English
stringlengths
10
646
Sheng
stringlengths
7
602
.He replied, "This kind can come out only by prayer."
JC akaarepyia,"Kahizi zinaweza toka tu by kuomba."
.They left that place and passed through Galilee. Jesus did not want anyone to know where they were,
Wakatoka iyo place na wakapitia katikati ya Galilaya. JC hakuwant mse yeyote ajue walikuwa wapi,
.because he was teaching his disciples. He said to them, "The Son of Man is going to be betrayed into the hands of men. They will kill him, and after three days he will rise."
Ju alikuwa anafunza wale wafuasi wake.Akawashow,"Son wa Adam atakuwa betrayed apeanwe kwa hands za wananchi.Watammada, na alafubaada ya siku tatu ata rise from death."
.But they did not understand what he meant and were afraid to ask him about it.
Lakini hawakushika chenye alikuwa aki mean na waliingiza njeve so wakashindwa kumwuliza.
.They came to Capernaum. When he was in the house, he asked them, "What were you arguing about on the road?"
Wakafika capernaum Wakati alikuwa ndani ya keja, aliwauliza,"Ni what mlikuwa mnazushiania kwa baro?"
.But they kept quiet because on the way they had argued about who was the greatest.
Lakini wakanyamaza ju walikuwa wamezushiana ju ya nani njo alikuwa sonkwo ju ya wote.
.Sitting down, Jesus called the Twelve and said, "If anyone wants to be first, he must be the very last, and the servant of all."
Walipolea down, JC akaita wale twelve na kuwashow,"Ka mse any anataka kuwa wa first, basi lazima ashike mkia kwanza,awe mboch wa wasee wote."
.He took a little child and had him stand among them. Taking him in his arms, he said to them,
Akachukua mkidi akamweka asimame hapo ivo.Akamkwachu kwa mikono yake akiwashow hivi,
."Whoever welcomes one of these little children in my name welcomes me; and whoever welcomes me does not welcome me but the one who sent me."
"Yeyote ata welcome hawa wadogo kwa jina yangu amenikaribisha; na mwenye hajanikaribisha pia hajawelcome ule mse alini send."
"Teacher," said John, "we saw a man driving out demons in your name and we told him to stop, because he was not one of us."
Johnie akamshow teacher,"Tulicheki mse akitoa shaito kwa jina yako na tukamshow aache, ju hakuwa mmoja wetu."
."Do not stop him," Jesus said. "No one who does a miracle in my name can in the next moment say anything bad about me,
"Msimkataze, hakuna mdhi mwenye ata do miracles kwa jina yangu alafu immediately after ananitusi,
.for whoever is not against us is for us.
Ju yule mwenye hajatu oppose yuko na sisi.
.I tell you the truth, anyone who gives you a cup of water in my name because you belong to Christ will certainly not lose his reward.
Nawashow cha ukwela,any mse atawagei kikombe mmoja ya maji kwa jina yangu ju we ni wa christ tayari hatapoteza malipo yake.
."And if anyone causes one of these little ones who believe in me to sin, it would be better for him to be thrown into the sea with a large millstone tied around his neck.
"Na ka mse yeyote ata sababisha mmoja wa hawa watoi wenye wameniamini afall kwa dhambi,ingekuwa better ka andefungwa jiwe bigi ya rego rego kwa shingo alafu a-drown ishwe kwa sea.
.If your hand causes you to sin, cut it off. It is better for you to enter life maimed than with two hands to go into hell, where the fire never goes out.
Ka mkono yako inakufanya u do dhambi. Ikate off. Ni better ukiingia life na mkono moja kuliko na mikono yote kuishia hell,place nare haizimiki.
.And if your foot causes you to sin, cut it off. It is better for you to enter life crippled than to have two feet and be thrown into hell.
Na ka mguu yako inafanya u do dhambi,ikate. Ni better kuingia life ukiwa cripple rather than uwe poa lakini unaingia hell.
.During those days another large crowd gathered. Since they had nothing to eat, Jesus called his disciples to him and said,
Kwa hizo matime tu, wazeiya wengi wakagather. Ju hawakuwa na demo, JC akaita wafuasi wake kwake kuwashow niaje,
."I have compassion for these people; they have already been with me three days and have nothing to eat.
Na feelia hawa wadhii huruma; wamekuwaga na mimi hizi siku tatu tayari na lakini hawana any ya kumanga.
.If I send them home hungry, they will collapse on the way, because some of them have come a long distance."
Tukiwa send waishie ivo na ubao home, wengine watazirai kwa baro, ju wengine wao wamekam toka farthest.
.His disciples answered, "But where in this remote place can anyone get enough bread to feed them?"
Sa maboy wa JC wakamshow ivi, "sasa hii place tuko kwa jungle, tutaget wapi mkanyo enuff ya kulisha hawa wasee wote?"
."How many loaves do you have?" Jesus asked. "Seven," they replied.
JC akadai,"Kwani mko na loaf ngapi?" Wakamshow "Tuko na ma loaf saba."
.He told the crowd to sit down on the ground. When he had taken the seven loaves and given thanks, he broke them and gave them to his disciples to set before the people, and they did so.
JC akaagiza rende ya wadhi waketi down kwa grao. Wakati alikuwa amebamba hizo mkanyo seven aligeiana thanks kisha akazigawa vipande kadhaa akageiana kwa wafuasi wake wazisambaze mbele ya wadhii, na waka do ivo.
.They had a few small fish as well; he gave thanks for them also and told the disciples to distribute them.
Walikuwa na samaki kadhaa kapienga pia; so akagive thanks jo, alafu pia izo akashow wajamaa wazisambaze.
.The people ate and were satisfied. Afterward the disciples picked up seven basketfuls of broken pieces that were left over.
Si nakushow wasee walijibonda hadi wakashiba. Na bado baadaye, wale disciples waliokota kiondo saba za vipande za mkanyo zenye zilikuwa zimebakia.
.About four thousand men were present. And having sent them away,
Kitu ka wasee k, mabuda walikuwa. Kisha wakati aliwashow waishie,
.he got into the boat with his disciples and went to the region of Dalmanutha.
Alidandia ndani ya mv faina pamoja na mahomies wake wakakitema hadi hood ya Dalmanutha.
.The Pharisees came and began to question Jesus. To test him, they asked him for a sign from heaven.
Wale mafarisayo wakakam na kuanza kumdunga JC exam. Wakiona kama atanesh, wakamwuliza awatolee ishara supernaturalli.
.He sighed deeply and said, "Why does this generation ask for a miraculous sign? I tell you the truth, no sign will be given to it."
Jamaa akaboeka akawashow, "Mbona hi age group inaitisha ishara {kaa za ki pastor deya}? Nawatobolea ukweli, hakuna ishara mtageiwa ka generation."
.Then he left them, got back into the boat and crossed to the other side.
Nyakati aliwaacha, aliingia ndani ya mvi faina na akavuka hadi abroad-ile side ingine.
.The disciples had forgotten to bring bread, except for one loaf they had with them in the boat.
Sa mahomie wake tayari walikuwa wamesahau kuleta dibre, ila walikuwa na kamoja tu yenye ilikuwa imesundwa nahapo ivo ndani ya mv faina.
."Be careful," Jesus warned them. "Watch out for the yeast of the Pharisees and that of Herod."
JC akawadunga warning "kuweni rada,chunga sana ile baking powder ya mafarisayo na Herod."
.They discussed this with one another and said, "It is because we have no bread."
Man wakapiga stori wakijaribu kushikanisha ni nini JC alikuwa anasay hadi wakauliza,"Ama ni coz hatunaany mkanyo."
.Aware of their discussion, Jesus asked them: "Why are you talking about having no bread? Do you still not see or understand? Are your hearts hardened?
JC Ju alikuwa amenyita gumzo yao, akatupia kaswali hivi:"Mbona mnabonga ju ya kukosa boflo? Kwani bado hamnyiti, hamjacheki hii stori poa? Kwani Mioyo yenu imegeuka hard?
.Do you have eyes but fail to see, and ears but fail to hear? And don't you remember?
Mko na macho lakini mmefeli kucheki, na maskio lakini mnakosa kuskia? Kwani ham remember?
.When I broke the five loaves for the five thousand, how many basketfuls of pieces did you pick up?"
Wakati nili break to pieces zile loaf tano zikalisha wasee k, mlisakanya kiondo ngapi ka dishi?
"Twelve," they replied.
Wakamshow,"thenashara."
."And when I broke the seven loaves for the four thousand, how many basketfuls of pieces did you pick up?" They answered, "Seven."
"Na ile maithaa nilivunja vunja mikanyo seven zika feed wasee k, mlisakanya kiondo ngapi za dishi vipande vipande? Wakamjibu,"seven."
.He said to them, "Do you still not understand?"
Akawashow, "Mbona bado nyi ni anti-rada hivo?"
.They came to Bethsaida, and some people brought a blind man and begged Jesus to touch him.
Wakafika stage ya Bethsaida, na wadhii wakaleta mse kipofu wakabembeleza JC amguse tu.
.He took the blind man by the hand and led him outside the village. When he had spit on the man's eyes and put his hands on him, Jesus asked, "Do you see anything?"
Akakwachu yule jamaa kipofu kwa mkono akampeleka nje ya gerro. Wakati, baada ya kumtemea matekwa macho yake, aliweka hands zake kwake, JC akauliza boy,"Unacheki any?"
.He looked up and said, "I see people; they look like trees walking around."
Akainua macho akadai,"Nacheki wasee; wanafanana tu ka miti inapiga ma roundi."
.Once more Jesus put his hands on the man's eyes. Then his eyes were opened, his sight was restored, and he saw everything clearly.
Tena mara ingine JC akaput mikono zake kwa macho ya ule kizeiya.Kisha eyes zake zikafunguka cha kabisa, sight yake ikarudi poa, - kizee, akacheki kila kitu fiti.
.Jesus sent him home, saying,"Don't go into the village."
JC akamtuma home, akamwambia,"Usiishie kwenda ndani ya kijiji."
.Jesus and his disciples went on to the villages around Caesarea Philippi. On the way he asked them, "Who do people say I am?"
JC na mabois wake jo wakazidi mission yao into the villages na hapo hood ya Caeserea Phillippi. Wakiwa kwa njia ivi akawadunga RAT(random assesment test ka zile za seco),"Wazeiya hudai mi ni who?"
.They replied, "Some say John the Baptist; others say Elijah; and still others, one of the prophets."
Wasee wa mioto, kimbele wakasema,"Wengine Johnie ule boy wa kubaptize; wengine Elijah higher man wa nguvu; wengine tu hudai we ni mmoja wa ma prophet."
."But what about you?" he asked. "Who do you say I am?" Peter answered, "You are the Christ."
"Na nyi je? Mnadai mi ni nani?" Pitaa akamshow niaje,"We njo Christo mwenyewe."
.Jesus warned them not to tell anyone about him.
JC akawa warn wasi spill the beans ati yeye njo Christ.
.He then began to teach them that the Son of Man must suffer many things and be rejected by the elders, chief priests and teachers of the law, and that he must be killed and after three days rise again.
So ye akaanza kuwafunza vitu mob zenye JC son wa Adam ata go through, hadi akuwe rejected na wazee wa kanisa, mapasii wale wa bwaku wa church na hadi walimu wa sheria za dini, na ati ni must amadwe njo after siku three arise tena.
.He spoke plainly about this, and Peter took him aside and began to rebuke him.
Aliwabongesha vi straight forward kuhusu hii stori, na Pitaa akampeleka chemba hapo kando akaanza kumzomea.
Now when the Pharisees gathered together to him, with some of the scribes, who had come from Jerusalem,
Sa maithaa wale mafarisayo wali gazza wakamsogelea, na wale wasee wengine wasee wa kuandika, wenye walikuwa wametoka Jerusa,
they saw that some of his disciples ate with hands defiled, that is, unwashed.
wakacheki ma boy wa JC wale disciples wakidishi na mikono bila kunawa, hiyo ilikuwa dhambi kwao
(For the Pharisees, and all the Jews, do not eat unless they wash their hands, observing the tradition of the elders;
(Ju unacheki mafarisayo? Hadi wayahudi,hawawezi dishi ati tu ivo, kabla hawa wash mikono zao, wao huangalia ku keep mila za mababu;
and when they come from the market place, they do not eat unless they purify themselves; and there are many other traditions which they observe, the washing of cups and pots and vessels of bronze.)
na vile wanatoka kwa wakulima market tu hivi, hawawezi manga kabla ya usafi jo! Lazima wang'are kwanza-na ni religion kwao pia kufuata mila zingine ka kuspin dishes,unacheki, ma cups na sufuria hivi, hadi vyombo zao zimeundwa na bling ya bronze lazma zing'are)
And the Pharisees and the scribes asked him, "Why do your disciples not live according to the tradition of the elders, but eat with hands defiled?"
Ju ya hiyo mafarisayo na wale waandishi wakamshow hivi,"Niaje, wafuasi wa yours hawamesei kuishi kulingana na set down traditions za mababu,hadi wanadishi na mikono chafu?"
And he said to them, "Well did Isaiah prophesy of you hypocrites, as it is written, 'This people honors me with their lips, but their heart is far from me;
Akawashow ivi,"Izzo yule higher masn hakuhata vile aliprophesy ju yenu wadhii makabwela, ju imeandikwa,'Hawa wadhii wameni dunga respect ya lip service pekee, lakini respect ya real from the hear iko mbali na mimi;
in vain do they worship me, teaching as doctrines the precepts of men.'
ni vako ya bure hata wakini worship, wakifunza thoughts na teachings zenye zimepangwa na wadhii zikikaa kama ni God amesema.'
You leave the commandment of God, and hold fast the tradition of men."
Mnasare commands za sir Godi so that mfuate na kushikilia mila zenye zilipangwa na watu."
And he said to them, "You have a fine way of rejecting the commandment of God, in order to keep your tradition!
Kisha akawashow niaje,"mko na njaro fine tu sana ya kukataa commands za ukweli za sir Godi, ati njo mubaki ka mmeshikilia mila na lifestyle zenu!
For Moses said, 'Honor your father and your mother'; and, 'He who speaks evil of father or mother, let him surely die';
Ju Mosee alisay aje?"Heshimu mbuyuz wako na mathaako"; na pia ali say,"Yule mdhii atabonga chafu ju ya mbuyuz au muthama wa theirs wacha adedi;'
but you say, 'If a man tells his father or his mother, What you would have gained from me is Corban' (that is, given to God)
Lakini nyi mka say,'Kama mse atashow mbuyuz wake au mathaake,'Iza jo! Chenye ningekugei toka kwangu nimepeana kwa sir Godi ka sadaka'
then you no longer permit him to do anything for his father or mother,
na hivo njo iko sasa ju tayari hamkubalii tena mdhi awasaidie mbuyuz au matha wao,
thus making void the word of God through your tradition which you hand on. And many such things you do."
kwa hiyo way mna fanya word ya God ikuwe vako tupu kupitia kutumia mila zenu zenye mnahakikisha wadhii wana shika from generation to generation."
And he called the people to him again, and said to them, "Hear me, all of you, and understand:
Kisha akaita wadhii wakam kwake tena, akawashow niaje,:Niskizeni majamaa, nyi wote, na munielewe poa:
there is nothing outside a man which by going into him can defile him; but the things which come out of a man are what defile him."
Hanaku tuki chenye kinatoka nje ya mdhii chenye by kuingia kwake kitamfanya mchafu wa kiroho; lakini zile vitu zenye hutoka ndani ya msee njo humfanya awe mchafu rohoni mbele ya sir Godi
And when he had entered the house, and left the people, his disciples asked him about the parable.
Ma-time wakatiali check in kwa keja, akaacha wadhi,wale cronies wake wakamwuliza ju ya ile password ya parable.
And he said to them, "Then are you also without understanding? Do you not see that whatever goes into a man from outside cannot defile him,
Akawashow wazeiya ivi,"Kwani hata nyinyi hana copy ya chenye nimefunza? Cheki, si unaona chenye mse humanga toka nje haiwezi mfanya mchafu'
since it enters, not his heart but his stomach, and so passes on?"
Ju ye hudishi ikaingia kwa tumbo, na si kwa moyo yake, akafu inatoka ks shonde?"
(Thus he declared all foods clean.)
( na hivi njo ali make dishi zote zikuwe mango legal.)
And he said, "What comes out of a man is what defiles a man.
Na akasay ivi,"chenye hutoka kwa mzeiya ndani njo hum make akuwe mchafu wa heart,"
For from within, out of the heart of man, come evil thoughts, fornication, theft, murder, adultery,
Ju toka ndani,kwa heart ya jamaa, hutoka fikira wiked, lungula nje ya marriage, wizi, kumada wasee, na kuhanyahanya mse ukiwa umeoa,
coveting, wickedness, deceit, licentiousness, envy, slander, pride, foolishness.
Kutamani vitu za mwenyewe ukiwa na npango ya kuzichukua kwa nguvu, kuwa mu-wiked,kujijazz kimwili, wivu, fitina, kufloss floss na ujinga.
All these evil things come from within, and they defile a man."
Hizi vitu zote wiked hutoka ndani, na njo humess mdhii pureness yake ya roho mbele ya sir Godi.
And from there he arose and went away to the region of Tyre and Sidon. And he entered a house, and would not have any one know it; yet he could not be hid.
Toka hapo akarauka akaishia zake hadi ile mtaa ya Tyre na Sidon.Ambapo alicheck in kwa keja fulani hapo ivo, lakini hangekubali mse any ajue ju ya hiyo stori; lakini bado alikuwa na celeb status hangeji hide.
But immediately a woman, whose little daughter was possessed by an unclean spirit, heard of him, and came and fell down at his feet.
Mara one mmatha, mwenye mtoi wake dem alikuwa amebambwa na mashaitula, akaskia kuhusu JC, na akakam akadrop chini kwa miguu yake.
.Jesus left there and went to his hometown, accompanied by his disciples.
JC akakitoa hapo aka do come back kwa hood yake, akifuatwa na cronies wake wafuasi.
.When the Sabbath came, he began to teach in the synagogue, and many who heard him were amazed. "Where did this man get these things?" they asked. "What's this wisdom that has been given him, that he even does miracles!
Nyakati sabato ili land tu hivi, akaanza kufunza kwa church aka sinagogi, na wengi wenye walimskizia, walishangaa.Wakajiuliza,"huyu jamaa alitoa wapi hizi burungo?"Kwani hii akili ndefu ya ma wisdom aligeiwa na who, cheki hadi ana do miujiza!
.Isn't this the carpenter? Isn't this Mary's son and the brother of James, Joseph, Judas and Simon? Aren't his sisters here with us?" And they took offense at him.
Si huyu njo fundi wa mbao? Na si huyu ni mtoi wa Merii na bro wa Jaymo, Jose, Judee na Simo? Kwani si ma siz wake sisi tunapoleaga nao hapa? Wakauthika na man JC.
.Jesus said to them, "Only in his hometown, among his relatives and in his own house is a prophet without honor."
JC akawashow niaje,"kwa hood yake tu, kati ya ma rela wake na isitoshe, kwa hao yake njo prophet hakuagi amegeiwa heshima zake."
.He could not do any miracles there, except lay his hands on a few sick people and heal them.
Hadi hangeweza ku do miracles any, pengine tu kuwekelea mikono wasee kadhaa wa sick na kuwa heal.
.And he was amazed at their lack of faith.Then Jesus went around teaching from village to village.
Hadi JC akastaajabika na vile walikuwa bila faith yani. Kisha JC aka take a walk hapo around akifunza toka gerro hadi gerro.
.Calling the Twelve to him, he sent them out two by two and gave them authority over evil spirits.
Akiita wale thenashara kwake, aliwasend nje wawili wawili na akawagei say na power juu ya shaitula.
.These were his instructions: "Take nothing for the journey except a staff no bread, no bag, no money in your belts.
Akawadungia instructions kadhaa: " Msi-take chochote kwa safari ila pengine fimbo;- si mkanyo, si mkoba, si mundeh ndani ya mishipi zenu.
.Wear sandals but not an extra tunic.
Vaeni sandale lakini msibebe kladi extra.
.Whenever you enter a house, stay there until you leave that town.
Mki check in kwa keja fulani any, tulieni hapo hadi nyakati za kukitema from hiyo jiji.
.And if any place will not welcome you or listen to you, shake the dust off your feet when you leave, as a testimony against them."
Ka pahali hawata wadunga ka welcome hivi ama watadinda kuwaskiza, tikiseni hata ile vumbi iko kwa miguu wakati mnaishia toka hiyo place, ka witness against hao wadhii."
.They went out and preached that people should repent.
So wakaishia na morali, nje kwa mission, wakipreachia wadhii watubu madhambi.
.They drove out many demons and anointed many sick people with oil and healed them.
Wakatimua mashaito si mchezo, waka annoint wasee wa sick na mafuta na kuwaponesha.
.King Herod heard about this, for Jesus' name had become well known. Some were saying, "John the Baptist has been raised from the dead, and that is why miraculous powers are at work in him.
"Sa Herod, mfalme, akaget fununu ju ya hizi wax, Ju JC jina yake ilikuwaga famous sana kila kote. Wengi hadi walikuwa wakidai, "Johnie yule mse wa kubatiza wasee ame come back from the dead, na njo powers za miujiza zina do jobndani yake."
.Others said, "He is Elijah." And still others claimed, "He is a prophet, like one of the prophets of long ago."
Wengine wakadai,"Ye ni Elijah," na hata wengine wakadai, "yeye ni prophet, ka wale prophets wa zamo."
.But when Herod heard this, he said, "John, the man I beheaded, has been raised from the dead!"
Lakini Herod akaskia hiyo stori, akasay,"Johnie, ule mse nilichinja, amerauka from the dead!"
.For Herod himself had given orders to have John arrested, and he had him bound and put in prison. He did this because of Herodias, his brother Philip's wife, whom he had married.
Ju Herod mwenyewe aligeiyana ma order njo Johnie akashikwa, na akafanya hadi Johnie afungwe na atupwe Jela. Ali do hizi vitu zote ju ya Herodias, Waifudhes wa broza wake Philo, mwenye Herod alikuwa amekwachua.
.For John had been saying to Herod, "It is not lawful for you to have your brother's wife."
Johnie alikuwa akimshow Herod,"Chenye ume do si poa-si legal, kuchukua waif wa bro wako alafu um marry."
.So Herodias nursed a grudge against John and wanted to kill him. But she was not able to,
Hadi Herodias, ule waif in contention akawa na machungu against Johnie, ju ya hiyo stori, akapanga kum mada.Lakini hiyo mpango ikagonga ukuta ju hangeweza,
.because Herod feared John and protected him, knowing him to be a righteous and holy man. When Herod heard John, he was greatly puzzled; yet he liked to listen to him.
Saabu Herod alikuwa ashamdunga Johnie respect hadi akamshield, akimesea huyu charlie alikuwa MOG wa nguvu, mse holy.Wakati Herod alimskiza Johnie, alikuwaga akibaki na maswali; lakini alibaki amejazika kumsikiliza.
.Finally the opportune time came. On his birthday Herod gave a banquet for his high officials and military commanders and the leading men of Galilee.
Mwishowe wakati mwafaka ikajitokezea. Siku ya birthday yake, Herod alipanga bash moja VIP hadi guest listikabaki tu wadhi na ma respect zao, wadosi wa gava yake, wasee masonkwo wa army na wale wadosi wenye walikuwaga mbele Galilaya
.When the daughter of Herodias came in and danced, she pleased Herod and his dinner guests.
Nyakati mtoi manzi wa Herodias aliingia kwa dance floor, alijazz Herod hadi na VIP walikuwa wakimanga supper hapo.
The king said to the girl, "Ask me for anything you want, and I'll give it to you."
Mfalme, ju ya hiyo stori, akashow huyo mtoi manzi, uliza anything unawant, na nitakugei iwe yako."
.And he promised her with an oath, "Whatever you ask I will give you, up to half my kingdom."
So akamwai hadi promise under kiapo, ati"chochote utauliza nitakugei, hadi nusu ya ufalme wangu."
.She went out and said to her mother, "What shall I ask for?" The head of John the Baptist," she answered.
akaishia kwa mathake, akamshow "Nitauliza nigeiwe what?"Mathake akamshow aagizie Kichwa ya Johnie yule mse baptiser."
.At once the girl hurried in to the king with the request: "I want you to give me right now the head of John the Baptist on a platter."
Mara one yule dem akaishia spidi ndani hadi kwa Mfalme na lile ombi la mathake:"Nataka hapa saa hii unigey kichwa ya Johnie juu ya sahani ya silva."