English
stringlengths
10
646
Sheng
stringlengths
7
602
."At that time the kingdom of heaven will be like ten virgins who took their lamps and went out to meet the bridegroom.
"Hiyo magithaa kingdom ya sir Godi itakuwa ka madem vajo kinde wenye walichukua koroboi zao wakaishia kukutana na bwana harusi.
.Five of them were foolish and five were wise.
Kobole kati yao walikuwa daft na wale wengine ngovo wakawa washarp.
.The foolish ones took their lamps but did not take any oil with them.
Wale kubaff walichukua light zao lakini hawakutop up na mafuta ya stov.
.The wise, however, took oil in jars along with their lamps.
Wale wajanja, lakini, walijipanga na mafuta ya stov kwa chupa pamoja na kubeba koroboi.
.The bridegroom was a long time in coming, and they all became drowsy and fell asleep.
Sa bwana harusi aka delay kufika, nao wakapatwa na mdozement wakadoro.
."At midnight the cry rang out: 'Here's the bridegroom! Come out to meet him!'
"Masaa sita wakashtuliwa niaje: "Njo huyu bwna harusi! Kamuni nje mkutane!'
."Then all the virgins woke up and trimmed their lamps.
Kisha mavajo wote wakarauka wakajitokeza kutayarisha tambi.
.The foolish ones said to the wise, 'Give us some of your oil; our lamps are going out.'
Wale wajinga wakawashow wale werevu,"Tugeini mafta ya stov kiasi angalau; taa zetu zina didimia.
" 'No,' they replied, 'there may not be enough for both us and you. Instead, go to those who sell oil and buy some for yourselves.'
'Zi, hakutabakia enough ya sisi sote ku share wawili wawili. Labda, muishie kwa wale wadhii hukinda mafta mka buy yenu.'
"But while they were on their way to buy the oil, the bridegroom arrived. The virgins who were ready went in with him to the wedding banquet. And the door was shut.
"lakini wale mamsupa wakati wali go kuboti mafta taa, bwana harusi akafika. Wale warembo mavajo walikuwa tayari wakaingia na jamaa kwa paree ya wedo, na doaa ikafungwa.
."Later the others also came. 'Sir! Sir!' they said. 'Open the door for us!'
"Mabaadae wale wengine wakatokezea, wakidai,'Buda!Buda! ebu tufungulie tuingie
."But he replied, 'I tell you the truth, I don't know you.'
"Buda akawashow kiroho safi,'Nawashow cha ukwela, siwamesei.'
."Therefore keep watch, because you do not know the day or the hour.
"Ju ya hiyo stori baki ritho {mtu wangu} ju haujui ni siku gani au wasaa.
"Again, it will be like a man going on a journey, who called his servants and entrusted his property to them.
"Tena, itakuwa ka msee aliishia safari moja long,voyage kwanza, akaita wazeiya wake wa mkono akawaachia mali yake washikilie.
.To one he gave five talents of money, to another two talents, and to another one talent, each according to his ability. Then he went on his journey.
Kwa mmoja aligeiana talanta ngovo za munde, kwamwingine akamsukumia mbili, na kwa mwengine akamwai moja, kila msee kulingana na bidii yake vile iukuwa. Akakitema kuendelea na mchoro ya safari.
.The man who had received the five talents went at once and put his money to work and gained five more.
Yule janjes aliwaiwa tano chap chap na bidii yake akatumia hizo ganji kwa mabizna hadi aka make tano zingine.
.So also, the one with the two talents gained two more.
Vile vile yule mse wa mbili akajiongezea mbili.
.But the man who had received the one talent went off, dug a hole in the ground
Lakini yule jamaa aliwaiwa moja aliishia, akachimba shimo kwa grao akaficha munde ya
and hid his master's money.
sonkwo wake.
."After a long time the master of those servants returned and settled accounts with them.
" Sonkwo akawa long time comging lakini kisha akarejea kwa Kanda Ya Moko wake kuchora akaunti zao vile wamedu na munde.
.The man who had received the five talents brought the other five. 'Master,' he said, 'you entrusted me with five talents. See, I have gained five more.'
Janjes wa fao mwenye aligeiwa tano akaleta zingine tano akidai,'Sonkwo, cheki niaje, ulini gei talanta tano, na cheki sasa nime hustle zinginehadi nikawai tano zaidi.'
."His master replied, 'Well done, good and faithful servant! You have been faithful with a few things; I will put you in charge of many things. Come and share your master's happiness!'
"Mdosi wake akasay what, 'Ni poa vile ume do mseiya, umebaki muaminifu! Ju umeaminika kwa vitukadhaa; nitakuweka ukuwe sonkwo wa vitu mob.Njo ujienjoy na mdosi wako!
."The man with the two talents also came. 'Master,' he said, 'you entrusted me with two talents; see, I have gained two more.'
'Yule janjes wa pili alikuwa na talanta mbili pia akakam.'Mdosi, ulini gei talanta mbili; cheki nili hustle hadi nikaget zingine mbe.'
."His master replied, 'Well done, good and faithful servant! You have been faithful with a few things; I will put you in charge of many things. Come and share your master's happiness!'
"Sonkwo akamshow,'Swafi! Umedu poa ukajishow mboch m faithful! Ju umekuwa mwaminifukwa vitu chache; nitakuweka sonkwo wa vitu zaidi.Njo ujienjoy na mdosi wako!
."Then the man who had received the one talent came. 'Master,' he said, 'I knew that you are a hard man, harvesting where you have not sown and gathering where you have not scattered seed.
"Alafu ule mse alikuwa amebakia mwenye aligeiwa talanta moja akakam akidai,'Sonkwo, nilijuaga tu kuwa we ni mse mgumu, hautobokagi munde, na unapenda kuvuna place haujapanda na kugazza area haujasambaza mbegu,
.So I was afraid and went out and hid your talent in the ground. See, here is what belongs to you.'
So nikagwaya,nikaishia out nikaficha talanta yako ndani ya grao. Cheki, njo hii ile mali yako.'
."His master replied, 'You wicked, lazy servant! So you knew that I harvest where I have not sown and gather where I have not scattered seed?
"Sonkwo wake akamjibu, 'We mvivu tu, mboch mwiked! Kwa hivo ulishikanisha mi ni mse huvuna place sijapanda na kugazza place sijasambaza mbegu?
.Well then, you should have put my money on deposit with the bankers, so that when I returned I would have received it back with interest.
Si basi, ungekwachu munde ya mine uiache kwa depositya bank,njoa hata nikikam tena niiget imesha zaa ka interest.
." 'Take the talent from him and give it to the one who has the ten talents.
" 'chukua hiyo talanta kutoka kwake uigeiane kwa yule ako na talanta kumi.
.For everyone who has will be given more, and he will have an abundance. Whoever does not have, even what he has will be taken from him.
Ju lia mse mwenye anazoataongezewa, hadi abaki ako na ma excess. Lakini mse hana any, hata ile ndogo ako nayo atagurwa.
.And throw that worthless servant outside, into the darkness, where there will be weeping and gnashing of teeth.'
Na mchujeni nje huyo mboch bila faida, kwa giza, mahali kuna kuwika tu manduruna kugrind mameno.
."When the Son of Man comes in his glory, and all the angels with him, he will sit on his throne in heavenly glory.
"Wakati son oa adam, man JC, atakam na utukufu wake, na angels wote wakimuescort, ataketia kwa kiti chake cha enzi akiwa na utukufu wa mbingu.
.All the nations will be gathered before him, and he will separate the people one from another as a shepherd separates the sheep from the goats.
Mataifa yote ita gazza mbele yake, kisha atagawanisha wale wadhi kati yao vile mlinzi wa kondoo hugawanisha mbuzi na kondoo.
.He will put the sheep on his right and the goats on his left.
Ataweka kondoo kwa mkono yake ya right na izo mbuzi kwa mkono ya left.
."Then the King will say to those on his right, 'Come, you who are blessed by my Father; take your inheritance, the kingdom prepared for you since the creation of the world.
"Kisha mfalme atasema kwa wale wako his right,' kamuni,jummebarikiwa na budaangu; chukueni urithi wenu, kingdom ishaandaliwa iwe yenu toka time za creation ya world.
.For I was hungry and you gave me something to eat, I was thirsty and you gave me something to drink, I was a stranger and you invited me in,
Ju nikiwa na ubao ulinigei kitu ya kudishi, nikiwa na kiu ukanigei kinywaji,nilikuwa refugee ukanikaribisha ndani yakeja,
.I needed clothes and you clothed me, I was sick and you looked after me, I was in prison and you came to visit me.'
Bado ile time nilihitaji kladi ulinisukumia kadhaa, nikiwa mgonjwa ulinishughulikia, nikiwa kamiti ulinidunga visit.'
."Then the righteous will answer him, 'Lord, when did we see you hungry and feed you, or thirsty and give you something to drink?
"wasee righteous watamwuliza, 'Haiya, Bwana, ni lini nilikucheki ukiwa na ubao nikakulisha au ukiwa na kiu nikakigei kinywaji?'
.When did we see you a stranger and invite you in, or needing clothes and clothe you?
Hiyo ni lini ati tulikuona ukiwa refugee alafu tukakukaribisha, au ukihitaji nguo tutakuwahi kladi?
.When did we see you sick or in prison and go to visit you?'
Na we ulikuwa mgonjwa when kwanza, ati hata ulikuwa kamiti tukakutembelea?'
."The King will reply, 'I tell you the truth, whatever you did for one of the least of these brothers of mine, you did for me.'
"Mfalme atawashow hivi,'Nawashow ukwela, chochote mli do kwa wale mabro wangu Sa Jesus alikitoa from hiyo temple na alikuwa akienda zake wakati wale disciples wakamshtua acheki hiyo mjengo wazimu.
."Do you see all these things?" he asked. "I tell you the truth, not one stone here will be left on another; every one will be thrown down."
JC akawashow, "Mnacheki hizi vitu zote, for real, hata jiwe moja haita bakishwa juu ya ingine; kila mmoja itatupwa chini."
.As Jesus was sitting on the Mount of Olives, the disciples came to him privately. "Tell us," they said, "when will this happen, and what will be the sign of your coming and of the end of the age?"
Sa JC akitulia kwa mlima Olives, rende yake ya kawa, disciples wakamweka bumper ki chini ya maji wakamshow niaje? "Ni lini hizi vitu zita go down, na nini itakuwa ishara ya kurudi kwako hapo end ya this kizazi?"
.Jesus answered: "Watch out that no one deceives you.
JC akashow: " Kuweni ritho njo mse asiwapange.
.For many will come in my name, claiming, 'I am the Christ,' and will deceive many.
Ju wengi watakam kwa jina yangu waki dai ati,'Mi njo christ,' kumbe wanapanga wasee wengi.
.You will hear of wars and rumors of wars, but see to it that you are not alarmed. Such things must happen, but the end is still to come.
Mtaskia mavita na fununu ya ma war, lakini hakikisha hamja gwaya.
.Nation will rise against nation, and kingdom against kingdom. There will be famines and earthquakes in various places.
Taifa itaamkia taifa lingine kuiponda, na ufalme moja against ingine. Kutakuwa na ubao zile meja na ma earthquake kwa places various.
.All these are the beginning of birth pains.
Hizi zote ni mwanzo wa labour pains ka za kuzaa.
."Then you will be handed over to be persecuted and put to death, and you will be hated by all nations because of me.
"Kisha mtapeanwa kuwa persecuted na kumadwa, na mtakuwa hated na mataifa yote ju yangu.
.At that time many will turn away from the faith and will betray and hate each other,
Hiyo magithaa wasee wengi wata lenga stori ya christ na imani,wakuwe ma backstabber na ma hater wakibetray wadhii wenzao,
.and many false prophets will appear and deceive many people.
halafu nabii wa uongo sasa njo watatamba wakpanga wasee na kuwamwaga.
.Because of the increase of wickedness, the love of most will grow cold,
kwasababu vitu wiked njo zitaongezeka na kuwa mbele{ka mat ya mrengo}, love ya wadhi most itakuwa ice cold.
.but he who stands firm to the end will be saved.
Lakini mwenye atabaki amechora msimamo hadi mwisho ataokoka.
.And this gospel of the kingdom will be preached in the whole world as a testimony to all nations, and then the end will come.
Na hii word ya kingdom aka gospel ita preachiwa kwa hii dunia yote ka witness kwa mataifa, halafu end itagonga.
."So when you see standing in the holy place 'the abomination that causes desolation,'spoken of through the prophet Daniel let the reader understand
So mkicheki akistand kwa place purest na holy,'yule aliyebongewa ju yake na prophet Daniel, anayeleta dharau place ya Sir Godi, na kujiinua ka God, chief persucuter wa christians- msomi aelewe
null
null
.then let those who are in Judea flee to the mountains.
Wacha wale wamebangaiza Judea waepe kwa ma milima
.Let no one on the roof of his house go down to take anything out of the house.
Na mdhi yeyote juu ya roof asishuke kejani kuchukua vitu zake kutoka kwa hao.
.Let no one in the field go back to get his cloak.
Na mdhii ako kwa shakee asirudi kuget jumper au kabuti.
.How dreadful it will be in those days for pregnant women and nursing mothers!
Ju itakuwa mateso noma hizo siku kwa wale ma manzi wamebeba ball na wale wananyonyesha
.Pray that your flight will not take place in winter or on the Sabbath.
Omba njo kuhepa yenu isikuwe ni time za njeve ya winter au siku ya sabato.
.For then there will be great distress, unequaled from the beginning of the world until now and never to be equaled again.
Ju hapo sasa itakuwa ni situation ingine desperate, yenye haina equal kutoka siku ya fao ya kuanza kwa earth hadi leo- na hata haitaja fikiwa tena.
.If those days had not been cut short, no one would survive, but for the sake of the elect those days will be shortened.
Ka hizo siku hazingashoteniwa, hakuna mdhi angetoboa, lakini jua ya wale wasee chaguliwa zitafupishwa.
.At that time if anyone says to you, 'Look, here is the Christ!' or, 'There he is!' do not believe it.
Hiyo time, mdhii yote akikushow,'Cheki, hapa kuna yule christ!' au 'Yuko pal!' Usim believe.
.For false Christs and false prophets will appear and perform great signs and miracles to deceive even the elect if that were possible.
Ju wasee wanna be christs na false priphets watatokezea na ku do miracles zingine ajabu na ishara za kukatana shoka zenye zitaweza hata kuwamwaga wasee wameballotiwa- ka ingewezekana, yani itakaa tu vi-real vi-deceptive sana.
.See, I have told you ahead of time.
Cheki nishawashow mbele ya time zake.
."So if anyone tells you, 'There he is, out in the desert,' do not go out; or, 'Here he is, in the inner rooms,' do not believe it.
"so msee any akikushow,'Yuko hapa, nje huko kwa jangwa,' usiishie nje huko; au, 'Ako humu humu ndani ya room kejani,' usiamini.
.For as lightning that comes from the east is visible even in the west, so will be the coming of the Son of Man.
Ju si unacheki vile lightning huchapa place east nawatu bado wanaimesea hadi west, ivo ivo njo kurudi kwa the man JC, mtoi chali wa adam ita go down.
.Wherever there is a carcass, there the vultures will gather.
Popote pana mzoga, hapo hapo kunguru zitachek in kugazza.
."Immediately after the distress of those days
"Hapo tu immediately, baada ya strees za hizo madays
" 'the sun will be darkened,
" 'Solar itageuka ibaki magiza tu,
and the moon will not give its light;
na mwezi haita unleash light yake;
the stars will fall from the sky,
nyota zitadondoka toka juu kwa sky,
and the heavenly bodies will be shaken.'
na zile vyombo za heaven zitatingizwa.'
."At that time the sign of the Son of Man will appear in the sky, and all the nations of the earth will mourn. They will see the Son of Man coming on the clouds of the sky, with power and great glory.
"Hiyo time ile ishara ya man JC, mtoi wa adam zitatokea kwa sky, na mataifa yote italia. Watacheki mtoi chali wa adam akishuka akiwa ameget ride juu ya clouds za sky, akiwa na nguvu mob na utukufu wake, ma glory glory za kiajabu hivi.
.And he will send his angels with a loud trumpet call, and they will gather his elect from the four winds, from one end of the heavens to the other.
Atatuma wale angel wake akitumia tururiru ingine loud, na wata gazza wale wasee wamechaguliwa toka pande zenye upepo nne hutoka zikiblow, toka kona moja ya world hadi nyingine.
."Now learn this lesson from the fig tree: As soon as its twigs get tender and its leaves come out, you know that summer is near.
"Sa jifunze hivi hii lesson toka kwa mti wa mkuyu: Punde si punde tawi zake zikiget soft, na leaves ziange kudondoka, una gitch summer imekam karibu.
.Even so, when you see all these things, you know that it is near, right at the door.
Ivio ivio, mkicheki hizi vitu, mtajua iko karibu, hapo tu kwa doaa.
.I tell you the truth, this generation will certainly not pass away until all these things have happened.
Nawashow ch ukwela, hii race haitapita hadi hizi vitu zime go down.
.Heaven and earth will pass away, but my words will never pass away.
Mbingu na earth zita go away, lakini maneno yangu itabaki tu.
."No one knows about that day or hour, not even the angels in heaven, nor the Son, but only the Father.
"Hakuna mdhii anatambua ile siku au wasaa, sio hata ma angelsa wa heaven, mu Man JC mtoi wa sir Godi, lakini ni mbuyuz pekee.
.As it was in the days of Noah, so it will be at the coming of the Son of Man.
Vile iligo down maithaa za Noah, ivio tu njo ita go down na kurudi kwa son of adam, man JC.
.For in the days before the flood, people were eating and drinking, marrying and giving in marriage, up to the day Noah entered the ark;
Ju hizo ma days kabla ya mafuriko, wadhii walikuwa paree daily, yao yote, kudishi na kukatamaji, wakimarry na kumarika, hadi day Noah alichek in kwa ark;
.and they knew nothing about what would happen until the flood came and took them all away. That is how it will be at the coming of the Son of Man.
na hawakujali any wala kushikanisha ikawa wash wote awayz. Ivio tu njo itakuwa ile time ya kurudi kwa mtoi wa adam.
.Two men will be in the field; one will be taken and the other left.
Maboiz wawili watakuwa kwa field; mmoja atago, mwingine abaki.
.Two women will be grinding with a hand mill; one will be taken and the other left.
Madam wawili watakuwa wax kusiaga na rego rego ya mkono; mmoja ataishia mwingine abaki.
."Therefore keep watch, because you do not know on what day your Lord will come.
"Kwa hivo ju ya hiyo stori kuweni ritho na tayari, ju hamujui ni when, siku gani mdosi wenu atashow up.
.But understand this: If the owner of the house had known at what time of night the thief was coming, he would have kept watch and would not have let his house be broken into.
Lakini elewa hivi: Ka mwenye mali, mwenye keja angeshikanisha ni when usiku time yenye mathegi wangemkamia, angebakli ritho mbaya na hangeacha wabreak kwa hao yake.
.So you also must be ready, because the Son of Man will come at an hour when you do not expect him.
Ivo njo nyi pia mnafaa kubako chonjo na ready, ju son of man, Man JC akachek in ile ithaa huaukutarajia afike.
."Who then is the faithful and wise servant, whom the master has put in charge of the servants in his household to give them their food at the proper time?
"Nani basi njo mboch mwenye bidii,msharp na mwenye wisdom , mwenye dozi ameweka in charge ya wale ma mboch wengine wa hao kuwagei dishi nyakati zake zikitimia?
.It will be good for that servant whose master finds him doing so when he returns.
Itakuwa bora kwa huyo mboch mwenye sonkwo atamget aki do ivo wakati anarejea kejani.
.I tell you the truth, he will put him in charge of all his possessions.
Nawashow ukwela, atamgei promotuion kwanza amweke mdosi wa kila kitu sonkwo anacho.
.Then Jesus said to the crowds and to his disciples:
Kisha JC akapea wisdom crowd akiwashow hivi:
."The teachers of the law and the Pharisees sit in Moses' seat.
Wale ma mode wa law na mafarisayo wametulia kwa kiti ya Mosee.
.So you must obey them and do everything they tell you. But do not do what they do, for they do not practice what they preach.
Kwa hivo lazma mtii instructions zao, kila kitu wanawashow.Lakini msi do vile vitu waufanya, ju wamechapa, waupreach {maji lakini wako ju ya chwara} different na vile wanaact kando.
.They tie up heavy loads and put them on men's shoulders, but they themselves are not willing to lift a finger to move them.
Kisha wanawapanga mizigo nzito na kuzieka kwa mabega ya wasee, lakini wao hawawezi lift hata kidole kuzisongesha.
."Everything they do is done for men to see: They make their phylacteries wide and the tassels on their garments long;
"kila kitu wanado ni ya wadhii kuona: wanaweka vilemba zao wide na matamvua kweneye kladi zao ndefu;
.they love the place of honor at banquets and the most important seats in the synagogues;
ju wanalike kutulia kwa VIP section ya paree na zile VIP seats ndani ya church;
.they love to be greeted in the marketplaces and to have men call them 'Rabbi.'
wanalike kugotewa ndani ya soko na kwamtaa na kuskia wakiitwa,"Teacher."
."But you are not to be called 'Rabbi,' for you have only one Master and you are all brothers.
"lakini msiitwe ati 'Teacher,' ju mna mwalimu mdosi wenu mmoja tu na nyi wote ni ma bro.