase masonkwo wakiweka gifts zao ndani ya treasury ya hekalu.
.He also saw a poor widow put in two very small copper coins.
Pia akacheki widow mmoja amesota akiweka ndani coins mbe small sana za copper.
."I tell you the truth," he said, "this poor widow has put in more than all the others.
Akasema, "Nawashow ukeli huyu mjane maskini ameweka sadaka zaidi kuwaliko wale wengine wote.
.All these people gave their gifts out of their wealth; but she out of her poverty put in all she had to live on."
Hawa wasee wote walipeana gift zao from ile mali yao; lakini yeye toka kwa umaskini aliweka ndani all chenyalikuwa amebaki nayo ya kuishi.
.Some of his disciples were remarking about how the temple was adorned with beautiful stones and with gifts dedicated to God. But Jesus said,
Wengine kati ya madisciples wake walikuwa wakicomment vile temple ilikuwa imesukwa na mastones smart na pia gifts ka special dedications kwa sir Godi. Lakini JC akasema,
."As for what you see here, the time will come when not one stone will be left on another; everyone of them will be thrown down."
"Sa zile vitu mnaona hapa, time inakam when hata moja ya hizo stones haitabaki ju ya ingine; kila mmoja yao zitatupwa down."
."Teacher," they asked, "when will these things happen? And what will be the sign that they are about to take place?"
Wakamwuliza, "Mwalimu, ni lini when hizi vitu zitahappen? Na what itakuwa ishara that ziko karibu kufanyika?"
.He replied: "Watch out that you are not deceived. For many will come in my name, claiming, 'I am he,' and, 'The time is near.' Do not follow them.
Akawajibu: "Jihadhari njo msidanganyike.Ju waseewengi watakam na jina yangu, wakidai,"Ni mimi yeye,'na,'Time iko karibu.' Msiwafuate.
.When you hear of wars and revolutions, do not be frightened. These things must happen first, but the end will not come right away."
Mkiskia ju ya war na mapinduzi,msikuwe waoga.Hizi vitulazima zihappen kwanza, lakini mwisho haitakam immediately."
.Then he said to them: "Nation will rise against nation, and kingdom against kingdom.
Kisha akawashow: "Nchi ita rise against nchi, na kingdom against kingdom.
.There will be great earthquakes, famines and pestilences in various places, and fearful events and great signs from heaven.
Kutakuwa na earthquakes zingine meja, njaa na magonjwa kwa places kila aina,na event za kushtua hadi hata ishara za maajabu toka heaven.
."But before all this, they will lay hands on you and persecute you. They will deliver you to synagogues and prisons, and you will be brought before kings and governors, and all on account of my name.
"Lakini Kabla ya hii yote, watawashikana kuwa tesa. Watawasare kwa synagogues na ma prison, na mtaletwambele yama kingsna ma govana, nyote kwa jili ya Jina yangu.
.This will result in your being witnesses to them.
Hii itaresult nanyinyi kuwa ma witnesses kwao about mimi.
.But make up your mind not to worry beforehand how you will defend yourselves.
Lakini amua mapema kwa mind yako ati hauta worry kabla ya iyo time, ati vile mtajitetea.
.For I will give you words and wisdom that none of your adversaries will be able to resist or contradict.
Ju nitawapea ma word na wisdom zingine noma hadi hata wale wapinzani wenu hawataweza kuresist ama kuwa contradict.
.You will be betrayed even by parents, brothers, relatives and friends, and they will put some of you to death.
Mtauzwa hadi hata na mapero, mabro, ma rela na mabeshte,na wataweka some of you to death.
.All men will hate you because of me.
Kila mse atawa hate ju yangu.
.But not a hair of your head will perish.
Lakini hata nywele moja ya kichwa chako haitaangamia.
.By standing firm you will gain life.
Lakini kwa kusimama wima mtagain life.
."When you see Jerusalem being surrounded by armies, you will know that its desolation is near.
"Mkicheki Jerusa iki surroundiwa na ma army, mtajua kuwa time yake ya kuhandwa iko near.
.Then let those who are in Judea flee to the mountains, let those in the city get out, and let those in the country not enter the city.
Kisha wacha wale wako ndani yaJudea wahepe hadi kwa milima, wacha wale wanapoleaga kwa jiji watoke nje, na wacha wale wako kwa ocha ocha wasiingie kwa jiji.
.For this is the time of punishment in fulfillment of all that has been written.
Ju hii ni ile time ya pano ili ku fulfill yote yenye imeandikwa.
.How dreadful it will be in those days for pregnant women and nursing mothers! There will be great distress in the land and wrath against this people.
Si itakuwa ni noma hizo ma days kwa wale madem pregnant na wale mamatha wananyonyesha!Kutakuwa na mateso ingine massive in the land na hasira against hawa wadhii.
.They will fall by the sword and will be taken as prisoners to all the nations. Jerusalem will be trampled on by the Gentiles until the times of the Gentiles are fulfilled.
Watachinjwa na sword na kuchukuliwa ka wafungwa kwa mataifa zote. Jerusa itakanyagwa na wale gentiles hadi time ya gentiles ikuwe fulfilled.
."There will be signs in the sun, moon and stars. On the earth, nations will be in anguish and perplexity at the roaring and tossing of the sea.
"Kutakuwa na ishara kwajua, mwezi hadi stars. Juu kwa earth, countries zitakuwa in hardship na kusumbuka ju ya vile bahari itakuwa imechafuka na ikinguruma.
.Men will faint from terror, apprehensive of what is coming on the world, for the heavenly bodies will be shaken.
Wasee watafaintju ya terror, wakiwa wameogopa ni nini inakam kwathe earth, hadi zile heavenlybodies zitashake-iwa.
.At that time they will see the Son of Man coming in a cloud with power and great glory.
Katika iyo time watacheki son wa adam akikam kwa wingu akiwa na nguvu na glory mob.
.When these things begin to take place, stand up and lift up your heads, because your redemption is drawing near."
Vile hizi vitu zitaanza kuhappen, simama up na muinue vichwa zenu, ju wokovu wenu umekaribia."