English
stringlengths
10
646
Sheng
stringlengths
7
602
.For out of the heart come evil thoughts, murder, adultery, sexual immorality, theft, false testimony, slander.
Ju toka kwa heart ya msee ndio hutoka thoughts wiked, uuaji, kuhanya, kukuta vitu zenye si za wife, wizi, fitina na uongo, na kuharibiana wasee cv.
.These are what make a man 'unclean'; but eating with unwashed hands does not make him 'unclean.' "
Hizi njo hufanya msee awe mwiked; lakini kula bila kunawa mikono haziezi fanya mse kuwa wiked.
.Leaving that place, Jesus withdrew to the region of Tyre and Sidon.
Kuishia hapo, JC akajificha kwa area ya tyre na sidon.
.A Canaanite woman from that vicinity came to him, crying out, "Lord, Son of David, have mercy on me! My daughter is suffering terribly from demon-possession."
Matha fulani wa hiyo area tu akamkamia JC, akicry otu,"Lord, mtoi wa Davie, nionee huruma! Mtoi wancu manzi ana shida bigi ya kuwa possesed na devo.
.Jesus did not answer a word. So his disciples came to him and urged him, "Send her away, for she keeps crying out after us."
JC hakumjibu hata word moja. Ma disciples wake waka kam kumshow JC,"mfukuze, aache kucry cry hapa akitufuata.
.He answered, "I was sent only to the lost sheep of Israel."
Akawajibu,"nilitumwa tu kwa zile lost sheep za israel."
.The woman came and knelt before him. "Lord, help me!" she said.
Huyo manzi akakam akakneel down mbele yake. "Boss, ebu nihelp!" mshii akalia.
.He replied, "It is not right to take the children's bread and toss it to their dogs."
JC akajibu,"si poa kuchukua ile loaf ya watoi upatie mbwa zao."
."Yes, Lord," she said, "but even the dogs eat the crumbs that fall from their masters' table."
"Ndio, boss," lakini mshi akasay hivi,"hata dogi hula crumbs zenye zinaanguka kutoka kwa tebo za masonkwo wao."
.Then Jesus answered, "Woman, you have great faith! Your request is granted." And her daughter was healed from that very hour.
JC akamesea hiyo jibu akamshow hivi,"Mathe,uko na imani kubwa jo!Request yako itakuwa granted." So dota wake akaget poa from hiyo githaa.
.Jesus left there and went along the Sea of Galilee. Then he went up on a mountainside and sat down.
JC akatoka hapo akaenda akipass sea ya Galilee. Akaclimb juu ya mountainside akatuliza.
.Great crowds came to him, bringing the lame, the blind, the crippled, the mute and many others, and laid them at his feet; and he healed them.
Wasee wengiwaka kam kwake, wakibring wasee lame, bling, crippled, wasee deaf na wengine mob, wakalaza kwa feet ya JC;na akawaheal.
.The people were amazed when they saw the mute speaking, the crippled made well, the lame walking and the blind seeing. And they praised the God of Israel.
Wasee wakajazika wakati walicheki wasee bubu wakispeak, wale crippled wakipona,wale lame wakizienda wakiwa poa na wale blind wakiona. Hata wakapraise Jah, sir Godi wa Israel.
.Jesus called his disciples to him and said, "I have compassion for these people; they have already been with me three days and have nothing to eat. I do not want to send them away hungry, or they may collapse on the way."
Sa JC aka call wasee wake disciples kwake akawashow hivi,"na feelia hawa wasee compassion; wametuliza hapa na mimi siku ka tatu na hawajamanga any. Sitaki kuwa send away wakiwa na ubao, ama watacollapse kwa njia."
.His disciples answered, "Where could we get enough bread in this remote place to feed such a crowd?"
Disciples wa jC wakajibu, "Kwani tutaget loaf mob hivi,ya kutoshea wadhii hawa waote wapi na vile tuko bunduz mbaya?"
."How many loaves do you have?" Jesus asked.
JC akawauliza,"Kwani mna loaf ngapi?"
"Seven," they replied, "and a few small fish."
"Saba tu, na hauskii tu-omena tu-few sana." wakamshow.
.He told the crowd to sit down on the ground.
JC akashow crowd itulie down kwa grao.
.Then he took the seven loaves and the fish, and when he had given thanks, he broke them and gave them to the disciples, and they in turn to the people.
Akabamba hiyo dibre na fish, alfu kwanza akareturn thanks, kisha akishamaliza ku do hivo, akavunja vunja loaf akpeana vipande kwa madisciples wake nao waka gawia wasee.
.They all ate and were satisfied. Afterward the disciples picked up seven basketfuls of broken pieces that were left over.
Wote wakadishi yao yote hadi wakashiba. After hivo ma disciples wakaokota juala saba kubwa zimejaa mabaki ka pieces zimebreak break.
.The number of those who ate was four thousand, besides women and children.
Hesaabu ya wasee walijibonda ilikuwaga thao nne, kabla ya watoi na mamatha kuhesabika.
.When he came down from the mountainside, large crowds followed him.
Time yenye alidondoka mountainside,rende ya wadhii, kubwa ilimfuata.
.A man with leprosy came and knelt before him and said, "Lord, if you are willing, you can make me clean."
Msee alikuwa na ukoma alikam aka kneel mbele ya JC akamshow,"Sonkwo, ka una will kuniheal, unaweza ni ng'arisha."
.Jesus reached out his hand and touched the man. "I am willing," he said. "Be clean!" Immediately he was cured of his leprosy.
JC akastretch mkono yake akagusa huyo mse. "Niko na nia ya kukuheal," JC akamshow. "Kuwa mclean!" One time huyo jamaa akang'ara akakuwa healed fom hiyo ukoma.
.Then Jesus said to him, "See that you don't tell anyone. But go, show yourself to the priest and offer the gift Moses commanded, as a testimony to them."
So JC akamshow," make sure usishow msee any. Lakini enda ujishow kwa priest na uto ile gift Mosee alicommand wana wa israel watoe , kama tesimony kwa priest."
.When Jesus had entered Capernaum, a centurion came to him, asking for help.
Nyakati JC aliingia capernaum, dosi fulani wa army akamkamia, akiulizia assistance hivi.
."Lord," he said, "my servant lies at home paralyzed and in terrible suffering."
"Lord," aka say, "msee wa wax kwangu hafeel poa hadi amelala paralyzed kwa bed akiumwa mbaya."
.Jesus said to him, "I will go and heal him."
JC akamshow,"Nitakam kumheal."
.The centurion replied, "Lord, I do not deserve to have you come under my roof. But just say the word, and my servant will be healed.
Sonkwo wa army akamshow,"Boss, hata si deserve wewe ukam personally kwa keja yangu, chini ya bati yangu. Sema tu vile kutakuwa na najua msee wangu wa wax atakuwa healed.
.For I myself am a man under authority, with soldiers under me. I tell this one, 'Go,' and he goes; and that one, 'Come,' and he comes. I say to my servant, 'Do this,' and he does it."
Ju hata mimi ni msee sonkwo na nina say, niko na masoja wana ni obey. Nikishow huyu "ishia" ana go; na yule, "ebu kam hapa," ana come. Mi hushow servant wangu, "Do hivi," na ana do."
.When Jesus heard this, he was astonished and said to those following him, "I tell you the truth, I have not found anyone in Israel with such great faith.
Lo! JC kuskia hivo, ikamuastonish, kwanza ika grab attention yake hadi akashow wadhii walikuwa na yeye bumper,"Nawashow cha ukweli, sijaget msee hata mmoja Israel mwenye ako level ya imani ya huyu generalli, coz yuko juu tu sana.
.I say to you that many will come from the east and the west, and will take their places at the feast with Abraham, Isaac and Jacob in the kingdom of heaven.
Nawashow nyote ivi, wengi watakam kutoka east na west na wachukua place yao kwa paree na Abraham, Izzo na Jacob kwa kingdom ya heaven.
.But the subjects of the kingdom will be thrown outside, into the darkness, where there will be weeping and gnashing of teeth."
Lakini wale raia wa hiyo kingdom watachujwa outside, kwenye ma-gizani,ambapo kutakuwa na sauti ya vilio na kugrind meno.
.Then Jesus said to the centurion, "Go! It will be done just as you believed it would." And his servant was healed at that very hour.
So akashow yule generalli,"Enda!" Ita happen kwako vile tu umeamini itahappen." Na servant wake akakuwa poa githaa ile ile.
.When Jesus came into Peter's house, he saw Peter's mother-in-law lying in bed with a fever.
Wakati JC aliingia kwa keja ya Pitaa, aliona mathe in law wa Pitaa ako msick hadi amelala bed na fever
.He touched her hand and the fever left her, and she got up and began to wait on him.
Akamgusa mkono tu hivi na homa ikatoweka, mathe akaget poa saa hiyo hiyo akaanza kum serve ka waiter.
.When evening came, many who were demon-possessed were brought to him, and he drove out the spirits with a word and healed all the sick.
Wakatijioni ilifika, wasee wengi wenye walikuwa wamepagawa na shaitula waliletwakwa JC, akatimua hizo shaito akitumia just word, akaheal wagonjwa all.
.This was to fulfill what was spoken through the prophet Isaiah: "He took up our infirmities and carried our diseases."
Hii ilikuwakusababisha chenye Prophet Isaiya ali say itahappen: Alikwachu magonjwa zetu akabeba maradhi zetu."
.When Jesus saw the crowd around him, he gave orders to cross to the other side of the lake.
So JC akacheck rende imemsurround,akapeana orders wavuke hadi ile ng'ambo ingine ya lake.
.Then a teacher of the law came to him and said, "Teacher, I will follow you wherever you go."
Kisha mode mmoja wa sheria akakam kwake kumshow,"teacher, ntakufuata place yote utaenda."
.Jesus replied, "Foxes have holes and birds of the air have nests, but the Son of Man has no place to lay his head."
JC akamjibu, Mbweha zina hole za kubangaiza ndani na ndush zina nests,lakini son wa Adam hanaplace ya kulay his head.
.Another disciple said to him, "Lord, first let me go and bury my father."
Msee mwingine disciple akamshow JC," boss wacha niende nikazike mbuyus alafu nikam."
.But Jesus told him, "Follow me, and let the dead bury their own dead."
JC akamshow,"Nifuate na uache wasee wamededi wazike wasee wao wamededi."
.Then he got into the boat and his disciples followed him.
Kisha akaingia kwa mv faina, na maboiz wake wale disciples wakamfuata.
.Without warning, a furious storm came up on the lake, so that the waves swept over the boat. But Jesus was sleeping.
Ghafla kabla wajipange, bila onyo, hurricane ikachapa hiyo lake, hata mawimbi karibu ifanye mv faina i capsize. Lakini JC alikuwa maedoze tu moss moss.
.The disciples went and woke him, saying, "Lord, save us! We're going to drown!"
Disciples wakaishia kumuamsha, wakimsho," mdosi niaje, si utusave! Tuna ezaje go down nauko hapa, tutadrown!"
.He replied, "You of little faith, why are you so afraid?" Then he got up and rebuked the winds and the waves, and it was completely calm.
JC akawajibu,"nyi kwani mna faith ndogo aje, mbona mnaingiza njeve hivo?" Kisha akarauka na kuletana juu na hizo mawimbi, hadi ikakuwa calm, kabisa tena.
.The men were amazed and asked, "What kind of man is this? Even the winds and the waves obey him!"
Walee majamaa wakashangaa kabisa, hadi wakamuask,"Kwani we ni mse wa aina gani jo! Hadi mawimbi zina mskia na kum-obey!"
.When he arrived at the other side in the region of the Gadarenes,two demon-possessed men coming from the tombs met him. They were so violent that no one could pass that way.
Wakati alifika ile side ingine maeneo za Gadarenes, wasee wawili walishow up wakikam toka sides za graveyard kukutana na JC. Walikuwaga wasee vita tu saa yote hadi hakunamsee alipitahiyo njia.
."What do you want with us, Son of God?" they shouted. "Have you come here to torture us before the appointed time?"
"Unatutakia what sisi, mtoi wa sir Godi?"wakashout. "umekam hapa kututesa hata kabla ya nyakati hizo kufika?"
.Some distance from them a large herd of pigs was feeding.
Distance kidogo kutokahiyo place kulikuwa na mbuzi ulaya zina graze.
.The demons begged Jesus, "If you drive us out, send us into the herd of pigs."
Hizo madevo zikmbeg JC, "Ka unatufukuza, Si utufkuze tuingie kwa ile rende yama pigs."
.At that time Herod the tetrarch heard the reports about Jesus,
So ile time Herod mmoja wa "pentagon" ya wadhii wanne walikuwa wanatawala, akaget ripoti ya JC.
.and he said to his attendants, "This is John the Baptist; he has risen from the dead! That is why miraculous powers are at work in him."
so akawashow wale wadhii walimshughulikia," Si huyu njo John the Baptist; amerise from the dead!Si Ndio maana ma ana powers za ku do ma miracles ndani yake."
.Now Herod had arrested John and bound him and put him in prison because of Herodias, his brother Philip's wife,
So Herod aka-make sure Johnie amearrestiwa na akamfunga na kumweka kwa prison ju ya Herodias, waif wa bro wake Phillo.
.for John had been saying to him: "It is not lawful for you to have her."
Ju aliona ni kaa Johnie alibonga mbaya wakati alimshow:" Si poa na si legal ummarry."
.Herod wanted to kill John, but he was afraid of the people, because they considered him a prophet.
Herod akataka kummada Johnie, lakini akagwaya vile wasee wange do coz walisha mtake Johnie kuwa ni prophet.
.On Herod's birthday the daughter of Herodias danced for them and pleased Herod so much
So Siku ya birthday paree ya Herod, dotee wa Herodias akwakatikia vinoma hadi Herod akabambika ajabu
.that he promised with an oath to give her whatever she asked.
Hadi akampromise na oath atamgei whatever alidai.
.Prompted by her mother, she said, "Give me here on a platter the head of John the Baptist."
Akiskumwa na mathake, akadai,"Ni gei hapa kwa ki sinia kichwa ya Johnie yule hubaptize."
.The king was distressed, but because of his oaths and his dinner guests, he ordered that her request be granted
So king akaget madepression, lakini ju alipromise na oath na ju ya ma dinner guests, akaamulia tu kugeiana request ya yule dame
.and had John beheaded in the prison.
so Johnie akamadwa kwa kuchinjwa akiwa Jela.
.His head was brought in on a platter and given to the girl, who carried it to her mother.
Head yake ikaletwakwa sinia na kugeiwa yule dame, naye akaipeleka kwa mathake.
.John's disciples came and took his body and buried it. Then they went and told Jesus.
Disciples wa Johnie wakakam wakaget hiyo body wakaizika. Kisha wakaishia kushow JC.
.When Jesus heard what had happened, he withdrew by boat privately to a solitary place. Hearing of this, the crowds followed him on foot from the towns.
JC aliposkia hiyo stori ya mahappenings, akajiseclude akaishia byboat viprivately hadi kwa place deserted. Rende kuskia hivi, wakamfuataunyoya route eleven kutoka kwa ma tao.
.When Jesus landed and saw a large crowd, he had compassion on them and healed their sick.
Sa wakati JC aliland akacheki a largecrowd, akawa na huruma kwao akaheal wale wasick wao.
.As evening approached, the disciples came to him and said, "This is a remote place, and it's already getting late. Send the crowds away, so they can go to the villages and buy themselves some food."
Sa jioni ikifika hivi, ma disciples wakamkamia wakamshow hivi,"hi place ni remote mbaya, na tayari kunaget dark ni usiku. Tumana ma crowds ziishie, njo waende kwa vijiji wajibuyie dishi."
.Jesus replied, "They do not need to go away. You give them something to eat."
JC akawajibu, "hawa need kuishia ma away. Nyi wageini kitu ya kudishi."
."We have here only five loaves of bread and two fish," they answered.
"Tuko tu na loaf ngovo na ma fish mbili," wakamjibu.
."Bring them here to me," he said.
"Ebu zi bring hapa hivii kwangu,"JC akasay.
.And he directed the people to sit down on the grass. Taking the five loaves and the two fish and looking up to heaven, he gave thanks and broke the loaves. Then he gave them to the disciples, and the disciples gave them to the people.
Akashow wadhii warelax down kwa grass. Aki-take hizo dibre ngovo na hizo ma-fish mbili na akicheki heaven, akagive thanks na kuvunja ma loaf. Kisha akawagei wale madisciples, akawashow wazidistributekwa ile rende.
.They all ate and were satisfied, and the disciples picked up twelve basketfuls of broken pieces that were left over.
Wote wakamanga hadi wakashiba, na disciples waka pick up vikapu twelve full zimejaa vipande broken za mabaki, yaani maleft overs.
.The number of those who ate was about five thousand men, besides women and children.
Number ya wasee machali wenye walidishi ilikuwa ka thao ngovo, na hiyo ni ukiweka mamanzi na wakidi kando.Haujawa-count.
.Immediately Jesus made the disciples get into the boat and go on ahead of him to the other side, while he dismissed the crowd.
Hiyo time immediately JCakawafanya disciples wake waget ndani ya boat na waishie mbele yake ahead hadi ile side ingine ya lake, ye akibaki kushow wadhi bye.
Hiyo time immediately JCakawafanya disciples wake waget ndani ya boat na waishie mbele yake ahead hadi ile side ingine ya lake, ye akibaki kushow wadhi bye.
After ameshawashow bye, akaendamwenyewe up juu ya mountain akiwa alone kupray.
.After he had dismissed them, he went up on a mountainside by himself to pray.
When evening came, he was there alone,Wakati jioni ilifika alikuwa alone hapo,
.but the boat was already a considerable distance from land, buffeted by the waves because the wind was against it.
Lakini hiyo boat ilikuwa tayari imefika placembali na shore mahali alikuwa, na ilikuwa imeshambuliwana mawaves ju ya wind yenye ilikuwa inablow.
.During the fourth watch of the night Jesus went out to them, walking on the lake.
Wakati the last three hours za niight zilifika, ma saa tisa huko, JC akaishia towards them huku ako walking juu ya maji,
.When the disciples saw him walking on the lake, they were terrified. "It's a ghost," they said, and cried out in fear.
Jo!disciples kuonahivo akiwalk kwa maji juu ya lake, wakaingiza njave mbaya.Wakadai, "Hiki ni kighost," wakalia na uoga.
.But Jesus immediately said to them: "Take courage! It is I. Don't be afraid."
Lakini JC immediately akawashow: "Izzee jo!Kuweni na courage! Ni mimi. Msiingize njeve hivo jo!
."Lord, if it's you," Peter replied, "tell me to come to you on the water."
"JC, Ka ni wewe,"Pitaa akasay, "nishow nicome kwako nikiwalk kwa maji pia."
."Come," he said. Then Peter got down out of the boat, walked on the water and came toward Jesus.
"Kamu," JC akamshow. So Pitaa akadondoka kutoka kwa MV faina, akapiga route ju ya wode akakam kwa JC.
.But when he saw the wind, he was afraid and, beginning to sink, cried out, "Lord, save me!"
Lakini boi akacheki mawimbi, akaingiza mjeve yake yote, hadi akaanza kusink{kunywa maji}, so akaita ki SOS hivi, "Sonkwo, ebu ni save!"
.Immediately Jesus reached out his hand and caught him. "You of little faith," he said, "why did you doubt?"
Hapo hapo JC akamtolea hand yake akamget akamshika. " we una faith ndogo," akamshow Pitaa, "mbona ulidoubt?"
.And when they climbed into the boat, the wind died down.
So waka bebwa na mv faina, na wind ikadie.
.Then those who were in the boat worshiped him, saying, "Truly you are the Son of God."
Kisha wale wadhii walikuwa kwa mv faina wakamworship, wakisei,"kweli we ni son wa Jah."
.When they had crossed over, they landed at Gennesaret.
Wakisha vuka hivi, waka land place inajulikana ka Gennesaret.
.And when the men of that place recognized Jesus, they sent word to all the surrounding country. People brought all their sick to him
Nyakati wadhii wa hiyo place walipiga macho hivi wakamrecognize JC, so wakatumana hizo news kwa hood yote hapo karibu na mtaa. Wadhii waka bring wasee sick kwake
.That same day Jesus went out of the house and sat by the lake.
Siku hiyo hiyo JC akaishia nje ya keja aka tulia kando ya lake.
.Such large crowds gathered around him that he got into a boat and sat in it, while all the people stood on the shore.
Rende kubwa vi mezesh ika gather hapo ikamsurround hadi ikambidi ameruka kwa boat aka kaa ndani, wasee wakabaki kwa ufuo.
.Then he told them many things in parables, saying: "A farmer went out to sow his seed.
Aka washow vitu mob kwa mafumbo, akisema:"Mkulima aliishia kupanda mbegu zake.
.As he was scattering the seed, some fell along the path, and the birds came and ate it up.
Sa akiwa katika ile hali ya kuscatter seed zake kwa shamba, zingine zilitupwa kwa njia, mandush zikaziamulia zikazidishi.
.Some fell on rocky places, where it did not have much soil. It sprang up quickly, because the soil was shallow.
Zingine zikaanguka kwa marocks, place hakukuwa na soil enough.Lakini hapo zikajitolea, zikamea chap chap ju soil ilkuwa shallow.
.But when the sun came up, the plants were scorched, and they withered because they had no root.
Halafu wakati jua ilishine sasa ile noma, hizo plants zikaungua, zikathela na kudia ju hazokuwa na maroots.
.Other seed fell among thorns, which grew up and choked the plants.
Mbegu zingine zilifall kwa miba, na miba zilimea zikahanda maplants zikazinyonga.
.Still other seed fell on good soil, where it produced a crop a hundred, sixty or thirty times what was sown.
Bado kuna zingine zilianguka kwa soil poa, hapo zika produce mazao mara ka mia, sikty au salasa ya chenya mkulima alipanda.
.He who has ears, let him hear."
So mwenye m,askio, wacha askie."
.The disciples came to him and asked, "Why do you speak to the people in parables?"
Wafuasi wa JC so wakamkamia kumwuliza, " Mbona unabongesha wadhii kwa mafumbo?"
.He replied, "The knowledge of the secrets of the kingdom of heaven has been given to you, but not to them.
JC akawashow," Knowledge na ujuzi za siri zakingdom zimepeanwa kwenu, lakini sio kwao.
.Whoever has will be given more, and he will have an abundance. Whoever does not have, even what he has will be taken from him.
Yule ako na something ataongezewa zaidi, so atakuwa na overflow. Lakini yule msee hana any, aha ile ako nayo atanyang'anywa.