English
stringlengths
10
646
Sheng
stringlengths
7
602
."And whoever welcomes a little child like this in my name welcomes me.
"Na yeyote ana welcome mtoi mdogo ka huyu kwa jinayangu amenikaribisha pia.
.But if anyone causes one of these little ones who believe in me to sin, it would be better for him to have a large millstone hung around his neck and to be drowned in the depths of the sea.
Lakini kila mse ana cause mmoja wa watoi hawa wasmall wenye wamenibelieve afall kwa dhambi, ingekuwa afadhali angefungwa mawe ile ya rego rego{posho mill} kwa shingo adrownishwe kwa deep sea.
."Woe to the world because of the things that cause people to sin! Such things must come, but woe to the man through whom they come!
"Ole wao wasee wa dunia kwa sababu ya samo zenye hu fanya wasee wa do sins!Hizo vitu lazma zikam, lakini ole kwa yule mdhii mwenye anasababisha hivi vitu zi happen!"
.If your hand or your foot causes you to sin, cut it off and throw it away.It is better for you to enter life maimed or crippled than to have two hands or two feet and be thrown into eternal fire.
Ka Mkono yako au mguu yako ina kucause udo dhambi, ikate uichuje away. Ni better kwako kuingia kwa life ukiwa bila mguu au mkono rather uingie flames mzima mzima, namiguu au mikono yote.
.And if your eye causes you to sin, gouge it out and throw it away. It is better for you to enter life with one eye than to have two eyes and be thrown into the fire of hell.
Ka jicho yako inaku cause udo dhambi, itoe uichuje away. Ni better kwako kuingia life eternal na jicho moja badala ya wewe na macho mbe zako utupwe kwa nare ya hell.
."See that you do not look down on one of these little ones. For I tell you that their angels in heaven always see the face of my Father in heaven.
Tia bidii usishow dharau kwa watoi wadogo any. Ju nawashow that ma angels wao heaven kila time hucheki face ya buda wangu heaven.
."What do you think? If a man owns a hundred sheep, and one of them wanders away, will he not leave the ninety-nine on the hills and go to look for the one that wandered off?
"Mna dhani what?Ka msee sonkwo ana own sheep soo moja, na moja ya sheep imezurura ikapotea, si atachomoka aache zile sheep ninety nine kwa hills aishie kusaka ile moja imelost?
.And if he finds it, I tell you the truth, he is happier about that one sheep than about the ninety-nine that did not wander off.
Na akiiget, nakushow ukweli, atakuwa amejazika zaidi ju ya ilesheep ilipatikana kuliko zile sheep ninety nine haziku stray away.
.In the same way your Father in heaven is not willing that any of these little ones should be lost.
Hivo hivo njo buda wako ako heaven hawezi acha mmoja wa hawa wakidi alost.
."If your brother sins against you, go and show him his fault, just between the two of you. If he listens to you, you have won your brother over.
"Ka bro wako anakuduiya madhambi, ishia umshow mistake yake, mkiwa nyi wawili. Lakini akikuskizia, utakuwa umeshinda bro wako over.
.But if he will not listen, take one or two others along, so that 'every matter may be established by the testimony of two or three witnesses.'
Lakini asipokuskiza, chukua mse mmoja au wawili pamoja muishie, njo 'Kila issue iwe established na witness wawili au watatu.'
.If he refuses to listen to them, tell it to the church; and if he refuses to listen even to the church, treat him as you would a pagan or a tax collector.
Akidindakuwaskiza, elezea wasee wa church; na akidinda bado mtreat ka vile utatreat pagan, au tax collector.
."I tell you the truth, whatever you bind on earth will be bound in heaven, and whatever you loose on earth will be loosed in heaven.
" Nakushow cha ukwela, chenye unabind kwa earth kitabindiwa in heaven, na whatever munafungulia on earth kitafunguliwa in heaven.
."Again, I tell you that if two of you on earth agree about anything you ask for, it will be done for you by my Father in heaven.
"Tena, ni hivi, ka wasee wawili kati yenu au wasee three mna agree kuhusu kitu any chenye munauliza, mutafanyiwa na mbuyuz wangu heaven.
.For where two or three come together in my name, there am I with them.
Ju place wadhii wawili au watatu wakija tugezza kwa jina yangu, hapo hapo nimedunga hema nao.
.Then Peter came to Jesus and asked, "Lord, how many times shall I forgive my brother when he sins against me? Up to seven times?"
Kisha Pitaa akamkamia JC akamwuliza, "Bwana, nitaforgive bro wangu mara ngapi akinikosea? Hadi mara seven.
.Jesus answered, "I tell you, not seven times, but seventy-seven times.
JC akareply,"Nawashow hivi, sio matime seven , lakini time seventy-seven times.
."Therefore, the kingdom of heaven is like a king who wanted to settle accounts with his servants.
"Kwa hivo, kingdom ya heaven ni ka king alitaka kumalizana ma accounts na wazeiya wake wa Job.
.As he began the settlement, a man who owed him ten thousand talents was brought to him.
Kisha akaanza kusort hizo ma account, msee mmoja alikuwa nangiri zake ashu akaletwa kwake.
.Since he was not able to pay, the master ordered that he and his wife and his children and all that he had be sold to repay the debt.
Ju alikuwa hako able kulipay, sonkwo akasay family ya huyo msee, waifudhes na wakidi wote wauzwe ili sonkwo aget doh yake back.
."The servant fell on his knees before him. 'Be patient with me,' he begged, 'and I will pay back everything.'
Servant akapiga magoti mbele ya sonkwo akam beg, 'kuwa patient na mimi,nitakulipa kila kitu naku owe.'
.The servant's master took pity on him, canceled the debt and let him go.
mdosi wa huyo jamaa akamskilia huruma, so aka cancel hiyo debt na akamset free.
.But when that servant went out, he found one of his fellow servants who owed him a hundred denarii.He grabbed him and began to choke him. 'Pay back what you owe me!' he demanded.
Lakini huyo mdhii wakati aliishia nje, alikutana na debtor wake, mse kandaya moko kama yeye mwenye alimu owe soo. Akamshika mashati mbaya, akaanza kumchoke akimshow, 'Lipa deni yako yenye nakudai!
."His fellow servant fell to his knees and begged him, 'Be patient with me, and I will pay you back.'
Huyo mse waliduigi job naye akamwangukia kwa magoti akiplead, 'kuwa na subira na mimi jo!, nitaku pay deni yako.'
."But he refused. Instead, he went off and had the man thrown into prison until he could pay the debt.
Lakini akakataa.Instead, akaishia kwa jailman aka make sure jamaa wake ametupwa ndani hadi ile day atalipa deni.
.When the other servants saw what had happened, they were greatly distressed and went and told their master everything that had happened.
Nyakati wale wasee wengine walicheki hivo, waliget madepression meja hadi wakaishia kwa sonkwo kumshow hizo mahappenings zote.
."Then the master called the servant in. 'You wicked servant,' he said, 'I canceled all that debt of yours because you begged me to.
"Kisha sonkwo akatumania servant wake amcheki, akamshow,'We mfanyikazi wiked aje,nilishafuta deni zako kubwa hivo, na vile uli cry nikuforgive.
.Shouldn't you have had mercy on your fellow servant just as I had on you?'
Mbona usi do the same, ukuwe na huruma kwa jamaa wako mnadunga wax pamoja, umsamehe deni ka vile nilikusamehea?
.In anger his master turned him over to the jailers to be tortured, until he should pay back all he owed.
Kwa hasira yake, sonkwo alimsare kwa masoja wa jela ashikanishwe ki nyayo basement, hadi ile siku angelipa deni yote.
.After six days Jesus took with him Peter, James and John the brother of James, and led them up a high mountain by themselves.
Baada ya siku six, JC akachukua Pitaa, Jamo na Johnie bro wa Jamo, akawapeleka juu ya mlima high wakiwa alone.
.There he was transfigured before them. His face shone like the sun, and his clothes became as white as the light.
Hapo akaanza kubadilishwa vi supernatural mbele yao. Face yake ikang'ara ka sun, na cladi zake zikakuwa white kuliko hata chenye JIK inge do, white kama light.
.Just then there appeared before them Moses and Elijah, talking with Jesus.
Vi sudden Elijah aka appear mbele yao akiwa tugezza na Mosee, wakibonga na JC.
.Peter said to Jesus, "Lord, it is good for us to be here. If you wish, I will put up three shelters one for you, one for Moses and one for Elijah."
Pitaa akashow JC hivi,"Lord, si poa tukitulia hapa hivi. Ukitaka, tutawadungia hema tatu, moja yako, moja ya Mose na moja ya Elijah.
.While he was still speaking, a bright cloud enveloped them, and a voice from the cloud said, "This is my Son, whom I love; with him I am well pleased. Listen to him!"
Hivi wakibonga tu, cloud bright ikawafunika, na voice kutoka kwa cloud ikisay,"huyu njo mtoi wangu chali, na ninampenda; yeye amenijazz.Mpeeni sikio!"
.When the disciples heard this, they fell facedown to the ground, terrified.
Nyakati ma disciples waliskia hivo, wakadrop na face zao to the ground, wamegwaya.
.But Jesus came and touched them. "Get up," he said. "Don't be afraid."
Lakini JC akacome na akawagusa.Akawashow,"amkeni na msigwaye."
.When they looked up, they saw no one except Jesus.
Wakati walicheki Juu Hivi,walicheki JC amebaki alone.
.As they were coming down the mountain, Jesus instructed them, "Don't tell anyone what you have seen, until the Son of Man has been raised from the dead."
Sa wakishuka chini toka kwa mountain, JC akapea maagizo,"Msishow msee any chenye mme cheki, hadi matime mtoi chali wa adam ataresurrect toka death."
.The disciples asked him, "Why then do the teachers of the law say that Elijah must come first?"
Ma disciples wakamwuliza, "mbona ma mode wa sheria husay Elijah lazma akam wa fao?"
.Jesus replied, "To be sure, Elijah comes and will restore all things.
JC akawajibu,"For sure Elijah anacome na atarestore vitu zote zibaki poa.
.But I tell you, Elijah has already come, and they did not recognize him, but have done to him everything they wished. In the same way the Son of Man is going to suffer at their hands."
Lakini nawashow, Elijah alishacome, nao hawakum tambua ni yeye, lakini wame do kwake vitu zote walifeel ku do. Hivo hivo njo son wa adam ata go through kwa mikono zao."
.Then the disciples understood that he was talking to them about John the Baptist.
Kisha disciples wakaelewa alikuwa anamaanisha Johnie yule baptist.
.When they came to the crowd, a man approached Jesus and knelt before him.
Wakati walifikia rende, msee akasogelea JC na akapiga magoti mbele.
."Lord, have mercy on my son," he said. "He has seizures and is suffering greatly. He often falls into the fire or into the water.
"Lord, have mercy kwa son yangu," akasay. "Ye amekuwa na ma seizure na anasuffer vimeja. Hadi ya hufall ndani ya nare au ndani ya wode.
.I brought him to your disciples, but they could not heal him."
Nilimbring kwa hawa ma disciples wako, wakashindwa kum heal."
."O unbelieving and perverse generation," Jesus replied, "how long shall I stay with you? How long shall I put up with you? Bring the boy here to me."
"Oh nyikizazi potovu tena unbelieving," JC akajibu, "Ni lazma how niwe na nyinyi long? Nita watolerate hadi lini? Leteni huyo chali hapa."
.Jesus rebuked the demon, and it came out of the boy, and he was healed from that moment.
JC akakemea hoyi shaito, ikakam out kutoka kwa huyo boy, na akawa poa from then on.
.Then the disciples came to Jesus in private and asked, "Why couldn't we drive it out?"
Kisha ma disciples wakakam kwa JC kichinichini wakamask," Niaje ahungeweza ku cast out pepo?"
.He replied, "Because you have so little faith. I tell you the truth, if you have faith as small as a mustard seed, you can say to this mountain, 'Move from here to there' and it will move. Nothing will be impossible for you."
JC akawashow hivi,"ju mna imani ndogo ajabu. Nawashow ukweli, ka una faith ndogo ka mbegu ya haradali, unaweza say kwa hii mlima,"jitoe uishie toka hapa hadi pale" na itamove. Hakuna chenye kitakuwa impossible kwako{hautakuwa na limits}.
.When they came together in Galilee, he said to them, "The Son of Man is going to be betrayed into the hands of men.
Nyakati Walikam pamoja Galilee, aliwashow hivi,"son wa adam anaenda kuuzwa katika hands ya wasee.
.They will kill him, and on the third day he will be raised to life." And the disciples were filled with grief.
Wadhii watamdedisha, na ile siku ya tatu atarise from the dead to life." Na ma disciples wakawa down with grief.
.After Jesus and his disciples arrived in Capernaum, the collectors of the two-drachma tax came to Peter and asked, "Doesn't your teacher pay the temple tax?"
Kisha baada ya JC na Dsciples wake kufika capernaum, wale collectors wa ile ushuru ya peni mbili wakakam kwa Pitaa kumwuliza,"Niaje, Mbona wewe na sonkwo, huyu mode wako hamlipi tax ya temple?"
."Yes, he does," he replied. When Peter came into the house, Jesus was the first to speak. "What do you think, Simon?" he asked. "From whom do the kings of the earth collect duty and taxes from their own sons or from others?"
"Ye hupay hizo tax," Akamshow. Then Pitaa akishia kejani, place JC alikuwa. JC akawa wa fao kubonga. "Unathink aje, Simo?" akauliza. "Kutoka kwa who njo masonkwo wa dunia hucollect tax from, watoi wao ama wengine?"
."From others," Peter answered. "Then the sons are exempt," Jesus said to him.
Si wengine," Pitaa akasay. "Kwa hivo watoi wao hawalipagi," JC akadai.
.He replied, "When evening comes, you say, 'It will be fair weather, for the sky is red,'
Akawashow hivi, "Jioni ikicome, nyi husay aje,'kutakuwa na weather poa, ju sky ni red,'
.and in the morning, 'Today it will be stormy, for the sky is red and overcast.' You know how to interpret the appearance of the sky, but you cannot interpret the signs of the times.
Na morning nyi husay aje, 'Leo itakuwa na rain yamaajabu, coz sky huwaga red na macloud cover.' Mnajua kusoma vile skiy inakaa, lakini hamuwezi conclude niaje, mkicheki signs za hizi nyakati.
.A wicked and adulterous generation looks for a miraculous sign, but none will be given it except the sign of Jonah." Jesus then left them and went away.
Generation wiked na ya huyanya hanya hutafuta for evidence ya miracles, lakini haitageiwa hata moja, labda tu ile sign ya Jonaa.JC akawaacha hivo akaishia.
.When they went across the lake, the disciples forgot to take bread.
Wakati walivuka hiyo lake, madisciples wakasahau kubeba takeaway ya loaf.
."Be careful," Jesus said to them. "Be on your guard against the yeast of the Pharisees and Sadducees."
"Chunga sana," JC akawashow. "Kueni alert mkijichunga against ile chapa mandashi ya makuhani, pharisees na saducees."
.They discussed this among themselves and said, "It is because we didn't bring any bread."
Wakadiscuss hiyo stori katikati yao wakasay aje,"Ni ju hatukuleta takeaway ya loaf yoyote."
.Aware of their discussion, Jesus asked, "You of little faith, why are you talking among yourselves about having no bread?
JC tayari alikuwa amewasoma,so akaingilia hiyo discussion yao,"nyi wasee wa faith ndogo, mbona mnajibongesha bongesha kati yenu ati hamna bread?
.Do you still not understand? Don't you remember the five loaves for the five thousand, and how many basketfuls you gathered?
Kwani hamnyiti hii story? Mnakumbuka zile loaf ngovo za wasee thao tano, mlijaza juala ngapi, kwanza?
.Or the seven loaves for the four thousand, and how many basketfuls you gathered?
Ama zile loaf saba za kufeed wasee ngovo nne, na vile mlisakanya juala baadaye?
.How is it you don't understand that I was not talking to you about bread? But be on your guard against the yeast of the Pharisees and Sadducees."
Niaje hamnyiti, siwabongeshi ju ya loaf? Kuweni macho ju ya stori ya baking powder ya ma pharisee na ma saducees."
.Then they understood that he was not telling them to guard against the yeast used in bread, but against the teaching of the Pharisees and Sadducees.
Wakati walielewa ati hawa show wajipange stori ya baking powder ya bread, lakini ju ya teachings za mapharisees na sadduccees.
.When Jesus came to the region of Caesarea Philippi, he asked his disciples, "Who do people say the Son of Man is?"
Nyakati JC alitokezea kwaile region ya Caesarea philippi, akauliza madisciples wake,"Wasee husema son wa Adam nani?"
.They replied, "Some say John the Baptist; others say Elijah; and still others, Jeremiah or one of the prophets."
Wakajibu,"Wasee wengine wanasay Johnie yule baptist; wasee wengine wanasay Elijah; na wengine ati Jere ama mmoja wa maprophets."
."But what about you?" he asked. "Who do you say I am?"
"Lakini nyi je?" akaulizia. "mnasay mimi ni nani?"
.Simon Peter answered, "You are the Christ, the Son of the living God."
Simo yani Pitaa, akajibu,"si we njo christ, mtoi wa Jah the living God."
.Jesus replied, "Blessed are you, Simon son of Jonah, for this was not revealed to you by man, but by my Father in heaven.
JC akamshow hivi," Umebarikiwa vi meja, Simo mtoi wa Jona, Ju hii ilishoiwa kwako,sio na msee, lakini na mbuyu wangu wa heaven.
.And I tell you that you are Peter,and on this rock I will build my church, and the gates of Hades will not overcome it.
Nakushow wee njo Pitaa, na juu ya hii jiwe nitabuild church yangu, na the gates za hell hazitaiovercome.
.I will give you the keys of the kingdom of heaven; whatever you bind on earth will be bound in heaven, and whatever you loose on earth will be[g] loosed in heaven."
Nitakugei keys za kingdom ya heaven; chochote utabind kwa dunia itafungwa mbinguni, na chochote utafungulia earth kitafunguliwa heaven.
.Then he warned his disciples not to tell anyone that he was the Christ.
Kisha akapeana warning kwa maboi wake wasishow msee yeyote kuwa yeye ndiye mambo yote, the christ.
.From that time on Jesus began to explain to his disciples that he must go to Jerusalem and suffer many things at the hands of the elders, chief priests and teachers of the law, and that he must be killed and on the third day be raised to life.
Kutoka hiyo githaa JC akabegin ku explain kwa disciples kuwa lazima aishie Jerusa ku-go through, ku-suffer vitu mob in the hands za wazae, wadosi chief priests na ma mode wa sheria, na kuwa lazima adedishwe, lakini on the third day ange resurrect to life.
.Peter took him aside and began to rebuke him. "Never, Lord!" he said. "This shall never happen to you!"
Pitaa alimkwachu aside na kuanza kumkemea."Haiwezi take place, buda!" akamshow. "Hii haiwezi happen kwako!"
.Jesus turned and said to Peter, "Get behind me, Satan! You are a stumbling block to me; you do not have in mind the things of God, but the things of men."
JC akaturn na kushow Pitaa, "Baki nyuma yangu, shaito!" We ni kikwazo kwa mi; unamind sana njaro za wadhii more than kumind njaro za sir Godi."
.Then Jesus said to his disciples, "If anyone would come after me, he must deny himself and take up his cross and follow me.
Kisha JC akawashow madisciples wake, "Ka msee any ataniweka bumper, kunifuata, lazima ajideny na ajibebee cross yake anifuates.
.For whoever wants to save his life will lose it, but whoever loses his life for me will find it.
Ju ulemdhii anawant kuokolea maisha yake atailost, lakini jamaa jule atalostisha life yake ju yangu, ataiget.
.What good will it be for a man if he gains the whole world, yet forfeits his soul? Or what can a man give in exchange for his soul?
Sa ni nini poa na msee kupata the whole world, lakini alost soul yake foree? Ama je, msee anaweza peana nini in exchange for soul yake?
.For the Son of Man is going to come in his Father's glory with his angels, and then he will reward each person according to what he has done.
Ju mtoi wa adam atakokezea mtaani matime zake akiwa na bling bling ya mbuyu wake na angels wake, na hiyo time atapeana kwa kila msee kulingana na chenye wame do.
.I tell you the truth, some who are standing here will not taste death before they see the Son of Man coming in his kingdom."
Nawashow cha ukwela, wasee wengine wanasimama hapa hawata taste kifo hadi nyakati watacheki mtoi wa adam akija kwa kingdom yake."
.Then some Pharisees and teachers of the law came to Jesus from Jerusalem and asked,
Kisha ma pharisee na ma mode wa sheria wakakam kwa JC toka Jerusa wakaulizia,
."Why do your disciples break the tradition of the elders? They don't wash their hands before they eat!"
Niaje wasee wako disciples wana break sheria za wazae? Mbona hawa wash mikono zao before wadishi!"
.For God said, 'Honor your father and mother' and 'Anyone who curses his father or mother must be put to death.'
Ju sir Godi alisay,'heshimu mbuyuz wako namathe wako' na 'yeyote amecurse mbuyuz wake au mathake lazima adedishwe.'
.But you say that if a man says to his father or mother, 'Whatever help you might otherwise have received from me is a gift devoted to God,'
Lakini mnasema ati mse akishow mathake au budake,"Help yenye ningewagei nimepatiana ka sadaka kwa God.
.he is not to 'honor his father' with it. Thus you nullify the word of God for the sake of your tradition.
Si lazima apeane heshima kwa mbuyu wake kwa kumsort. So mna chuja word ya God ndio mtimize ma tradition.
.You hypocrites! Isaiah was right when he prophesied about you:
Nyi makabwela! Izzo alikuwa correct wakati aliprophesy kuwahusu:
." 'These people honor me with their lips,
Hawa wasee wananipea respect na midomo yao,
but their hearts are far from me.
lakini hawanifeel kunipea moyo zao.
.They worship me in vain;
Wanani worship na njaro ya vako;
their teachings are but rules taught by men.'"
mateachings zao ni ma doe and donts zimechorwa na wasee.
.Jesus called the crowd to him and said, "Listen and understand.
JC akaita rende kwake akawashow,"sikizeni na munyite.
.What goes into a man's mouth does not make him 'unclean,' but what comes out of his mouth, that is what makes him 'unclean.' "
Chenye kinaingia kwa mdomo ya msee hakiwezi m-make unholy, lakini chenye kinatoka kwa mdomo yake njo kinam make un 'holy.'
.Then the disciples came to him and asked, "Do you know that the Pharisees were offended when they heard this?"
So disciples wakakam kwake wakamwuliza,"mbona wadhi ma pharisees walikuwa wamekasirishwa wakati waliskia hivo.
.He replied, "Every plant that my heavenly Father has not planted will be pulled up by the roots.
Wakajibu hivi, "Kila plant yenye mbuyu wangu wa heaven haja panda itakatwa kutoka kwa roots.
.Leave them; they are blind guides.If a blind man leads a blind man, both will fall into a pit."
Wachana nao; hawa ni wasee maguides blind. Ka mse blind anaongoza mse blind, wote wataingia kwa shimo."
.Peter said, "Explain the parable to us."
Pitaa akasay, "Explain hiyo parable kwetu.'
."Are you still so dull?" Jesus asked them.
"Kwani bado mko hivo blunt?" JC akawauliza.
"Don't you see that whatever enters the mouth goes into the stomach and then out of the body?
"Si unacheki chenye huingia kwa mouth huenda kwa tumbo alafu inakitoanje ya mwili?
.But the things that come out of the mouth come from the heart, and these make a man 'unclean.'
Lakini zile vitu zinachomoka kwa mdomo ka maneno zinatoka kwa moyo, na hizi njo hufanya mse akuwe wiked.